HABARI MCHANGANYIKO Dk. Doriye awavisha vyeo vya kijeshi Maafisa 145 na askari 476 wa NCAA May 12, 2025 Erasto Masalu DK. Elirehema Doriye, Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) amewavisha vyeo vya kijeshi maafisa 145 na askari 476 wa mamlaka ya hifadhi ya eneo…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Hospitali ya Mt. Joseph Peremiho yatoa nafuu mikoa ya Kusini May 12, 2025 Erasto Masalu WANANCHI wa mkoa wa Ruvuma na Mikoa ya jirani ya Njombe, Lindi na Mtwara, wametakiwa kutumia Hospitali ya Peramiho ili kupata huduma mbalimbali za afya kwakuwa hospitali hiyo ina watalaamu…
HABARI MCHANGANYIKO Wachimbaji Geita wampongeza Rais Samia May 12, 2025 Erasto Masalu WACHIMBAJI na wafanyabiashara wa madini wa mkoa wa Geita, wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia sekta ya madini katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake.…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Meridianbet yaungana na Diwani wa Kata ya Africana kufanya usafi May 10, 2025 Erasto Masalu Ikiwa ni Jumamosi nyingine ya kijanja, wakali wa ubashiri Meridianbet leo hii wamefika Mbezi Africana pale Kituoni na kufanya zoezi la usafi. Lakini pia leo hii mitanange kibao inaendelea hivyo…
HABARI MCHANGANYIKO Vifaa vya utafiti wa maji chini ya ardhi vyaongezwa May 9, 2025 Erasto Masalu JUMAA Aweso, Waziri wa Maji amewataka wataalamu wa mabonde kujikita katika kufanya utafiti wa maji chini ya ardhi ili huduma ya maji kwa wananchi iwe endelevu. Anaripoti Joyce Ndeki, Dodoma…
HABARI MCHANGANYIKO Serikali kuongeza thamani ya madini May 9, 2025 Erasto Masalu SERIKALI ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuelekea mageuzi katika Sekta ya Madini kwa kuanza mkakati wa kuongeza thamani ya madini muhimu yanayopatikana nchini. Anaripoti Joyce Ndeki, Dodoma … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Kadinali Robert Prevost atangazwa kuwa Papa mpya May 8, 2025 Erasto Masalu MAKADINALI kutoka kwenye kanisa la Sistine huko Vatican, wamemchagua Kardinali Robert Fancis Prevoat kutoka nchini Marekani kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Duniani (Papa). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Chatanda ashuhudia utiaji saini wa Bil 13.3 kuboresha miundombinu Rufiji May 8, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa UWT Taifa, Mary Pius Chatanda ameshuhudia utiaji saini wa mikataba mitano ya Sh. 13.3 bilioni zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan ili kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO NBC yaitambulisha “NBC Shambani’’ kwa wakulima wa Ufuta Pwani May 8, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imetambulisha kampeni yake ya ‘Wekeza NBC Shambani Ushinde’ kwa wakulima wa zao la ufuta mkoa wa Pwani ikiwa ni muendelezo wa jitihada za benki…
BIASHARA ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Puma Energy Tanzania yakabidhi zawadi shindano la uchoraji kampeni ya Usalama Barabarani Mashuleni May 7, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika la Amend Tanzania wamekabidhi zawadi kwa washindi wa shindano la usalama barabarani ambalo ni sehemu muhimu ya programu ya ‘Be Road…