Thursday , 28 March 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Watuhumiwa 467 uhujumu uchumi waomba toba, kulipa Bil. 107.1

WATUHUMIWA 467 wa uhujumu wameomba toba, na kukubali kurejesha serikalini fedha walizotafuna zaidi ya Sh. 107.1 bilioni. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hayo...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aibuka na mbinu ya kuing’oa CCM

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe aeleza mbinu zitakazotumiwa na chama hicho kukiondoa madarakani  Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia uchaguzi wa serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Butiku: Tuko kwenye wakati mgumu

MZEE Joseph Butiku, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, amevitaka vyama vya siasa kufuata misingi ya Katiba, ili kuirudisha nchi kwenye mstari...

Habari za Siasa

AZAKI zang’ata na kupuliza utendaji wa JPM

ASASI za Kiraia nchini (AZAKI) zimeipongeza Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais John Pombe Magufuli kwa kuboresha huduma za kijamii na...

Habari za Siasa

Kigogo CCM aivua nguo UVCCM

KAPTENI Mstaafu, Alhaji Mohammed Ligora aliyewahi kuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, amewashukia makada wa Umoja wa...

Habari za SiasaTangulizi

Madai ya Katiba Mpya, yaibuka upya

ASASI za Kiraia nchini, zimeikumbusha serikali kutimiza ahadi yake ya upatikanaji wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano, kabla ya mwaka 2021. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

AZAKI kuzindua ilani ya uchaguzi

ASASI za Kiraia nchini (AZAKI), kesho tarehe 28 Septemba 2019, zimepanga kuzindua ilani ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Uhujumu uchumi: Waliotuma maombi kwa DPP watajwa

MAJINA ya watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi nchini, waliomwandikia Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), Biswalo Mganga yameanza kutajwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Tayari Dk...

Habari za Siasa

Serikali yaahidi kutoa ushirikiano kwa LHRC

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa kituo cha msaada wa Kisheria na haki za...

Habari za Siasa

Waziri Majaliwa: Kama hutoshi, ondoka

KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu amewataka viongozi wa umma wanaojiona hawatoshi katika nafasi walizopo, waachie ngazi. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Majaliwa ametoa kauli hiyo leo tarehe...

Habari za Siasa

Makonda abanwa mbavu

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amebanwa mbavu, na sasa ameamua kulipiza kisasa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). “Mnapiga  majungu yenu, sasa...

Habari za Siasa

Chadema wamweka kwenye kona IGP Sirro

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimempa mtihani mzito Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari za Siasa

Alhaj Mwinyi mwenyekiti mpya MUHAS

RAIS John Magufuli amemteua Alhaji Ali Hassan Mwinyi,  Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi...

Habari za SiasaTangulizi

Hakimu amtolea nje Dk. Mashinji, Matiko

OMBI la kusafiri nje ya nchi la Dk. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu Chadema na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini, limekataliwa. Anaripoti Faki Sosi...

Habari za Siasa

Kauli ya JPM, LHRC yatoa tahadhari

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), kimetoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha dhana ya makubaliano ya kukiri kosa, inatumika kwa...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua Mwenyekiti NBS

RAIS John Magufuli amemteua Dk. Amina Msengwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa ya...

Habari za SiasaTangulizi

Uhujumu uchumi: Vigogo wafurika kwa DPP

IDADI ya barua za kuomba msamaha kutoka kwa watuhumiwa wa uhujumi uchumi, zinaingia kwa kasi katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP). Anaripoti...

Habari za Siasa

Chadema kwenda na majeruhi wa risasi kortini

UPANDE utetezi kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018, inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, umepanga kwenda mahakamani na mashahidi waliojeruhiwa kwa risasi. Anaripoti Faki Sosi...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji Warioba: Kuna sintofahamu nchini

JAJI Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania amesema, kuna dalili za uwepo wa matukio yanayodhoofisha umoja, uzalendo na mshikamano wa Taifa....

Habari za Siasa

Zitto: Naiona ndoto hii

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameendesha maombi ‘maalum,’ kuliombea taifa kupitia ukurasa wake wa twitter. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Katika maombi...

Habari za Siasa

JPM ‘aitekenya’ Chadema

USHAURI wa Rais John Magufuli, uliyomtaka Biswalo Maganga, Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DPP), kuangalia namna ya kuzungumza na watuhumiwa wa uhujumu uchumi...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ‘afukua makaburi’ Chadema

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amezungumzia tukio la kutimuliwa kwake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwamba lilimpa...

Habari za SiasaTangulizi

JPM ‘aingia’ jimboni kwa Lissu

IMECHUKUA siku saba tu kutekelezwa kauli ya Rais John Magufuli, ya kushughulikia tatizo la maji kwenye jimbo la Singida Mashariki lililokuwa likiongozwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli agusa maisha ya Rugemarila, Seth

RAIS John Magufuli ameshauri wafungwa walioko mahabusu kwa tuhuma za uhujumu uchumi, kama wako tayari kuomba radhi na kuzirudisha fedha walizotafuna, watolewe. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Siku nane za Mbowe, wenzake kujinasau kizimban

VIONGOZI tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wanatarajiwa kuanza kujitetea kwa siku nane mfululizo. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Ni katika...

Habari za Siasa

IGP Sirro aonya Polisi kujihusisha na siasa

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka askari polisi kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria, na kukwepa kujihusisha na...

