Thursday , 25 April 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani Tanzania waivaa Tume ya Uchaguzi 

MUUNGANO wa vyama Nane vya upinzani nchini, umetuhumu Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), kuvunja katiba na sheria za nchi, kwa kuendelea kung’ang’ania...

Habari za SiasaTangulizi

Mlenga shabaha (Sniper) atinga kwenye kesi ya viongozi Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi wa shahidi wa nne kwenye kesi  inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema),...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi nilipigwa jiwe na wafuasi wa Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi kwenye kesi ya Uchochezi nambari 112 ya mwaka 2018,  inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia...

Habari za Siasa

Nyalandu aonja machungu ya kuwa upinzani

LAZARO Nyalandu, aliyewahi kuwa Mbunga wa Singida Kaskazini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameeleza kufedheheshwa na kadhia ya kwenda kuripoti Kituo cha Polisi...

Habari za Siasa

Mbunge Kisangi: Uhaba shule za walemavu ni kikwazo

MBUNGE Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Mariam Kisangi ameishauri serikali kuongeza idadi ya shule za watoto wenye mahitaji maalumu, akisema wengi wao...

Habari za Siasa

Prof. Kabudi: Ni wivu tu

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amejigamba kwamba, kwenye nchi hii amefanya kazi ya kutukuka na...

Habari za Siasa

Maalim Seif, Zitto waivaa Ukonga

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Maalim Seif Sharif Hamad, mwanachama namba moja wa chama hicho, walilivaa Jimbo la Ukonga...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif ailia kiapo CCM 2020

MAALIM Seif Sharif Hamad, mwanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekula kiapo hadharani kwamba, hatolala mpaka ahakikishe kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekaa kando....

Habari za Siasa

Sakata Balozi wa EU: Serikali yabanwa

HATUA ya Roeland van de Geer, aliyekuwa Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Tanzania kuondoka na kurejea kwao kwa shinikizo, sasa imehojiwa...

Habari za Siasa

Mambo ya Nje yaomba Bil 166

WIZARA ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeomba bajeti ya ya Sh. 166.92 bilioni kwa Mwaka wa Fedha 2019/20. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

Serikali yamjibu Nape kuhusu ATCL

TATIZO la ndege za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kuchelewa kuanza safari zake, leo tarehe 30 Mei 2019 bungeni limeibuliwa na Nape Nnauye,...

Habari za Siasa

Wabunge Z’bar walalamikia vikwazo vya biashara Bara

WABUNGE wa Zanzibar, wameonesha kukerwa na vikwazo vya ushuru wanavyopitia wafanyabiashara wanaoingiza na kusafirisha bidhaa zao nje ya nchi kupitia Tanzania Bara. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Benki ya Dunia yaipa kibano kingine serikali ya Magufuli

BENKI ya Dunia (WB), yaweza kuhamisha ofisi yake ya Mkurugenzi Mkazi kutoka jijini Dar es Salaam na kuipeleka nchini Afrika Kusini. Anaandika Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Utouh alianzisha, aungana na Prof. Assad

LUDOVICK Utouh, Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, ameungana na Prof. Mussa Assad, CAG wa sasa kwamba, Bunge linashindwa kusimamia...

Habari za Siasa

JPM atembelea walipozikwa mashujaa Namibia

RAIS John Magufuli ametembelea eneo la kumbukumbu ya mashujaa waliopigania ukombozi wa nchi ya Namibia, lililopo nje kidogo ya Jiji la Windhoek nchini...

Habari za Siasa

Nyalandu, wenzake waachwa kwa masharti

JESHI la Polisi mkoani Singida limewatoa mahabusu Lazaro Nyalandu na wenzake wawili, David Jumbe na mmoja aliyetajwa kwa jina la Samson, kwa dhamana...

Habari za Siasa

Waziri: ‘Tumepigwa’ sana

MIKATABA mingi inayoingiwa na wizara, taasisi za umma na wadau mbalimbali nchini, imekuwa na udanganyifu mkubwa na kusababisha taifa kupata hasara. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za SiasaTangulizi

TAKUKURU wamwachia Nyalandu, Polisi wamnyima dhamana

JESHI la Polisi Singida Mjini limemnyika dhamana Mbunge wa zamani wa Jimbo la Singida Kaskazini na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema: Hatujui alipo Nyalandu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema), kimeeleza kutojua alipo Lazaro Nyalandu, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya Awamu ya Nne....

Habari za Siasa

Rais Magufuli awa kivutio Sauzi, ampiga picha Kikwete, Ramaphosa

RAIS John Magufuli leo Jumamosi Mei 25, 2019, amekuwa kivutio nchini Afrika Kusini baada ya kugeuki fani ya kupiga picha katika hafla ya...

Habari za SiasaTangulizi

JPM amfuata Rais Ramaphosa Afrika Kusini

RAIS John Magufuli anatarajiwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa zinazotarajiwa kufanyika kesho tarehe 25 Mei 2019. Anaripoti...

Habari za Siasa

Wanawake wapigiwa debe kugombea nafasi Serikali za Mtaa

WANAWAKE mkoani Morogoro wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe anena, kurudi kwa Tundu Lissu

TAARIFA za ujio wa Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki zimekolezwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti...

Habari za Siasa

Upinzani watangaza ‘vita’ mpya

VYAMA vinane vya upinzani nchini, vimedhamiria mambo mawili makubwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani. Anaripoti Hamisi...

