Thursday , 28 March 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Lissu amejitakia mwenyewe

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amesema, Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki amejitajia mwenyewe ‘kuvuliwa ubunge.’ Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). “Kwa...

Habari za Siasa

Kubenea ahoji vibali vya sukali kutoka nje

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), ameihoji serikali na kutaka ieleze kama kitendo cha kutoa kibali cha viwanda vya sukari kuagiza sukari nje...

Habari za SiasaTangulizi

BREAKING NEWS: Kesi ya Ubunge: Mahakama yamzima Lissu

MAHAKAMA Kuu ya Dar es Salaam leo tarehe 9 Septemba 2019, imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, likiwemo...

Habari za Siasa

TRA inakwama kukusanya kodi Mbagala-Mbunge

ISSA Mangungu, Mbunge wa Mbagala ameishauri serikali irudishe mamlaka ya kukusanya kodi ya majengo kwa halmashauri, akidai kwamba Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...

Habari za Siasa

Alichiandika Lissu, kuadhimisha miaka mwili tangu kupigwa risasi

SEPTEMBA 7, 2017 – SEPTEMBA 7, 2019: MIAKA MIWILI YA MATESO, MATUMAINI Tundu AM Lissu, MB Ndugu na marafiki zangu popote mlipo, Wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

Ujio wa Lissu ‘bab kubwa’

UJIO wa Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, utakuwa wa kipekee. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Lissu ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya...

Habari za Siasa

Mtatiro atuliza polisi Tunduru

JULUS Mtatiro, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma amelitaka Jeshi la Polisi wilayani humo kutotumia nguvu katika kushughulikia madereva wa pikipiki ‘Bodaboda’ wanaovunja...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto azungumzia kumbukumbu ya miaka 2, kushambuliwa Lissu

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amezungumzia miaka miwili tangu Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ashambuliwe na risasi jijini...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kwanini serikali inalipisha fedha maiti?-Mbunge ahoji

MBUNGE wa upinzani ameitaka serikali ieleze, ni lini itaacha kulipisha fedha maiti? Anaripoti Danson Kaijage … (endelea). Ni kutokana na mgonjwa kufia hospitalini...

Habari za Siasa

Zogo bungeni, wapinzani wafura

HATUA ya Bunge la Jamhuri kupitisha Mswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali (Na.5) wa mwaka 2019, imetibua wapinzani. Anaripoti Danson Kaijage...

Habari za SiasaTangulizi

Mugabe aliishi shujaa, amekufa ‘dikteta’

ALIYEKUWA Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe (95), amefariki dunia, nchini Singapore. Rais wa sasa wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, amethibitisha kifo cha mwanasiasa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe alianzisha; AG, Waitara wamtuliza

SUALA la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2019, limeibuka bungeni na kusababisha mabishano baina ya Mwita Waitara, Naibu Waziri Ofisi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Airbus A220-300 iliyokamatwa Afrika Kusini yatua Tanzania

NDEGE ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), iliyokuwa imeshikiliwa nchini Afrika Kusini, tayari imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

Habari za Siasa

‘Matukio kutupa watoto yameongezeka’

BUNGE limeelezwa, katika kipindi cha Januari hadi Juni 2019, kumekuwa na jumla ya matukio 66 ya watoto waliotupwa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

JPM: Nimewasamehe Makamba, Ngeleja

RAIS John Magufuli amewasamehe January Makamba, aliyekuwa Waziri wa Mazingira na Muungano na Willium Ngeleja, Mbunge wa Sengerema baada ya kumwomba radhi. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Mahakama Afrika Kusini yaamuru ndege ya Tanzania iachwe huru

NDEGE ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), aina ya Air Bus A220-300 iliyoshikiliwa nchini Afrika Kusini kwa amri ya mahakama, imeachwa huru. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, Lissu wamkosha Maalim Seif

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo anatarajia mwelekeo mpya wa vyama vya upinzani nchini baada ya Zitto Kabwe na...