Habari za SiasaTangulizi

Kusimamishwa uwakili; Fatma atuma ujumbe kwa JPM

WAKILI Fatma Karume amemueleza Rais John Magufuli kwamba, yuko tayari kukaa jela miaka 30, ili kuboresha demokrasia na utawala wa sheria nchini. Anaripoti...

Habari za Siasa

Aliyetumbuliwa, ateuliwa ubalozi

DAKTARI Modestus Kipilimba, aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), ameteuliwa kuwa balozi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Rais Magufuli alimfuta kazi Dk....

Habari za Siasa

Wakulima korosho wanatudai Bil 50 tu – Serikali

SERIKALI imeeleza, bado inadaiwa kiasi cha Sh. 50 bilioni na wakulima wa zao za korosho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).  Akizungumza na wanahabari leo...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa: Nchi inawaka moto

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu aliyejiuzulu katika serikali ya awamu ya nne, amenadi kazi zinazofanya na Dk. John Magufuli, Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

Sisikii tena ‘vyuma vimekaza’- Dk. Mpango

DAKTARI Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango ameeleza kwamba, sasa hivi hasikii tena malalamiko ya ‘vyuma kukaza’ kutokana na benki za biashara...

Habari za SiasaTangulizi

Membe apenyeza ujumbe Ikulu

NCHI haiwezi kustawi bila ya uhuru wa vyombo vya habari. Kukosekana kwa uhuru huo, kunadumaza maendeleo ya nchi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Huo...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Zitto: Tulionya, tunaonya tena

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameonya mkakati wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kutenganisha wapiga kura visiwani Zanzibar. Anaripoti Faki Sosi...

Habari za Siasa

M/Kiti BAVICHA afunguliwa kesi ya uhujumu uchumi

AYUBU Sikagonamo, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Mkoa wa Songwe amefutiwa kesi ya kukutwa na silaha, na kufunguliwa kesi ya...

Habari za Siasa

Kiwanda Kilombero champa mashaka Waziri Mkuu Majaliwa

KASSIMU Majaliwa, Waziri Mkuu amehoji sababu za Kiwanda cha Sukari cha Kilombero chenye uzalishaji mkubwa kuliko viwanda vingine vya sukari nchini, kutoa gawio...

Habari za Siasa

Mbowe, wenzake hakijaeleweka

IKIWA ni siku ya kwanza ya kujitetea kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika kesi ya uchochezi namba 112/2018 kwenye...

Habari za Siasa

Makonda: Kama si njaa, ningejiuzulu

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, kama isingekuwa njaa, basi angefanya uamuzi wa kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kukosolewa...

Habari za SiasaTangulizi

JPM ampiga kijembe Lissu

RAIS John Magufuli amesema, Jimbo la Singida Mashariki limechelewa kupata maendeleo, kutokana na kutelekezwa na aliyekuwa mbunge wake, Tundu Lissu. Anaripoti Faki Sosi...

Habari za Siasa

JPM: Hizo ni kelele za chura, hazinizuii

RAIS John Mgaufuli amesema, kelele zilizoibuka baada ya ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL), kushikiliwa nchini Afrika Kusini kwa amri ya...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema: Lissu ananukia 2020

JINA la Tundu Lissu, ndani na nje ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, linakua. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi ACT-Wazalendo mbaroni kwa kufungua matawi bila kibali

ADO Shaibu, Katibu wa Itikadi na Uenezi   wa Chama cha ACT Wazalendo, na viongozi wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam,...

Habari za Siasa

Bunge laahairishwa, maswali 123 yaulizwa

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limehailishwa hadi tarehe 6 Novemba, 2019, baada ya wabunge kufanya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na...

Habari za SiasaTangulizi

Musiba, Lugola waingia vitani

MUDA mchache baada ya Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kumtaka Cyprian Musiba, anayejitambulisha kuwa mwanaharakati na mtetezi wa Rais...

Habari za Siasa

Uhifadhi magereza ni kwa mujibu wa sheria – Masauni

SERIKALI imesema, moja ya jukumu la Jeshi la Magereza ni kuwapokea na kuwaifadhi waharifu wa aina zote, wanaopelekwa kwa mujibu wa sheria. Anaripoti Danson...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amfuta kazi Mkurugenzi Mkuu TISS

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, amemfuta kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Dk. Modestus Kipilimba. Anaripoti...

Habari za Siasa

Zitto azidi kusota Kisutu 

UPANDE wa serikali umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa wapo katika hatua za mwisho kufunga ushahidi wao kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wenzake wabanwa, wakutwa na kesi ya kujibu

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na wenzake, wamekutwa na kesi ya kujibu katika kesi ya jinai namba 112/2018, inayowakabili kwenye Mahakama ya...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili wa Kabendera ‘aipigia magoti’ mahakama 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Septemba 2019, imeombwa kulielekeza Jeshi la Magereza kuruhusu Mwandishi wa Habari...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili wa Mbowe, shahidi Jamhuri walivyotoana jasho 

BERNALD Nyambari, aliyekuwa Msaidizi wa Upepeli Mkoa wa Kipolisi Kinondoni na shahidi namba nane wa Jamhuri katika kesi ya uchochezi namba 112/2018, inayomkabili...

Habari za Siasa

Nape aungama kwa JPM

NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama, leo tarehe 10 Agosti 2019 amekwenda kuungama kwa Dk. John Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Kelvin...

error: Content is protected !!