MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
ASASI za Kiraia nchini Tanzania, zimewasilisha kilio cha upatikanaji wa Katiba Mpya katika Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kutoshiriki uchaguzi mdogo katika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, kwa madai hautakuwa huru na haki. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewaapisha wabunge watatu akiwemo Dk. Bashiru Ally. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Walioapishwa ni;...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri, kwa kuteua mawaziri na manaibu waziri wapya. Anaripoti Mwandishi...
By Hamisi MgutaMarch 31, 2021MAKAMU mpya wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amemuahidi Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kuwa katika utekelezaji wa majukumu...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2021DAKTARI Bashiru Ally, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, amehudumu nafasi hiyo nyeti ndani ya Ikulu ya Tanzania kwa siku 32. Anaripoti Matrida Peter,...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2021JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amemwapisha Dk. Philip Isdor Mpango, kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanania, imesema imepekua nyumbani kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Tanzania (TPA), Desdedit...
By Kelvin MwaipunguMarch 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Dk. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Jina hilo,...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2021SAFARI ya siku zaidi ya 90 ya mkutano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaanza kesho Jumanne saa 3:00 asubuhi,...
By Kelvin MwaipunguMarch 29, 2021HATUA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kuwaomba radhi Watanzania, imewaibua wanasiasa na wanaharakati. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Kelvin MwaipunguMarch 29, 2021ASASI za Kiraia (AZAKI) na Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s), nchini Tanzania, zimemuahidi mambo 18, Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan,...
By Regina MkondeMarch 29, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iwape nafasi ya watu kujitetea, mashirikia...
By Regina MkondeMarch 29, 2021MAMA Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania ameagiza mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji mapato ya Serikali, kufumuliwa mara moja, ili kudhibiti mianya...
By Regina MkondeMarch 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Prof. Florence Luoga na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...
By Regina MkondeMarch 28, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko, ili kupisha uchunguzi wa ubadhirifu...
By Hamisi MgutaMarch 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumapili tarehe 28 Machi 2021, atapokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2021JANETH, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amejiandikia historia yake. Haiba yake, haifanani na watangulizi wake, katika nafasi hiyo,...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2021WEWE ni mavumbi na mavumbini utarudi. Ndivyo unaweza kusema, baada ya mwili wa Dk. John Pombe Joseph Magufuli, kulazwa kwenye nyumba yake...
By Regina MkondeMarch 26, 2021VYOMBO vya ulinzi na usalama nchini Tanzania, vimemhakikishia ulinzi Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....
By Mwandishi WetuMarch 26, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemkaribisha bungeni, Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato…(endelea). Spika Ndugai...
By Mwandishi WetuMarch 26, 2021MWILI wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli unazikwa leo Ijumaa tarehe 26 Machi 2021, katika makaburi ya nyumbani...
By Mwandishi WetuMarch 26, 2021WAKATI mwili wa Hayati John Pombe Joseph Magufuli, ukizikwa leo Ijumaa tarehe 26 Machi 2021, nyumbani kwao, Chato mkoani Geita, Rais wa...
By Mwandishi WetuMarch 26, 2021MAMIA ya wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi katika mazishi ya wanandugu watano, wanaodaiwa kufariki dunia katika shughuli...
By Yusuph KatimbaMarch 25, 2021MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema, vijana wengi visiwani humo, wanataka Serikali ya Rais Hussein Mwinyi, iongoze...
By Mwandishi WetuMarch 25, 2021WANANCHI wa Chato, mkoani Geita leo Alhamisi tarehe 25 Machi 2021, watauaga mwili wa mpendwa wao, Dk. John Pombe Joseph Magufuli. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 25, 2021MWILI wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, umewasili nyumbani kwao, Chato Mkoa wa Geita ukitokea Mwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2021MWILI wa Dk. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tanzania, umezungushwa mara tano, ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2021BARAZA la Waislam la Kenya (SUPKEM), limempongeza Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo, kwa kusimamisha hotuba yake wakati Adhana iliposomwa. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2021ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, amejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania urais...
By Regina MkondeMarch 24, 2021NYUMBANI ni nyumbani. Hivi ndivyo unaweza kuelezea, jinsi wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wameupokea kishujaa mwili wa Dk. John...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2021RAIS wa Zanzibar na Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi amesema, Bara la Afrika limepoteza kiongozi mwanamapinduzi, kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais...
By Mwandishi WetuMarch 23, 2021WANANCHI wa Zanzibar, wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, aliyefariki dunia tarehe 17 Machi...
By Mwandishi WetuMarch 23, 2021MARAIS tisa katika nchi za Bara la Afrika, wameshiriki shughuli ya kitaifa ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wale wote wenye shaka ya uongozi wake kutokana na jinsia yake ya mwanamke, kukaa mguu...
By Regina MkondeMarch 22, 2021ALIYEKUWA Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Joseph Magufuli (61), hadi mauti yanamfika saa 12:00 jioni ya Jumatano tarehe 17 Machi 2021,...
By Masalu ErastoMarch 22, 2021SIMANZI iliyotanda usoni mwa Janeth, Mjane wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (61), amemfanya Rais Samia Suluhu Hassan, kutokwa chozi....
By Mwandishi WetuMarch 22, 2021SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani, kukamilisha ndoto za aliyekuwa rais wa taifa hilo, Hayati John...
By Kelvin MwaipunguMarch 22, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewashukia watu wanaofurahia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli (61), kilichotokea Jumatano...
By Regina MkondeMarch 22, 2021VILIO vimetawala viwanja vya Bunge jijini Dodoma, wakati wabunge wakiaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (61). Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2021UMATI mkubwa wa waombolezaji wanaofika kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, umeifanya Serikali kutangaza utaratibu mpya wa kumuaga. Anaripoti Regina...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2021MARAIS 10 wa Barani Afrika wanatarajiwa kuhudhuria shughuli ya kitaifa ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2021JOHN Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tanzania, ameliteka Mkoa Dar es Salaam na viunga vyake, katika maeneo mbalimbali hususan, Uwanja wa Uhuru....
By Regina MkondeMarch 21, 2021MAELFU ya wakati wa mkoa wa Dar es Salaam na maeneo jirani, wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania,...
By Regina MkondeMarch 21, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amejikuta akibubujikwa machozi, mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Dk. John...
By Regina MkondeMarch 20, 2021VILIO na simanzi vimetawala Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam, baada ya jeneza lenye mwili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli...
By Regina MkondeMarch 20, 2021MAELFU ya waombolezaji wamefurika katika viunga vya barabara ya Ali Hassani Mwinyi na Kawawa mkoani Dar es Salaam, kutoa heshima za mwisho...
By Regina MkondeMarch 20, 2021VIKOSI vya usalama vimeimarisha ulinzi kila mahali, waombolezaji na watu mbalimbali wanaingia kwa kutumia mlango mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu Kila anayeingia eneo...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2021MWILI wa Hayati Rais wa awamu ya tano, John Pombe Magufuli (61), utazikwa Ijumaa ijayo ya tarehe 26 Machi 2021, badala ya...
By Regina MkondeMarch 20, 2021