SHIRIKISHO la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TCTA) Mkoa wa Dodoma, kipato cha mshahara kwa mfanyakazi kwa mwezi hakikidhi mahitaji kwa mfanyakazi, anaandika Dany...
By Danson KaijageMay 1, 2017WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene amewataka wananchi kuchangamkia fursa za kimaendeleo zinazopatikana katika mkoa wa...
By Danson KaijageApril 27, 2017ASKOFU wa kanisa Methodist jimbo la Dodoma,Joseph Bundala amemtaka rais Dk. John Magufuli kuingilia kati suala la mfumko wa bei ya vyakula ili...
By Danson KaijageApril 27, 2017VISIWA vinne kati ya 38 vilivyopo Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, vitaanza kupata umeme wa nishati ya jua baada ya Kampuni ya Rex...
By Moses MsetiApril 27, 2017VIJANA waliohitimu elimu ya juu nchini wameshauriwa kuanzisha shughuli za ujasiriamali na kukuza uchumi wao kwa kujitokeza kwenye ofisi za mikopo badala ya...
By Christina HauleApril 26, 2017SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Kongamano ya Jinsia kwa Taasisi za Elimu ya Juu lililoandaliwa na...
By Hamisi MgutaApril 24, 2017MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Steven Kebwe amesema, matukio ya ajali za barabarani yameshika nafasi ya tatu kwa kuwa adui mkubwa wa...
By Christina HauleApril 21, 2017ESTOMIAH Chang’ah, Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, ameiomba Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri...
By Moses MsetiApril 21, 2017WAZIRI wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ameiagiza bodi mpya ya wakurugenzi wa Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini (REA) kuwakagua wakandarasi...
By Danson KaijageApril 20, 2017WAKATI Serikali ikijinasibu kuwa nchini hakuna njaa, bado jamii imeendelea kulalamikia upandaji wa bei ya vyakula, anaandika Dany Tibason. Kwa nyakati tofauti baadhi...
By Danson KaijageApril 20, 2017MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura) inakusudia kupunguza mwingiliano wa utendaji kazi baada ya kuanza kuweka mikakati kwa watumiaji...
By Moses MsetiApril 20, 2017SIMON Sirro, Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, amewataka wakazi wa jiji hilo kuwa makini hasa katika kipindi hiki uchunguzi dhidi...
By Hamisi MgutaApril 19, 2017SERIKALI imewataka watendaji wa vyama vya wafanyakazi kuzisoma, kuzitambua na kuzitumia vyema kanuni na sheria za kazi ili kutatua migogoro ya wafanyakazi na...
By Christina HauleApril 19, 2017HATIMAYE mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari, Josephat Isango tayari umepumzishwa katika nyumba ya milele kijijini kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta....
By Hamisi MgutaApril 18, 2017SERIKALI imeitaka mifuko ya kijamii ambayo inatoa mikopo kwa jamii kufanya marekebisho upya ili kuona uwezekano kupunguza kiwango cha riba, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageApril 18, 2017WAFUGAJI wa nguruwe kwenye kata ya Kingolwila, Morogoro wametakiwa kutoiachia mifugo yao kudhurula hovyo mitaani huku ikitapanya kinyesi hali inayopelekea uchafuzi wa mazingira,...
By Christina HauleApril 18, 2017WAKATI hofu juu ya usalama wa maisha ya wananchi wa Kibiti, Pwani ikizidi kutanda baada ya tukio la mauaji ya askari Polisi nane yaliyotekelezwa...
By Hamisi MgutaApril 15, 2017MWILI wa aliyekua Mwandishi wa habari Josephat Isango unatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne, saa nne asubuhi nyumbani kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta....
By Hamisi MgutaApril 15, 2017NIMEPOKEA kwa mstuko mkubwa taarifa ya kifo cha mwandishi wa habari mwenzetu na aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL),...
By Masalu ErastoApril 14, 2017KAMISHNA wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Nsato Marijani amesema Jeshi la Polisi linakwenda kufanya operation kali dhidi ya majambazi...
By Hamisi MgutaApril 14, 2017MWANDISHI wa habari Josephat Isango amefariki dunia mapema asububi leo, anaandika Hamisi Mguta. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mdogo wake aitwae Christopher...
By Hamisi MgutaApril 14, 2017MSANII wa muziki wa Hip-Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ aliyetekwa na watu wasiojulikana kisha kuachiwa akiwa na wenzie watatu amesema hawapo salama kwa...
By Hamisi MgutaApril 10, 2017MASHIRIKA ya Umma yatalazimishwa kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) kwa kuwa sheria inawataka hivyo na ndiyo maana hata...
By Danson KaijageApril 10, 2017WABUNGE wameelezwa kuwa kiasi cha Sh. 20 bilioni hazikutumika ambazo ni za mfuko wa pamoja wa afya ujulikanao kama ‘Basket Fund’ kwa mwaka...
By Danson KaijageApril 10, 2017IKIWA ni siku tatu tangu tukio la kupotea kwa msanii wa miondoko ya Hip Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ na wenzake watatu Kamishna...
