Tuesday , 23 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Msajili wa Vyama vya Siasa ‘akaangwa’ bungeni

JAJI Francis Katabazi Mutungi, ameonywa kutojilimbikizia madaraka na kutaka kujiwekea kinga ya kutoshitakiwa mahakamani wakati yeye amebeba roho ya umma. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto azidi kuwavuruga CCM, Wabunge wake waazimia kumkabili

WABUNGE wote wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameazimia kwa pamoja kuhakikisha wanakabiliana na mbunge wa Kigoma Mjini, Zito Kabwe (ACT-Wazalendo) kwa madai kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kigogo CUF asota rumande

MJUMBE wa Baraza Kuu la Uongozi la CUF Taifa, Abdallah Khatau leo amefikisha siku ya tano akiwa rumande huku polisi wakigoma kumpa dhamana....

Habari za SiasaTangulizi

Zitto atishiwa kuuwawa

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kuwa, anatishiwa kuuwawa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Zitto amesambaza taarifa huyo kwenye mtandao...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe ‘afukuzwa Bungeni’

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, amefurushwa bungeni. Ni baada ya kuamriwa kutoka nje ya Kamati ya Bunge ya Katiba na...

Habari za Siasa

Meya Mwanza atimua waandishi

JAMES Bwire, Meya wa Jiji la Mwanza hana urafiki na waandishi wa habari kwa madai wanabagua. Anaripoti Moses Mseti…(endelea). Pia Bwire ametoa sababu nyingine kuwa,...

Habari za Siasa

JPM akabidhiwa mfumo wa kusimamia mawasiliano, atoa maagizo

RAIS John Magufuli leo tarehe 18 Januari 2019 amekabidhiwa rasmi Mfumo wa Usimamizi wa Mawasiliano ya Simu (TTMS) unaosimamiwa na Mamlaka ya Mawasiliano...

Habari za SiasaTangulizi

Mgogoro wa Spika Ndugai, Prof. Assad watua kwa JPM  

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania amefikisha kiaina mgogoro unaovuma kwa sasa kati yake na Prof. Mussa Assad, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

CAG amng’ang’ania Spika Ndugai

PROF. Mussa Assad, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), apigilia msumali kauli yake kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

Habari za SiasaTangulizi

Afya ya Mbowe kizungumkuti Segerea

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetuma mawakili wake kwenda kufuatilia ukweli kuhusu taarifa za ugonjwa wa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa chama hicho...

Habari za Siasa

Wateule wa JPM watwangana Makonde

SIO jambo la kawaida kwa viongozi wa serikali kutwangana Makonde hadharani lakini hii imetokea katika Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu awaombea ajira vijana kwa waandisi

WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa amewataka waandisi wanaosimamia majengo kuhakikisha wanatoa ajira kwa vijana ili waweze kunufaika na mradi wa ujenzi unaoendelea  mji wa...

Habari za Siasa

Serikali yamvaa Lissu

SERIKALI ya Tanzania imedai kuwa, Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ni muongo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Imeeleza, wakati Lissu akihojiwa na...

Habari za Siasa

Spika Ndugai alia na Zitto

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini ni mwanasiasa anayemsumbua Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na...

Habari za Siasa

Wadau waanza kutoa maoni Muswada wa Vyama vya Siasa

KAMATI ya Katiba na Sheria ya Bunge la Jamhuri, leo imeanza rasmi kupokea maoni ya wadau juu ya muswada wa sheria vya vyama...

Habari za Siasa

Mbowe mgonjwa, ashindwa kufika mahakamani

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ni mgonjwa, hali iliyopelekea kushindwa kufika mahakamani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hayo...

Habari za SiasaTangulizi

Sera za Lissu Ulaya hizi hapa

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki yupo ziarani Ulaya na sasa ameanza kueleza sera zake pale atakapochaguliwa na Watanzania kuwa rais wao. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

CCM: Msajili wa Vyama vya Siasa adhibitiwe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) jana kimepitia na kudadavua Muswada wa Sheria wa Vyama vya Siasa na kubaini udhaifu wake. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za SiasaTangulizi

Kambi ya Upinzani wajipanga kumng’oa Spika Ndugai

KAMBI rasmi ya upinzani Bungeni imepanga msimamo wa kumng’oa Spika wa Bunge, Job Ndugai iwapo hatabadilisha  msimamo wake wa kutangaza kuwa Bunge limesitisha...

Habari za Siasa

‘Nimejiuzulu Chadema kulinda maisha yangu’

RAPHAEL Mwaitege, Katibu wa Chadema wilayani Mbeya Mjini amejivua uanachama pamoja na nyadhifa zote alizokuwa nazo ndani ya chama hicho, kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai azidi kumng’ng’ania CAG

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri, amezidi kuchochea mgogoro wa kikatiba unaofukuta sasa, kati ya Bunge na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema amvaa Spika Ndugai, ampa kazi ngumu

NAIBU waziri Kivuli wa Nishati na Madini na Mbunge wa Viti Maalumu, Jesca Kishoa (Chadema) amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndigai kumuita mwanasheria...

