Thursday , 18 April 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko mahakamani tena

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko, kesho Alhamisi, tarehe 30 Januari, wanarudi...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yaonesha huruma kwa wananchi  

WABUNGE wamejadili na kupitisha miswada miwili ukiwamo wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini, huku kamati ya Bunge ikikataa kiwango cha adhabu na vifungo...

Habari za SiasaTangulizi

Uungu’ wa Msajili wa Vyama kuanza na Lissu, Zitto  

NGUVU za kimamlaka zilizowekwa kwenye sheria ya vyama vya siasa na kupigiwa chapuo na baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zaweza...

Habari za Siasa

Sugu amshauri Rais Magufuli kumhamisha RC wa Mbeya

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kama angepata nafasi ya kumshauri Rais John Magufuli, angemshauri kumteua aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya...

Habari za SiasaTangulizi

Muswada Vyama vya Siasa wapita, wazua sintofahamu

BUNGE la Jamhuri, jana tarehe 29 Januari 2019, limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa (2018), katikati ya msuguano mkali...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea, Zitto, waisambaratisha Serikali kwenye Muswada wa Vyama vya Siasa

MBUNGE  wa Ubungo (Chadema) Saed Kubenea amewavaa vigogo watatu wanasheria kuwa wamepeleka bungeni Muswada wa Marekebisho wa Vyama vya Siasa wa mwaka 2018,...

Habari za Siasa

Kubenea aikalia kooni Serikali Muswada wa Vyama vya Siasa

MBUNGE  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amewavaa vigogo watatu ambao ni wanasheria nguli nchini kwa kupeleka...

Habari za Siasa

DC, RC wamkera Rais Magufuli

RAIS John Magufuli amevunja ukimya kuhusu vitendo vya baadhi ya wakuu wa wilaya na mikoa kuwaweka rumande raia. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari za Siasa

Korosho yamwinua Nape, Nchuma bungeni

KIKAO cha 14 cha Bunge la Jamhuri kimeanza leo tarehe 29 Januari 2019 ambapo pamoja na shughuli zingine, wabunge wameuliza maswali mbalimbali. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mtolea aonja jeuri ya upinzani bungeni

ABDALLAH Mtolea, Mbunge wa Temeke ameapishwa leo tarehe 29 Januari 2019 bungeni mbele ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wa CUF...

Habari za Siasa

1.5 Trilioni zipo wapi?

SI Bunge wala wananchi wanaojua kiasi cha Sh. 1.5 Trilioni ambazo hazikuonekana kwenye Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Bungeni; Ni Serikali vs Wananchi  

MKUTANO wa 14 wa Bunge la Jamhuri unaanza leo tarehe 29 Januari 2019 ambapo pamoja na shughuli zingine, hatma ya maoni ya wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

Kitendawili cha Muswaada wa Vyama vya Siasa kuteguliwa

LEO MKUTANO wa kumi na nne Bunge la kumi na moja linatarajiwa kuanza shughuli zake jijini Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

‘Mbaya wa Mbowe’ aukwaa ujaji

HAKIMU Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, Wilbard Richard Mashauri, ni miongoni mwa maofisa 15 wa mahakama waliotangazwa na...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba awakumbuka waliouwawa kwenye maandamano

IKIWA ni miaka 18 tangu kutokea kwa mauaji ya waandamanaji wa Chama cha Wananchi CUF visiwani Zanzibar, Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa chama...

Habari za Siasa

Mmiliki wa mabasi ya Batco, CRDB watuhumiwa “kutapeli” hoteli

MFANYABIASHARA na mmiliki wa mabasi ya Batco jijini Mwanza Baya Kusanja Malagi pamoja na benki ya CRDB wanadaiwa kula njama kwa pamoja na...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Assad anaendelea kuwa mwiba kwa serikali

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amefichua tuhuma nyingine mpya. Safari hii, CAG anaituhumu Serikali kutumia zaidi ya Sh. 2.7...

Habari za Siasa

Kada wa CCM awavaa Zitto, Lissu, amsifia JPM

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC), Mussa Mwakitinya maarufu kwa jina la ‘Mwana wa Mungu’ amewashambulia wabunge wa upinzani...

Habari za SiasaTangulizi

Muswaada wa Vyama vya Siasa, unavunja Katiba            

MUSWAADA wa Vyama vya Sisasa uliowasilishwa bungeni na serikali kwenye mkutano uliyopita wa Bunge na ambao umeanza kujadiliwa kwenye ngazi ya Kamati, umebeba...

Habari za SiasaTangulizi

JPM ajibu kombora la Mchungaji KKKT

RAIS John Magufuli amejibu hoja iliyoibuliwa na Amani Lyimo, Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwamba, ‘amebana’ demokrasia nchini. Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu ampa ‘live’ JPM kuhusu demokrasia

RAIS John Magufuli ameshauriwa ‘kulegeza’ kidogo demokrasia ili Watanzania wapate afueni kutokana na sasa kujaa hofu. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akizungumza kwenye...

Habari za Siasa

Viongozi wa dini wavutana mbele ya Rais Magufuli

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mchungaji Amani Lyimo amevutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat...

Habari za Siasa

Askofu: Mivutano ya dini na serikali iangaliwe

KUMEKUWEPO na mifutano baridi kati ya taasisi za dini na serikali hasa katika utoaji wa huduma za kijamii jambo ambalo linasababisha kuwepo kwa...

Habari za Siasa

Kilio uvunjwaji msikiti UDOM chafikishwa JPM

KILIO kinachotokana na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma kuamuru kuvunjwa kwa msikiti uliokuwa ukijengwa kwa ajili ya ibada ya waumini wa Dini...

