MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimelaani hatua ya jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, kumkamata na kumshikilia Askofu Dk. Emmaus Mwamakula,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 16, 2021RAIS mstaafu wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amesema, taifa limempoteza mzalendo wa dhati na mtetezi shupavu wa Mapinduzi ya Zanzibar, Dk....
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021CHAMA cha Madaktari nchini (MAT), kimewataka wananchi kuwa makini kutokana na ongezeko la wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021PROFESA Mark Mwandosya, waziri wa zamani katika utawala wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, ameeleza kuumizwa na kifo cha baba yake mdogo,...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2021DAKTARI Mohmmed Seif Katibu, aliyewahi kuwa Mkuu wa Oganizesheni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na waziri katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2021BARAZA Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA), limeelekeza misikiti yote kufanya maombi maalumu (kusoma dua) kwa ajili ya kumuomba Munga kuliepusha taifa na...
By Hamisi MgutaFebruary 14, 2021SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, amepongeza miongozo iliyotolewa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjiki la...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2021JOYCE Kiria, Mwanaharakati wa masuala ya wanawake, anasaka Sh. 5 Mil ili kulipa faini baada ya kuweka maudhui mtandaoni bila kufuata sheria. Anaripoti...
By Hamisi MgutaFebruary 14, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka wanufaika wote wa mikopo ya elimu ya juu nchini humo, ambao bado hawajajitokeza na kuanza...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2021NCHI wanachama wa mkataba wa Roma ulioanzisha Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu (ICC), umemchagua mwanasheria kutoka Uingereza, Karim Khan...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2021SAA chache mara baada ya msafara wa Namungo kuzuiliwa kwenye Uwanja wa ndege wa Luanda Angola, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021PENALTI ya dakika 60 ya mchezo iliwekwa kambani na Chriss Mugalu ilitosha kuipatia Simba pointi tatu kwenye mchezo wa ugenini dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021HARITH Bakari Mwapachu (81), waziri mwandamizi wa zamani amefariki dunia alfajiri ya kuamkia leo Ijumaa tarehe 12 Februari 2021, Hospitali ya Taifa...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2021SERIKALI ya Tanzania imeeleza, haijawahi kusema haina maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde …(endelea). “Hatujawahi kusema, hatuna virusi vya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 12, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameeleza kutamani mfanyabiashara Rostam Azizi kugombea Jimbo la Morogoro Mjini, ili kumng’oa Abdul-Aziz Abood, mbunge wa jimbo...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2021WAKATI Rais wa Tanzania, John Magufuli akisisitiza kwa wananchi ataendelea kutoa elimu bure, Halim Mdee ambaye ni mbunge asiye na chama baada...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2021KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamidu Shaka, amesimamishwa kazi na chama hicho, kupisha uchunguzi wa tuhuma za...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2021SAKATA la Shule ya St. Jude, iliyoko jijini Arusha, kukabiliwa na ukata uliosababishwa na fedha zake kuzuiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2021INAELEZWA tayari Kim Poulsen kocha raia wa Denmark yupo nchini kwa ajili ya kukaimu kwa muda nafasi ya aliyekuwa kocha wa Timu...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2021MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara utaanza kesho tarehe 11 Februari 2021, huku kukiwa na kitendawili kikubwa kwenye kumpata bingwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 10, 2021CHAMA cha ACT- Wazalendo, kimemshauri Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi kuunda “tume ya maridhiano” ili kutibu vidonda vya uchaguzi mkuu uliyopita,...
By Regina MkondeFebruary 10, 2021KASI ya “kujipendekeza” ya baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa Rais wa Tanzania, John Magufuli, imeshangaza waengi, wakiwamo viongozi wa...
By Regina MkondeFebruary 10, 2021ANTHONY Calist Komu, mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania amesema, ndoto zake zilikuwa awe padre, lakini akajikuta anakuwa mwanasiasa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2021WAZIRI wa zamani katika serikali za awamu ya Kwanza, Pili na Tatu, Arcado Ntagazwa (75) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya...
By Saed KubeneaFebruary 10, 2021HALIMA Mdee, mbunge asiye na chama bungeni, amekosoa Mpango wa Maendeleo wa Serikali, kwamba ‘hakuna kitu.’ Anaripoti Mwandshi Wetu, Dodoma…(endelea). Akichangia mpango huo...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2021KASI ya kutaka Katiba Mpya kabla ya uchaguzi mkuu 2025, imevisukuma vyama vya upinzani kutaka kuungana. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Masalu ErastoFebruary 9, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema, kimewapeleka wanachama wake wanne bungeni ili wakasimamie ajenda tano za chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....