Habari za Siasa

Mahakama yawabwaga wapinzani kesi ya muswada

MAHAKAMA Kuu Tanzania imetulia mbali shauri la kupinga Muswada Sheria ya Vyama vya siasa iliyonguliwa na Zitto Kabwe, Salumu Biman na Joran Bashange....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko waitwa Mahakama ya Rufaa

KESI ya kupinga kurejeshewa dhamana iliyofunguliwa na serikali dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasim na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mwekahazina wa...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aibua madai mapya CAG & Ndugai

ZITTO Zuberi Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, ameamua sasa “kulipasua jipu.” Anandika Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wamburuza Spika Ndugai kortini

SAKATA kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, limeanza kuchukua...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Bagonza: Muswada wa Vyama vya Siasa, ni wa Msajili si wa wananchi.

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, amedai muswada wa vyama vya siasa, “umeandaliwa mahususi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Shein ajigamba kupunguza utegemezi Z’bar

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Shein amesema utegemezi wa fedha katika bajeti ya serikali yake umepungua kutoka asilimia  30...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli agoma kuzungumza na wapinzani

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, “amegoma” kuzungumza na vingozi wenzake wa vyama vya siasa, akidai kwamba “waweza kumteketeza.” Anaripori Regina Mkonde...

Habari za Siasa

Serikali yawasilisha hoja 10, Mahakama kutoa maamuzi J’tatu

SERIKALI imewasiliasha hoja 10 kesi ya kupinga Muswa wa Sheria ya vyama vya siasa iliyofunguliwa na Zitto Kabwe Kiongozi wa ACT-Wazalendo wa Wenzake....

Habari za Siasa

Rais Magufuli akabidhi ndege zake kwa ATCL

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameagiza ndege mbili kati ya tatu zilizo chini yake, kukabidhiwa kwa Shirika la...

Habari za Siasa

Mwanasiasa mkongwe awapa somo watumishi vijana

WATUMISHI wa serikali na taasisi mbalimbali nchini ambao bado ni vijana wametakiwa kufanya kazi zao kwa uhaminifu na uzalendo kwa faida ya jamii...

Habari za Siasa

Kada BAVICHA atoweka, Chadema wahaha kumsaka

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa wito kwa Jeshi la Polisi, vyombo vya dola na wananchi kumtafuta Mwenyekiti wa Baraza la Vijana...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Prof. Assad; Zitto, Spika Ndugai wapambana kimataifa

NI kama vile sakata la Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof....

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Assad: Spika Ndugai aheshimu Katiba ya Nchi

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Asaad, “amemvua nguo” Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

JPM atema nyongo, asema ‘sitoacha kutumbua’

SIKU moja baada ya kufanya mabadiliko madogo serikalini, Rais John Magufuli amesema kuwa, hatokoma kuteua viongozi wapya na au kutengua uteuzi wa viongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai awaombea likizo mawaziri, JPM amgomea

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaombea likizo mawaziri na manaibu waziri kwa Rais John Magufuli. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

CCM wajipanga kumrudisha Rais Magufuli 2020

MWENYEKITI wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa, Dk. Edmund Mndolwa amewaagiza wajumbe wa Baraza Kuu la Wazazi kujipanga kikamilifu ili wamrudishe madarakani Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli apangua tena serikali yake

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, amefanya mabadiliko madogo katika serikali yake. Ameteuwa waziri mmoja mpya; amehamisha mwingine na ameteuwa makatibu wakuu...

Habari za Siasa

Spika Ndugai, ang’ang’aniwa mithili ya mpira wa kona

RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume na Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), wamekosoa kauli ya Spika wa Bunge, Job Ndugai,...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai acharuka Bunge kuitwa dhaifu, ataka pingu zitumike

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, ameagiza kufika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka, Mdhibiti...

Habari za Siasa

Wazee wa Chadema: Muswada wa vyama vya siasa, kaburi la demokrasia

MUSWADA wa Vyama vya Siasa waendelea kupingwa na vyama vya upinzani nchi kwa kilichotajwa kuwa kaburi la Demokrasia. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za Siasa

Waziri wa zamani wa Z’bar kuundiwa zengwe la uhaini

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano inamuandalia Mansour Yussuf Himid mashitaka ambayo akishasomewa mbele ya mahakama atapelekwa gerezani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mansour...

Habari za SiasaTangulizi

Waitara aanza mbio za kutaka kumng’oa Heche

MBUNGE wa Ukonga (CCM), Mwita Mwaikabe Waitara, ameanza kampeni za “kumdhoofisha” na hatimaye kumng’oa, hasimu wake mkuu kisiasa, mbunge wa Chadema katika jimbo...

Habari za Siasa

Mbunge wa Chadema aanika madudu ununuzi wa korosho

MBUNGE wa Jimbo la Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe amevunja ukimya juu ya manyanyaso wanayopata wananchi wa mikoa ya kusini katika mchakato wa Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama Kuu yazuia ‘njama’ za Serikali

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), amegonga mwamba mahakamani. Ni baada ya jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto afungua kesi kupinga muswada, yahairishwa mpaka mchana

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzake wawili, Joran Bashange na Salim Bimani wamefungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga Muswada...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari aongoza jopo la mawakili kuikoa Chadema

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tanzania Bara, Prof. Abdallah Safari, sasa atakuwa amejitosa rasmi kuokoa chama chake. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Wabunge ‘makasuku’ wanatukwamisha Bungeni

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo ameeleza kuwa wingi wa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bungeni kuna kwamisha maslahi ya wananchi kutokana kutumia...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo hawa kutikisa Kisutu leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo inatarajia kusikiliza kesi ya vigogo tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)....

error: Content is protected !!