Habari za Siasa

Askofu Gwajima amfananisha Rais Magufuli na Nabii

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Gwajima amemfananisha Rais John Magufuli na Nabii. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akichangia...

Habari za Siasa

Halima Mdee ajieleza mbele ya Kamati ya Bunge

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee amefika mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa ajili ya kuhojiwa kufuatia...

Habari za SiasaTangulizi

Imevuja; CAG ‘aliilewesha’ kamati iliyomuhoji

TAARIFA kutoka ndani ya kamati iliyomuhoji Prof. Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) jana Jumatatu, ‘ilibaki mdomo wazi’....

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lamhoji Prof. Assad kwa saa nne 

PROF. Mussa Assad, mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali (CAG), amemaliza kuhojiwa na Kamati ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya...

Habari za SiasaTangulizi

CAG awasili bungeni, mfumo wa kumhoji ni huu

PROFESA Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amewasili bungeni kuitikia wito uliotolewa na Job Ndugai, Spika wa Bunge...

Habari za Siasa

Yametimia; Prof. Assad atua bungeni na ushahidi wake

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, tayari yupo Dodoma “kukabiliana” na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

Habari za SiasaTangulizi

John Shibuda: Muswada wa vyama unamchafua Rais Magufuli 

KATIBU Mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Magale Shibuda, amedai kuwa muswada mpya wa vyama vya siasa uliowasilishwa bungeni na serikali, umelenga “kuichafua...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba amgeuka Jaji Mutungi

MTAFARUKU mkubwa umeibuka ndani ya Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, kufuatia mwenyekiti wa kamati hiyo, Mohammed Nchengerwa, kuamuru pande mbili zinazopingana...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yabariki CCM kumsulubu Zitto

WAKATI Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakipanga kumsulibu Zitto Kabwe, Chama cha ACT Wazalendo kimebariki mkakati huo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za Siasa

‘Muswada vyama vya siasa una vionjo vya ugaidi’

MUUNDO wa Muswada wa Sheria ya Vyama vya Siasa, uliowasilishwa bungeni na Serikali ya Jamhuri, unatajwa kusheheni vimelea vya sheria ya ugaidi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu ashitukia njama za kumvua ubunge

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, amefichua mpango wa siri wa kutaka kumvua ubunge...

Habari za Siasa

Msajili wa Vyama vya Siasa ‘akaangwa’ bungeni

JAJI Francis Katabazi Mutungi, ameonywa kutojilimbikizia madaraka na kutaka kujiwekea kinga ya kutoshitakiwa mahakamani wakati yeye amebeba roho ya umma. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto azidi kuwavuruga CCM, Wabunge wake waazimia kumkabili

WABUNGE wote wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameazimia kwa pamoja kuhakikisha wanakabiliana na mbunge wa Kigoma Mjini, Zito Kabwe (ACT-Wazalendo) kwa madai kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kigogo CUF asota rumande

MJUMBE wa Baraza Kuu la Uongozi la CUF Taifa, Abdallah Khatau leo amefikisha siku ya tano akiwa rumande huku polisi wakigoma kumpa dhamana....

Habari za SiasaTangulizi

Zitto atishiwa kuuwawa

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kuwa, anatishiwa kuuwawa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Zitto amesambaza taarifa huyo kwenye mtandao...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe ‘afukuzwa Bungeni’

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, amefurushwa bungeni. Ni baada ya kuamriwa kutoka nje ya Kamati ya Bunge ya Katiba na...

Habari za Siasa

Meya Mwanza atimua waandishi

JAMES Bwire, Meya wa Jiji la Mwanza hana urafiki na waandishi wa habari kwa madai wanabagua. Anaripoti Moses Mseti…(endelea). Pia Bwire ametoa sababu nyingine kuwa,...

Habari za Siasa

JPM akabidhiwa mfumo wa kusimamia mawasiliano, atoa maagizo

RAIS John Magufuli leo tarehe 18 Januari 2019 amekabidhiwa rasmi Mfumo wa Usimamizi wa Mawasiliano ya Simu (TTMS) unaosimamiwa na Mamlaka ya Mawasiliano...

Habari za SiasaTangulizi

Mgogoro wa Spika Ndugai, Prof. Assad watua kwa JPM  

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania amefikisha kiaina mgogoro unaovuma kwa sasa kati yake na Prof. Mussa Assad, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

CAG amng’ang’ania Spika Ndugai

PROF. Mussa Assad, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), apigilia msumali kauli yake kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

Habari za SiasaTangulizi

Afya ya Mbowe kizungumkuti Segerea

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetuma mawakili wake kwenda kufuatilia ukweli kuhusu taarifa za ugonjwa wa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa chama hicho...

Habari za Siasa

Wateule wa JPM watwangana Makonde

SIO jambo la kawaida kwa viongozi wa serikali kutwangana Makonde hadharani lakini hii imetokea katika Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu awaombea ajira vijana kwa waandisi

WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa amewataka waandisi wanaosimamia majengo kuhakikisha wanatoa ajira kwa vijana ili waweze kunufaika na mradi wa ujenzi unaoendelea  mji wa...

Habari za Siasa

Serikali yamvaa Lissu

SERIKALI ya Tanzania imedai kuwa, Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ni muongo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Imeeleza, wakati Lissu akihojiwa na...

Habari za Siasa

Spika Ndugai alia na Zitto

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini ni mwanasiasa anayemsumbua Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na...

Habari za Siasa

Wadau waanza kutoa maoni Muswada wa Vyama vya Siasa

KAMATI ya Katiba na Sheria ya Bunge la Jamhuri, leo imeanza rasmi kupokea maoni ya wadau juu ya muswada wa sheria vya vyama...

error: Content is protected !!