Friday , 29 March 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea amng’ang’ania Mkurugenzi wa Jiji

MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea, amemtuhumu mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Spora Liana, kutumia madaraka yake vibaya na kwa maslahi...

Habari za Siasa

Polisi wamdhibiti Zitto Kigoma

JESHI la Polisi wilayani Kigoma limemzuia Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini, kufanya mkutano wake wa hadhara na wananchi, leo tarehe 17 Januari...

Habari za SiasaTangulizi

Vurugu zatawala mkutano wa Jiji la Dar es Salaam

MKUTANO wa Kamati ya Fedha na Uongozi wa halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, umemalizika baada ya kufanyika chini ya mtutu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Vita ya CCM vs Membe, Makamba, Kinana bado nzito

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kwamba, kinashughulikia agizo la Halmashauri Kuu yake ya Taifa, la kuwahoji makatibu wakuu wastaafu wa chama hicho, Abdulrahman...

Habari za Siasa

Chanzo kifo cha Mbunge CCM aliyefariki ghafla hotelini, chaanikwa

HOSPITALI ya Rufaa ya Sokoine mkoani Lindi, imesema chanzo cha kifo cha Rashid Akbar, aliyekuwa Mbunge wa Newala Vijijini, kilichotokea ghafla jana tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata Meya Dar: CCM waufyata

WAJUMBE wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wameshindwa kuendelea na mkakati wao...

Habari za Siasa

Maalim Seif, Bimani mikononi mwa polisi Pemba

MAALIM Seif Sharif Hamad na Salim Biman, wapo njiani kuelekea Pemba kuitikia wito wa Jeshi la Polisi wilayani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Selasini ajiuzulu bungeni

JOSEPH Roman Selasini, Mbunge wa Rombo (Chadema), amejiuzulu nafasi ya unadhimu wa Kambi ya Upinzani bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Selasini amechukua hatua...

Habari za Siasa

Kesi ya Meya Dar yafutwa, yamwacha na gharama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imefuta kwa gharama, kesi namba tatu ya mwaka 2020 ya Isaya Mwita, Meya wa...

Habari za Siasa

Tume Huru: Wazee Chadema ‘tatizo si Magufuli, ni Kikwete’

BAZARA la Wazee la Chama cha Chadema (BAZECHA), limesema mkwamo Tume wa Huru ya Uchaguzi, umesababishwa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

UPDP wamjia juu msajili

WANACHAMA wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP), wameitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, kutovibomoa vyama vya siasa vya...

Habari za Siasa

Tunakwenda kuitawala Dodoma – Chadema

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kati kimeeleza dhamira yake ya kuongoza Jiji la Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Lazaro...

Habari za Siasa

Vituko ofisi ya Meya Dar

WAKATI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akipewa siku 14 kukabidhi ofisi hiyo, Ofisi ya Halmashauri ya Jiji sasa imeamua...

Habari za SiasaTangulizi

Uozo sakata la Meya Dar waanikwa

UAMUZI wa madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutaka kumsimamisha kazi Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita umeibua uozo ndani...

Habari za Siasa

JPM azungumzia uchaguzi 2020, aonya wanaopanga kufanya fujo

RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kujiandaa vyema, katika kushiriki Uchaguzi Mkuu  wa mwaka huu.Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Rais Magufuli ametoa wito huo wakati akitoa...

Habari za Siasa

Zitto kusuka, kunyoa Febr 10 

UAMUZI wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kuhusu kesi ya uchochezi namba 327/2018 inayomkabili Zitto Kabwe, kwamba ana kesi...

Habari za Siasa

Meya Dar aivimbia CCM, atinga ofisini

LICHA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumvua madaraka Isaya Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam (Chadema), leo tarehe 10 Januari 2020...

Habari za Siasa

Sakata la Meya Dar: Mahakama yambwaga

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imesema, haiwezi kuzuia ‘meya’ wa jiji hilo, Isaya Mwita kuondolewa madarakani. Anaripoti Hamis Mguta,...

Habari za Siasa

Kamati za Bunge kuanza Jan 13

KAMATI za Kudumu za Bunge la Jamhuri, zinatarajiwa kuanza Jumatatu ya tarehe 13 – 24 Januari, 2020 jijini Dodoma, kabla ya Mkutano wa Kumi...

Habari za Siasa

Mnapanga kumng’oa Meya Kigoma, thubutuni – Zitto

MKAKATI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutumia hila kumng’oa Meya wa Manispaa ya Kigoma, Ujiji, Hussein Ruhava umetua kwa Zitto Kabwe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

‘Meya’ Isaya apata msoto Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kutoa uamuzi wa maombi ya Isaya Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, kuzuia madiwani jijini...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yatangaza kumuondoa Meya wa Dar

MKAKATI wa kumuondoa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (Chadema), umeshindwa kufanikiwa baada ya kukosekana 2/3 ya madiwani wanaotakiwa, hata...

Habari za Siasa

Mbowe awindwa Hai

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anawindwa jimboni kwake Hai, Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mwita Waitara, Naibu Waziri wa...

Habari za Siasa

Mdee aweka msimamo Kawe 2020

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe, jijini Dar es Salaam amesema, hakuna wa kumbabaisha kwenye Jimbo la Kawe, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020. Anaripoti Hamis...

Habari za SiasaTangulizi

Mke wa Kabendera akimbia nyumba

LOY Kabendera, mke wa Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi, anayeshikiliwa katika gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam, ametoweka kwa hofu...