By Hamisi MgutaApril 8, 2017NI siku ya pili tangu msanii wa muziki wa Hip-Hop, Ibrahim Mussa ‘Roma’ na wenzake kukamatwa na watu wasiojulikana katika Studio za Tongwe...
By Hamisi MgutaApril 7, 2017SERIKALI mkoani Mwanza, imekamata na kuwataifisha samaki kilogramu 3482 wenye thamani ya Sh. 20,892,000 waliovuliwa ‘kimagendo’ na wavuvi haramu kinyume na sheria za...
By Moses MsetiApril 7, 2017ZAIDI ya Sh. bilioni moja zimetumika kuwalipwa walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini unaofadhiriwa na mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF kwa...
By Danson KaijageApril 7, 2017MBUNGE wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda ameitaka Serikali kuvunja bodi ya chai ya Wilaya ya Rungwe kwa sababu wananchi hawana imani na bodi...
By Danson KaijageApril 6, 2017MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Jaku Hashim Ayoub (CCM) ameitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuweka utaratibu wa kupima mizigo inayoingia...
By Danson KaijageApril 6, 2017WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads), umekubali kutenga fedha kiasi cha Sh. 3 bilioni kwa ajili madaraja ya Halmashauri ya wilayani Masasi katika bajeti...
By Danson KaijageApril 6, 2017WIZARA ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, imetaja kuwa ucheleweshaji wa malipo ya wakulima na wafanyakazi katika kiwanda cha chai cha Maruku mkoani Kagera...
By Danson KaijageApril 6, 2017UHABA wa dawa katika Hospitali ya wilaya ya Nyamagana mkoani hapa, umezidi kuongezeka na kuwa kero kwa wagonjwa wanaofika kupata huduma kwenye hospitali...
By Moses MsetiApril 6, 2017MKUU wa wilaya ya Bahi, Dodoma, Christina Kitundu, amewataka viongozi wasiwachangishe wananchi pesa za maendeleo kwa nguvu badala yake watumie busara, anaandika Dany...
By Danson KaijageApril 5, 2017MFUKO wa Rais wa Kujitegemea (PTF) umewataka vijana wakiwemo waliohitimu vyuo vya ufundi stadi na taasisi zingine, kuitumia vyema fursa ya mikopo inayotolewa...
By Christina HauleApril 5, 2017WATAFITI wa mbegu ndani na nje ya nchi wametakiwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa na Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI)...
By Christina HauleApril 5, 2017SERIKALI imeombwa kurekebisha na kupanua miundombinu ya skimu ya umwagiliaji maji iliyo chakavu kwenye kijiji cha Mlali, Mvomero ili iweze kusaidia wananchi wanaoikosa...
By Christina HauleApril 3, 2017MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za Mitaa, Mwanne Nchemba ameushauri Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)...
By Christina HauleMarch 28, 2017JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) na Klabu ya Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC), wameazimia kumnyima Paul Makonda, Mkuu...
By Pendo OmaryMarch 22, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki ameibuka na ushindi katika nafasi ya urais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) huku...
By Charles WilliamMarch 18, 2017HAKUNA marefu yasiyo na ncha. Hatimaye vuta nikuvute ya uchaguzi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), imehitimishwa leo asubuhi kwa mawakili kupiga...
By Charles WilliamMarch 18, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameachiwa kwa dhamana ya Sh. 10 milioni na moja kwa moja anaenda Arusha kwenye uchaguzi wa Chama...
By Faki SosiMarch 17, 2017WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, siyo mjumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) na hivyo...
By Saed KubeneaMarch 15, 2017ZAIDI ya Familia 28 zilizopo katika kijiji cha Milengwelengwe Kata ya Mngazi Tarafa ya Bwakira chini wilayani Morogoro hazina mahali pa kuishi baada...
By Christina HauleMarch 15, 2017WAKILI Victoria Mandari, ambaye ni miongoni mwa wagombea wa Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amesema anaamini wagombea wa nafasi hiyo ambao...
By Charles WilliamMarch 15, 2017MAWAKILI wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) kimeiomba Mahakama Kuu ya Tanzania kutupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kanuni za uchaguzi iliyofunguliwa...
By Faki SosiMarch 15, 2017WAKULIMA nchini wamesisitizwa kununua mbegu kwenye maduka yaliyosajiliwa huku wakihakikisha ubora wa mbegu wanazonunua kwa kuwa na lebo ya TOSCI ili kuweza kupanda...
By Christina HauleMarch 14, 2017WANANCHI wamewataka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), pamoja na Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, wabuni njia mbadala...
By Faki SosiMarch 11, 2017MTU aliyetambulika kwa jina moja la Salum, amesababisha shughuli mbalimbali kusimama katika eneo la maduka yaliyopo pembeni ya kituo cha mabasi cha Makumbusho...
By Charles WilliamMarch 10, 2017SHIRIKA lisilo la kiserikali la Raleigh International lenye makao makuu yake nchini Uingereza, linaendelea na kampeni yake ya utunzaji wa mazingira ukiwemo mpango...
By Charles WilliamMarch 10, 2017