AfyaHabari za Siasa

Mbunge ataka mazingira rafiki kwa madaktari bingwa

SONIA Mgogo, Mbunge wa Viti Maalum (CUF), ameitaka serikali kueleza mpango wake wa kuwawezesha madaktari bingwa ili wafanye kazi nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Ddodoma …...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mbunge Chadema ahoji miradi ya maji kutokamilika

SERIKALI imetakiwa ieleze, ni lini itahakikisha miradi ya maji ambayo inatakiwa kutekelezwa, inatekelezwa kwa wakati. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endela). Pia imetakiwa...

Habari za Siasa

Spika Ndugai atangaza mfumo mpya kazi za Bunge 

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ametangaza kusitisha kutoa karatasi zinazoonesha orodha ya vikao vya shughuli za Bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Ametoa...

Habari za SiasaTangulizi

Kuapishwa mrithi wa Lissu: Wapinzani wasusa, Ndugai apiga kijembe

MIRAJI Mtaturu ameapishwa rasmi kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, akirithi mikoba ya Tundu Lissu aliyevuliwa ubunge wa Jimbo hilo. Anaripoti Regina Mkonde …...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yamweka Lissu njia panda

MAHAKAMA Kuu nchini Kanda ya Dar es Salaam, imesitisha kutoa uamuzi wa kuapishwa ama kutoapishwa kwa Mbunge Mteule wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu....

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Nyinyi watendaji ndio waamuzi

RAIS John Magufuli amesema, yeye ni mpangaji wa muda pale Ikulu, na kwamba watendaji kata na Watanzania ndio wanaoamua nani awe mpangaji wa jengo...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yanyang’anywa halmashauri Karatu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), tayari kimepoteza uongozi wa moja ya ngome yake kuu iliyokuwa inaishikilia kwa takribani miaka 25 mfululizo. Ni...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, Lissu wateta mazito Ubelgiji

MBUNGE wa Kigoma Mjini, kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, yuko nchini Ubelgiji, alikokwenda kumjulia hali mwanasiasa mahiri nchini, Tundu Antipas Lissu....

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru aivimbia CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally, amepingana utamaduni ulioanza kujengwa ndani ya chama wa kupachika majina ya wagombea kwenye...

Habari za Siasa

Kibatala amkwamisha mteja wake Mbowe

WAKILI wa utetezi, Peter Kibatala amekwamisha kesi ya uchochezi inayomkabili Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na wenzake. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Wakili huyo hakutokea...

Habari za Siasa

Shahidi amsukumia ‘zigo’ Mbowe, wenzake

SHAHIDI namba 7 katika kesi Namba 112 ya mwaka 2018, inayowakabili viongozi wa Chadema katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, amedai kwamba ni...

Habari za SiasaTangulizi

IGP Sirro tuhumani

HATUA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuendelea kufanya mikutano ya siasa huku vyama vingine vikinyimwa uhuru huo, sasa inapigiwa yowe. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea). IGP...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru: Kweli vyuma vimekaza

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema “ni kweli vyuma vimekazi” akaongeza “kwa wale wapiga dili.” Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kiongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la ATCL: TLS yamvaa Musiba

CHAMA cha Mawakili Tanzania Bara (TLS), kimelaani shutuma zinazoelekezwa kwa mawakili kwamba hawana uzalendo, wakihusishwa na kukamatwa kwa ndege ya Shirika la Ndege...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Sakata la ATCL: Ubalozi wa Afrika Kusini – Tanzania ‘wavamia’

KUNDI la watu wachache limejitokeza leo tarehe 28 Agosti 2019, kwenye ofisi za ubalozi wa Afrika Kusini, uliopo kwenye barabara wa Shabani Robert...