Habari za SiasaTangulizi

Meya Isaya akalia kuti kavu

MEYA wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (Chadema), amekalia kuti, kufuatia hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), “kumsukia zengwe,”...

Habari za Siasa

Meya Dar: Maji yamenifika shingoni

ISAYA Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam anaonekana kukata tamaaa, ni baada ya kuundiwa kamati ya kuchunguza kuhusu tuhuma zinazomkabili. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Fatma Karume: Siku ya kufa ni moja, sitishwi

MWANAHARAKATI na mkosoaji mkubwa wa serikali ya awamu ya tano, Fatma Karume amesema, vitendo vya utekaji wanavyofanywa dhidi ya wanaharakati wengine, havimtishi wala...

Habari za Siasa

Kusimamishwa wanafunzi UDSM: BAVICHA kuiburuza Serikali mahakamani

BARAZA la Vijana la Chama cha Chadema (BAVICHA) limesema litafungua kesi mahakamani, ili kupinga hatua ya Uongozi wa Chuo cha Kikuu cha Dar...

Habari za SiasaTangulizi

CCM kumweka kikaangoni Mwita Waitara

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mara kimesema kitamuita kwenye Kamati ya Maadili, Mwita Waitara, Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, ili kujibu tuhuma za...

Habari za Siasa

Mama Kabendera aagwa, kuzikwa Jumatatu Bukoba

MWILI wa Verdiana Mujwahuzi, Mama wa Mwanahabari Erick Kabendera, leo tarehe 3 Januari 2020, umeagwa katika Kanisa Katoliki la Mt. Francis Xavier, Chang’ombe...

Habari za Siasa

Kifo cha Mama Kabendera: Chadema wamtumia ujumbe Rais Magufuli

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais John Magufuli kumwacha huru Mwanaharakati Erick Kabendera, ili kuifuta machozi familia yake kufuatia kifo cha...

Habari za Siasa

JPM awaweka njia panda Dk. Kigangwalla, Prof. Mkenda

RAIS John Magufuli ametoa siku tano kwa Dk. Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii na Prof. Adolf Mkenda, Katibu Mkuu wa wizara...

Habari za Siasa

Zitto ‘udenda’ wamtoka urais 2020

ZIITO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, yupo tayari kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).  “Mimi...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru, Zitto wachuana

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wapo ‘mtaani’ kukusanya maoni...

Habari za Siasa

Chadema waipa serikali fikra mpya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, kimeitaka serikali kuubinafsisha Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam, ili kuongeza ufanisi...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ala kiapo kizito uchaguzi mkuu 2020

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, amekula kiapo kizito kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti Faki Sosi, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Membe: Musiba aangukia pua

PINGAMIZI tatu zilizowasilishwa na Cyprian Musiba, katika kesi namba 220/2018 iliyofungliwa na Bernard Membe, zimetupiliwa mbali. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aongeza siku 20 usajili wa laini

RAIS John Magufuli ameongeza siku siku 20 kwa usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole kama ilivyotangazwa na Mamlaka...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Assad aibuka, aacha maswali

ALIYEKUWA Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG), Prof. Mussa Assad, amekana madai kuwa alitekwa na genge lililopachikwa jina...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Shoo agonja kisu kwenye mfupa

TABIA ya utekaji, utesaji, unyongaji haki, dhuluma na kiburi inayolalamikiwa nchini, imekemewa vikali na Dk. Frederick Shoo, Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili...

Habari za SiasaTangulizi

Tito Magoti ashtakiwa kwa uhujumu uchumi

HATIMAYE mwanaharakati na Ofisa wa Elimu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti, Theodory Faustine, wamefunguliwa mashitaka matatu likiwemo...

Habari za Siasa

‘Ushoga’ wa Bulaya, Mdee, wazua mjadala mahakamani

JESTER Amos Bulaya, mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), amedai mahakamani kuwa uhusiano wake na mbunge mwenzake wa Kawe, Halima James Mdee, “unafungwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yampigia ‘saluti’ Prof. Safari

KAULI ya Prof. Abdallah Safari, kwamba Chadema hakiwezi kuingia Ikulu bila kupigania Tume Huru ya Uchaguzi, sasa imevaliwa njuga na chama hicho. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Tanzania yahofia fedha za misaada, mikopo kupungua

WAKATI Tanzania ikielekea kwenye ujenzi wa uchumi wa kati, serikali imeonesha hofu juu ya kupungua kwa fedha za misaada kwa ajili ya miradi...

Habari za Siasa

Ujumbe mzito wa Mbowe kwa Mnyika, Mwalimu na Kigaila

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewapa ujumbe mzito, John Mnyika, Katibu Mkuu, Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Bara,...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika Katibu Mkuu Chadema, Mbowe ampoza Heche

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemteua John Mnyika, Mbunge wa Kibamba kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho na...

Habari za Siasa

Mwambe ameonja sumu kwa ulimi

IMBUNGE wa Chadema, katika jimbo la Ndanda, wilayani Masasi, mkoani Mtwara, Cecil David Mwambe (45), amethubutu. Amejaribu na ameweza kutenda kile kilicho washinda...

Habari za Siasa

Zitto awapa tano Tundu Lissu, Mbowe

ZITTO Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amempongeza Freeman Mbowe, kwa kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti  wa Chadema na Tundu Lissu kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe apewa mitano mingine Chadema

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ametangazwa tena kuhudumu nafasi hiyo kwa awamu nyingine. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Akitangaza...

error: Content is protected !!