By Regina MkondeFebruary 9, 2021WAKATI Tundu Lissu, Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akieleza chama hicho ‘kujivuwa’ kuwapeleka mahakamani Halima Mdee na wenzake,...
By Hamisi MgutaFebruary 9, 2021HATUA iliyochukuliwa na Rais John Magufuli kuanzisha Mahakama ya Mafisadi mwaka 2016, mahakama hiyo sasa inaanzishwa visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2021MWENYEKITI mpya wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu ameanza kazi kwa kasi katika kuhakisha timu hiyo inafanya vizuri kwenye michuano kimataifa kwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 8, 2021JOSEPH Msukuma, Mbunge wa Shinyanga Vijijini amesema, serikali imekuwa ikiwekeza mabilioni ya fedha katika miradi ambayo haina faida kwa Taifa. Anaripoti Mwamdishi Wetu,...
By Hamisi MgutaFebruary 8, 2021MLIPUKO wa Virusi vya Ebola, umeibuka tena Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Taarifa ya mlipuko huo, imetolewa na...
By Hamisi MgutaFebruary 8, 2021ALIYEKUWA Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia ameangukia pua kwenye uchaguzi wa klabu ya Simba baada ya kushindwa na Murtaza Mangungu kwa tofauti...
By Kelvin MwaipunguFebruary 7, 2021JOSEPH Butiku, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, ametaka mjadala wa Rais John Magufuli kuongezewa muda wa kutawala, uachwe huru. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeFebruary 6, 2021MALALAMIKO kuhusu katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, muungano na masheikh wa Uamsho viliibuka bungeni wakati wa mjadala wa Hotuba ya Rais John...
By Kelvin MwaipunguFebruary 6, 2021TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amebadili mbinu ya kuwakabili Halima Mdee na wenzake 18 kuwazuia kuhudhuria...
By Kelvin MwaipunguFebruary 6, 2021LICHA ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa na wabunge kutoka upinzani, Godbless Lemba ambaye alikuwa Mbunge wa Arusha Mjini...
By Kelvin MwaipunguFebruary 6, 2021UONGOZI wa klabu ya Simba umekubaliana na Wizara ya Maliasili na Utalii kutangaza nchi kupitia jezi zao watakazotumia kwenye michuano ya Ligi...
By Kelvin MwaipunguFebruary 5, 2021JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, ametahadharisha wabunge, wasikae kimya vinginevyo watashindwa kurudi bungeni mwaka 2025. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2021KIKOSI cha Yanga kitashuka dimbani kuikabili African Sports kwenye mchezo wa kupima nguvu utakaochezwa majira ya saa 1 usiku kwenye dimba la...
By Kelvin MwaipunguFebruary 5, 2021USHINDI wa mabao 2-1, dhidi ya Dodoma jiji FC, umeifanya Simba kuondoka na pointi tatu muhimu kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 4, 2021MAKAMO wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, bado anaendelea kupata matibabu katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja, Visiwani Unguja....
By Regina MkondeFebruary 4, 2021PROFESA Ibrahim Haruma Lipumba, mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Wananchi (CUF), ametonesha kidonda kilichoanza kusahauliwa na pengine kutotaka kuguswa. Anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2021PROF. Abdallah Safari, wakili wa Mahakama Kuu nchini Tanzania na gwiji wa sheria za jinai katika Afrika Mashariki anasema, ni uamuzi sahihi...
By Yusuph KatimbaFebruary 3, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanyia mabadiliko makubwa muundo wake wa sektarieti ya Kamati Kuu (CC), kwa lengo la kujipanga ili...
By Masalu ErastoFebruary 3, 2021KATIBU Tawala Mkoa wa Arusha (RAS), Richard Kwitega, amefariki dunia leo Jumatano saa 9:30 alasiri, tarehe 3 Februari 2021, katika ajali ya...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2021LIGI Kuu Tanzania Bara inarejea tena kesho kwa kupigwa michezo miwili, ambapo Simba itakuwa Ugenini kuikabili Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 3, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amempandisha cheo Jaji Zepharine Galeba, Jaji wa Mahakama Kuu, Kanda ya Musoma kuwa Jaji wa Mahakama ya...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2021PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amemkumbusa Rais wa Tanzania, John Magufuli kutekeleza ahadi yake aliyoitoa Mwaka 2015 ya...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2021MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amepata maambukizi ya virusi hatari vya Corona (Covid 19). Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2021