MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
TAREHE 9 Agosti 2017, msajili wa asasi za kiraia alitoa maagizo kwa asasi za kiraia nchini kufanya kuhakiki wa uwepo wao. Uhakiki ulihusu...
By Mwandishi WetuJune 27, 2019WADAU mbalimbali wa masuala ya haki ya kikatiba ya uhuru wa kujieleza jana walikusanyika kwenye ukumbi wa Kilimanjaro, katika Hoteli ya Seashells, Makumbusho,...
By Mwandishi WetuJune 26, 2019CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeupinga Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Makampuni, kikisema ni hatari kwa masuala ya uwekezaji nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na...
By Mwandishi WetuJune 25, 2019SERIKALI ya Rais John Magufuli, imewasilisha bungeni, muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali – The Written Laws Miscellaneous Amendments No.3 ya mwaka 2019...
By Saed KubeneaJune 24, 2019WADAU wa haki za kijamii nchini wameiomba serikali kurekebisha baadhi ya mapendekezo ya marekebisho ya sheria mbalimbali, ikiwemo Sheria ya Mashirika Yasiyo ya...
By Mwandishi WetuJune 22, 2019KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa wito kwa wawekezaji wa ndani na wa nje ya nchi wenye nia ya kuwekeza katika zao la...
By Regina MkondeJune 22, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amepinga pendekezo la serikali la kurejesha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), kwenye taulo za...
By Mwandishi WetuJune 21, 2019TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesalimu amri baada ya malalamiko ya mara kwa mara kutoka vyama vya upinzani na wanaharakati nchini. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 20, 2019UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania, umeleza kuwepo mipango ya matukio ya mashambulizi kwenye hoteli na migahawa jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuJune 19, 2019KESI ya kupinga sheria mpya ya vyama vya siasa nchini, imeanza kusikilizwa leo tarehe 19 Juni 2019, jijini Arusha ambapo miamba mitatu kutoka vyama...
By Mwandishi WetuJune 19, 2019SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo ameibua sakata la serikali kushtakiwa nje ya nchi kwasababu mbalimbali, ikiwemo kuvunja mikataba ya wawekezaji. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageJune 18, 2019WITO kwa mawaziri wawili wa Rais John Magufuli; Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki naDk. Philip...
By Danson KaijageJune 18, 2019MBUNGE wa Malindi, kisiwani Unguja, Ally Salehe, ameituhumu Serikali ya Jamhuri ya Muungano, kupunja mapato ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), yanayopitia Mfuko...
By Danson KaijageJune 17, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza kwamba, kuna mashaka makubwa katika takwimu za serikali kuhusu ukuaji wa pato la taifa...
By Mwandishi WetuJune 16, 2019SIKU chache baada ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango kusoma Bajeti ya Kuu ta Tanzania kwa mwaka 2019/20, huku ikielezea...
By Masalu ErastoJune 15, 2019JESHI la Polisi Wilaya ya Morogoro limezuia mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliotarajiwa kufanyika kesho Jumapili tarehe 16...
By Mwandishi WetuJune 15, 2019BAADHI ya wananchi waliotoa maoni kuhusu mapendekezo ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 mkoani Kagera na Dodoma, wamekuwa na maoni tofauti. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 14, 2019BAJETI ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20, iliyosomwa na Dk. Philiph Mpango, waziri wa fedha na mipango, katika utawala wa Rais John...
By Saed KubeneaJune 13, 2019TOFAUTI na bajeti za serikali katika miaka ya fedha iliyopita, katika Mwaka wa Fedha wa 2019/20, ushabiki wa kisiasa umedhihiri. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageJune 13, 2019KODI! Kodi! Kodi, ndio mwelekeo wa Bajeti ya ya nne tangu Rais John Pombe Magufuli ashike madaraka, akiwa na kauli tamu na ahadi...
By Mwandishi WetuJune 13, 2019WAKATI taifa likijiandaa kuingia kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Oktoba mwaka huu na baadaye Uchaguzi Mkuu 2020, serikali na Chama Cha Mapinduzi...
By Danson KaijageJune 12, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kuwa, katika tawala za marais watatu waliopita, hakuwahi kuona mambo yanayofanyika kwenye serikali ya sasa....
By Mwandishi WetuJune 11, 2019SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, leo tarehe 11 Juni 2019 anapandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Rufani,...
By Faki SosiJune 11, 2019RAIS John Magufuli, amebakiza mwaka mmoja na ushei kukamilisha ngwe yake ya kwanza ya miaka mitano. Akibahatika aweza kuendelea kuhudumu katika kipindi kingine...
By Regina MkondeJune 10, 2019MAOFISA watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wanaotajwa kuhusika kuomba rushwa kwa mfanyabiashara Ramadhan Ntunzwe, watapandishwa kizimbani muda wowote kuanzia sasa. Anaripoti...