Habari za Siasa

Ahadi ya Dk. Bashiru kwa wagombea CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, ameahidi kuwapitisha kwenye ‘tanuri’ wagombea wa chama hicho kuelekea uchaguzi wa Serikali za...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la ATCL: Mwigulu, Lema ‘wachapana’

SAKATA la kushikiliwa ndege ya Shirika la Ndege Tanzania Limited (ATCL) nchini Afrika Kusini kwa amri ya mahakama, limechochea mvutano baina ya wabunge...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya kuvuliwa Ubunge: Lissu aiangusha Serikali

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo tarehe 26 Agosti 2019, imetupilia mbali pingazi la Jamhuri kutaka kutosikilizwa ombi la Tundu Lissu,...

Habari za Siasa

Kesi ya Halima Mdee: Hakimu atoa ukomo 

MHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkuu, jijini Dar es Salaam imetoa ukomo wa kesi inayomkabili Halima Mdee, Mbunge wa Kawe (Chadema) ya kumtolea lugha...

Habari za Siasa

Viongozi ACT-Wazalendo, mwanahabari wakwama

VIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo pamoja na mwanahabari Haruna Mapunda, wamekwama kufikishwa mahakamani kutokana na jalada lao kupelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Anaripoti...

Habari za Siasa

Lissu Vs Ndugai; Mambo hadharani leo

HATIMA ya mvutano kati ya mawakili wa Jamhuri na utetezi upande wa Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki unatarajiwa kutatuliwa leo tarehe...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Madeni yaiweka njiapanda ATCL

MADENI yanayoliandama shirika la ndege la taifa (ATCL), yanazidi kushika kasi, kufuatia mmoja wa wadeni wake, kupata amri ya mahakama kuzuia moja ya...

Habari za Siasa

Chadema watoa neno Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

JOHN Mrema, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, ameitaka Serikali kutoa kanuni mapema na kutangaza tarehe ya uchaguzi...

Habari za Siasa

Polisi wazuia mkutano wa Maalim Seif Temeke

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimezuiwa kufanya mkutano wake wa ndani na Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi Temeke kutokana na kukosa kibali. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili waandamizi 15 wa Serikali wahenya kumzuia Lissu

SAA karibu 12 zilizoandamana na vipindi viwili vya mapumziko vilivyochukua jumla ya dakika kumi hivi, zilimtosha Jaji Sillius Matupa wa Mahakama Kuu kutamka...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 24 – Serikali

KITENDAWILI kuhusu tarehe rasmi ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, sasa kimeteguliwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Seleman Jafo, Waziri...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili wa Mbowe alivyombana kwenye ‘kona’ shahidi wa Jamhuri

BAADA ya shahidi namba saba wa Jamhuri, Victoria Wihenge kumaliza kutoa ushidi wake kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018 inayomuhusu Freeman Mbowe, Mwenyekiti...

Habari za Siasa

Rais Shein kufungua mkutano wa Jumuiya ya Madola

RAIS wa Zanzibar Dk. Ally Mohamed Shein, anatarajia kufungua mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola, Kanda ya  Afrika...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Kitimtim kortini, Hakimu ‘nitaita polisi’  

MVUTANO umeibuka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kati ya upande wa Jamhuri na ule wa utetezi kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yagomea ripoti, hekaheka Halmashauri Nyang’wale

HATUA ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), kugomea taarifa ya Halmashauri ya Nyang’wale, Geita kwa madai...

Habari za Siasa

Mwenge wapitisha miradi Ikungi, DC Mpogolo apongezwa

EDWARD Mpogolo, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Singida amepongezwa kwa kusimamia miradi ya maendeleo ndani ya muda mfupi tangu ateuliwe kwenye nafasi hiyo....

Habari za Siasa

Balozi Palestina ampongeza JPM

BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour AbuAli amempongeza Rais John Magufuli na serikali yake kwa kuimarisha uchumi wa nchi yake. Anaripoti Yusuph...

Habari za Siasa

Prof. Kabudi: Afrika hakuna kama Mwl. Nyerere

WAZIRI wa Mambo ya Nje ya Nchi, Prof. Palamagamba Kabudi amesema, hakuna kiongozi aliyefanya makubwa Afrika zaidi ya Rais wa Awamu ya Kwanza,...

error: Content is protected !!