Habari za Siasa

Serikali inatoa majibu mepesi – Mbunge CUF

MBUNGE wa Jimbo la Bumbwini, Muhammed Amour Mohammed (CUF), amesema kuwa serikali imekuwa ikitoa majibu mepesi kwa maswali yanayoulizwa na serikali. Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: CCM itaongoza zaidi ya miaka 100 ijayo

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amesema kuwa, chama hicho kitaendelea kuongoza dola kwa zaidi ya miaka 100 ijayo. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbunge CCM: Serikali inatoa kipaumbele kwa wazinifu 

MBUNGE wa Ulanga, Goodluck Mlinga ameeleza kushangazwa na hatua ya serikali kugawa mipira ya kiume ya kujamii (kondom) kwa wazinifu bure, huku ikishindwa kugawa...

Habari za Siasa

Mrithi wa Nassar akabidhiwa jimbo

MRITHI wa Joshua Nassari katika Jimbo la Arumeru Mashariki, Dk. John Pallangyo, ameapishwa leo tarehe 22 Mei 2019 kuwa mbunge wa jimbo hilo...

Habari za SiasaTangulizi

Lugola alikoroga tena, Bunge lamng’ang’ania

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT- Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, ameituhumu serikali kwa kile alichokiita, “kushindwa au kunyamazia,” vitendo vya ubakaji wanavyofanyiwa wapigakura wake....

Habari za Siasa

TTCL yajitetea mbele ya JPM

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limekinzana na madai kwamba, linatoa gawio kwa serikalini licha ya kujiendesha kwa hasara. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika...

Habari za Siasa

Lukuvi amteua Polepole ujumbe Bodi ya NHC

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameteua wajumbe saba wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), akiwemo...

Habari za SiasaTangulizi

Masele: Sijawahi kukurupuka

STEPHEN Masele, Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) amesema, hajawahi kukurupuka katika kusimamia jambo lolote. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Alitoa kauli hiyo muda mfupi...

Habari za SiasaTangulizi

Mdude: Nilitekwa, sihofii kifo

MWANAHARAKATI Mdude Nyagali, amehusisha kutekwa kwake na sababu za kisiasa huku akisisitiza kwamba, hatorudi nyuma. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). “Ninachojua ni kuwa, nilitekwa kwa...

Habari za Siasa

Shahidi wa Jamhuri: Nyaraka hizi alisaini Zitto

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi Na. 237/2018 ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Membe ‘ampuuza’ Rostam Aziz

BENARD Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, “amemshutumu” mfanyabiashara na mmoja wa wanasiasa mashuhuri nchini, Rostam Aziz,...

Habari za Siasa

Mbunge CUF adai Ripoti ya Haki za Binadamu, Utawala Bora bungeni

MBUNGE wa Mgogoni, Dk. Suleiman Ally Yusuph amehoji kwa nini ripoti za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania (THBUB) haziwekwi...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi apiga ‘yowe’ baada ya kubanwa na Wakili

MASHAKA Juma, shahidi wa pili kwenye kesi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameieleza mahakama kuwa, wakili anambana kwenye maswali....

Habari za Siasa

Rais Magufuli ang’oa wakurugenzi wawili wa Halmashauri

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe na Uyui mkoani Tabora. Anaripoti Regina Mkonde …...

Habari za Siasa

Shahidi kesi ya Zitto amtaja Lissu

SHAHIDI wa tatu, Shabani Hamis (40) kwenye kesi  Na. 327/2018 ya uchochezi inayomkabili Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameieleza mahakama kwamba,...

Habari za Siasa

Kesi ya Zitto: Shahidi asema ‘nawachukia polisi’

SHAHIDI wapili kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, analichukia...

Habari za Siasa

Masele ashusha mashambulizi

STEPHEN Masele, Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) amesema, hana tabia ya kueleza...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai alianzisha upya kwa Prof. Assad

MNYUKANO kati ya Job Ndugai, Spika wa Bunge na Profesa Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), bado unaendelea. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbunge CCM amvimbia Spika Ndugai

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limesimamisha uwakilishi wa Mbunge wa Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele hadi Kamati ya Haki, Maadili...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi abanwa, Dk. Mashinji augua ghafla kizimbani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeahairisha kusikiliza ushahidi wa shahdi wa tatu wa upande wa mashitaka katika kesi inayowakabili...

Habari za Siasa

Shahidi kesi ya Mbowe: Nilipigwa jiwe, nikazimia

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi namba 112 ya uchochezi, inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Kabudi ‘ashikwa kooni’ kutema uwaziri

PROFESA Paramagamba Kabudi, aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, ametakiwa kujiuzulu kwa madai ya kushindwa kumshauri vizuri Rais John Magufuli. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi: Sina mahaba na Mbowe

SHABANI Hassani  Shahidi kwenye kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabali viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameweka wazi kuwa hana...

Habari za Siasa

Prof. Assad: Inapaswa kusimamia misingi ya kazi

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad amesema, maofisa wanatakiwa kufanya kazi kwa kujiamini pia kujibu hoja kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi ‘fundi magrili’ amng’ang’ania Mbowe, Matiko, Mdee kuhusika

LEO tarehe 14 Mei 2019, shahidi wa pili upande wa serikali kwenye kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema, ametoa ushahidi wake. Jopo...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo wamshangaa AG

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeshangazwa na hatua ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kupinga hukumu ya Mahakama Kuu iliyobatilisha wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Anaripoti Regina...

error: Content is protected !!