By Regina MkondeJune 10, 2019CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemteua Maalim Seiff Sharif Hamad, kuwa mshauri mkuu wa chama hicho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Gwiji huyo wa siasa...
By Faki SosiJune 10, 2019KWA mara ya kwanza, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amekiri kwamba, chama chake kinahemea pomoni. Anaandika Mwandishi Wetu …(endelea)....
By Mwandishi WetuJune 9, 2019RAIS John Pombe Magufuli, amemng’oa kwenye wadhifa wake, Kamishena Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Charles Kichere na kumteuwa Edwin Mhende, kushika...
By Bupe MwakitelekoJune 8, 2019RAIS John Magufuli amewataka wafanyabiashara kutokubali kutishwa na msemo wa ‘maagizo kutoka juu’. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). Amewataka wafanyabiashara hao kutotekeleza wanachoamriwa,...
By Regina MkondeJune 7, 2019JOSEPH Kasheku (Msukuma), Mbunge wa Geita (CCM), ameweka rehani ubunge wake kwa Rais John Magufuli kwa ahadi kwamba, iwapo uchunguzi utafanywa na kubaini...
By Regina MkondeJune 7, 2019JUMUIYA na Taasisi za Kiislam nchini, imeibua upya sakata la masheikh wa Uamsho, waliopo mahabusu kwa takriban miaka sita sasa kwa madai ya...
By Faki SosiJune 6, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea na usikilizaji wa kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabali viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na...
By Faki SosiJune 4, 2019MUUNGANO wa vyama Nane vya upinzani nchini, umetuhumu Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), kuvunja katiba na sheria za nchi, kwa kuendelea kung’ang’ania...
By Faki SosiJune 2, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi wa shahidi wa nne kwenye kesi inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema),...
By Faki SosiJune 1, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi kwenye kesi ya Uchochezi nambari 112 ya mwaka 2018, inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia...
By Faki SosiJune 1, 2019MAALIM Seif Sharif Hamad, mwanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekula kiapo hadharani kwamba, hatolala mpaka ahakikishe kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekaa kando....
By Faki SosiMay 31, 2019BENKI ya Dunia (WB), yaweza kuhamisha ofisi yake ya Mkurugenzi Mkazi kutoka jijini Dar es Salaam na kuipeleka nchini Afrika Kusini. Anaandika Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuMay 29, 2019LUDOVICK Utouh, Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, ameungana na Prof. Mussa Assad, CAG wa sasa kwamba, Bunge linashindwa kusimamia...
By Mwandishi WetuMay 29, 2019MOUSA Twaleb ambaye ni dereva teksi, leo tarehe 28 Mei 2019, amepandisha katika Mahakama ya Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akituhumiwa kwa...
By Faki SosiMay 28, 2019JESHI la Polisi Singida Mjini limemnyika dhamana Mbunge wa zamani wa Jimbo la Singida Kaskazini na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu...
By Mwandishi WetuMay 27, 2019CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema), kimeeleza kutojua alipo Lazaro Nyalandu, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya Awamu ya Nne....
By Faki SosiMay 27, 2019MBOBEZI wa sheria nchini na Wakili wa Mahakama Kuu, Prof. Abdallah Safari amesema, iwapoDk. Adelardus Kilangi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), atagoma kutekeleza hukumu...
By Hamisi MgutaMay 24, 2019RAIS John Magufuli anatarajiwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa zinazotarajiwa kufanyika kesho tarehe 25 Mei 2019. Anaripoti...
By Regina MkondeMay 24, 2019MBUNGE wa Shinyanga Mjini, Stephen Massele leo tarehe 23 Mei 2019, ametibuana na Job Ndugai, Spika wa Bunge. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Massele ambaye...
By Mwandishi WetuMay 23, 2019TAARIFA za ujio wa Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki zimekolezwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti...
By Bupe MwakitelekoMay 23, 2019KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amesema kuwa, chama hicho kitaendelea kuongoza dola kwa zaidi ya miaka 100 ijayo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 22, 2019MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT- Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, ameituhumu serikali kwa kile alichokiita, “kushindwa au kunyamazia,” vitendo vya ubakaji wanavyofanyiwa wapigakura wake....
By Danson KaijageMay 21, 2019STEPHEN Masele, Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) amesema, hajawahi kukurupuka katika kusimamia jambo lolote. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Alitoa kauli hiyo muda mfupi...
By Mwandishi WetuMay 21, 2019MWANAHARAKATI Mdude Nyagali, amehusisha kutekwa kwake na sababu za kisiasa huku akisisitiza kwamba, hatorudi nyuma. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). “Ninachojua ni kuwa, nilitekwa kwa...
By Faki SosiMay 20, 2019RAIS John Magufuli amemkabidhi Sh. 10 Mil Mufti wa Tanzania, Aboubakar Bin Zubeir kwa ajili ya kusaidia kuendeleza Qur’an nchini. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Akimkabidhi...
By Hamisi MgutaMay 19, 2019