Wednesday , 24 April 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe apewa mitano mingine Chadema

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ametangazwa tena kuhudumu nafasi hiyo kwa awamu nyingine. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Akitangaza...

Habari za Siasa

Lwaitama atupa dongo kwa Sumaye

DK. Azaveli Lwaitama, Mhadhiri mstaafu, ameutumia Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutupa jiwe gizani kwa serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM)....

Habari za Siasa

Lissu aibuka mkutano wa Chadema, atoa hutuba nzito kwa wajumbe

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema) ameibuka katika mkutano Mkuu wa chama hicho leo na kuzungumza na wajumbe...

Habari za Siasa

JPM akerwa na mlundikano wa mahabusu, atoa agizo

RAIS John Magufuli amesema ni aibu nchi kuwa na idadi kubwa ya mahabusu, kuliko wafungwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo ameitoa...

Habari za SiasaTangulizi

Shibuda atibua hali ya hewa mkutano wa Chadema, kisa Rais Magufuli

JOHN Shibuda, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, amechafua hali ya hewa katika Mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aumizwa na waliohamia CCM, awatahadharisha viongozi wapya

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amewashauri viongozi wa chama hicho, waliochaguliwa katika chaguzi zilizofanyika hivi karibuni, kutokuwa wabinafsi....

Habari za Siasa

Wanawake watakiwa kupuuza misemo ya kukatisha tamaa

MISEMO ya kuvunja moyo wanawake kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye siasa imetakiwa kupuuzwa na wanawake wenyewe huku ikiwa ni njia ya mapendo...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea ajitoa uchaguzi Chadema, amwachia Lissu

SAED Kubenea, Mbunge wa jimbo la Ubungo, Dar es Salaam (Chadema) amejitoa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara. Anaripoti...

Habari za Siasa

 Mchungaji Msigwa awavaa wanaoikosoa Chadema

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini amewashukia wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wanao kikosoa chama hicho mitandaoni. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

ACT- Wazalendo kimenuka, ‘swahiba wa Zitto’ aachia ngazi

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Msafiri Mtemelwa, ametangaza kujiuzulu nyazifa zake, kufuatia kuvuja kwa mazungumzo yake na mbunge wa Moshi Vijijini...

Habari za SiasaTangulizi

Wito kuhojiwa CCM; Makamba ‘nawasubiri’

KOMREDI Yusuf Makama, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameonesha kutotikiswa na wito uliotolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya...

Habari za SiasaTangulizi

Bernard Membe ajibu mapigo

WAZIRI wa zamani wa mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa nchini Tanzania, Benard Membe amesema, anasubiri kwa hamu, barua ya wito ya...

Habari za SiasaTangulizi

Urais wa Magufuli, wamponza Membe, hatarini kufukuzwa 

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeelekeza wanachama wake watatu, makatibu wastaafu, Yusuf Makamba na Abdulrahaman Kinana, kuhojiwa na kamati yake ya Ulinzi, Usalama  na...

Habari za Siasa

Maalim Seif amvimbia Waziri wa JPM

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ‘amemvimbia’ Hamadi Massauni, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, kwamba hawezi...

Habari za Siasa

Rais anapotoshwa – LHRC

ANNA Henga, Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), amesema baadhi ya wasaidizi wa Rais John Magufuli, wanampotosha kwa maslahi...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee apeta Chadema

HALIMA James Mdee, ametetea kiti chake cha Uenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Taifa kwa kupata kura nyingi za ndio. Anaripoti Hamis...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Ya Mwanza sio woga, ajibu ‘tuhuma’

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, amelazimika kutoa ufafanuzi wa kile kilichoonekana woga, baada ya kuomba muafaka kwa Rais John Magufuli. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za Siasa

Rais Magufuli atuhumu AZAKI, NGO’s

RAIS John Magufuli ametuhumu baadhi ya asasi za kiraia (AZAKI) na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s), zinazofanya kazi ya ‘ukuadi.’ Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amesema,...

Habari za Siasa

Pinda atamani JPM ‘adumu’

MIZENGO Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu katika Serikali ya Awamu ya Nne, ameeleza kutamani Rais John Magufuli adumu madarakani kwa zaidi ya miaka 10...

Habari za Siasa

Hashimu, Lutembeka warudishwa Baraza la Wazee Chadema

HASHIMU Juma Issa, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Wakati huo...

Habari za SiasaTangulizi

JPM: Ndege iliyoshikwa Canada, inakuja

RAIS John Magufuli amesema, ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) Bombardier Q400, iliyoshikiliwa nchini Canada, imeachwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akishiriki kwenye Semina...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amkingia kifua Mbowe

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametetea uamuzi wa Freeman Mbowe, ‘kuomba maridhiano’ na Rais John Magufuli. Anaripoti...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Elimu Bure ina changamoto -Ripoti

WADAU wa elimu nchini, wameishauri serikali kupitia upya sera ya elimu bure, ili kuondoa changamoto zinazojitokeza katika utekelezaji wake. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Ushauri huo...

Habari za Siasa

Chadema yawatibua ‘Kigogo’, Sarungi, Zitto 

HATUA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kuomba Rais wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, kile alichoita, “maridhiano...

Habari za Siasa

Rais Magufuli asamehe wafungwa 5,533

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 5,533 leo Desemba 9, 2019. Anaripoti Martin Kamote … (endelea)...

Habari za Siasa

CCM yahamia Mwanza, kuvuruga upinzani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepanga kufanyia mikutano yake ya Halmashauri Kuu ya taifa (NEC) na Kamati Kuu (CC), mjini Mwanza, kuanzia wiki hii....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe atumia Sherehe za Uhuru kupenyeza ujumbe kwa JPM

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (Chadema) amesema sababu za kushiriki katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru ni...

Habari za Siasa

Wapinzani wataisoma namba – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli, amewaeleza wakazi wa Mwanza kwamba ‘wapinzani wataisoma namba.’ Ni baada ya kile alichoita ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kuongoza kikao cha ‘machinjio’

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anatarajia kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho, cha kuteua wagombea wa...

Habari za SiasaTangulizi

Passport ya Bulaya yaahirisha kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, imeahirisha kusikiliza kesi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chadema, kutokana na upande wa mashtaka kumtaka...

Habari za SiasaTangulizi

ACT- Wazalendo, CUF waingia tena vitani

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimejigamba kuwa kinawasubiri wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), waliopanga kuchukua kwa nguvu, mali na majengo, wanayodai ni mali yao. Anaripoti...

Habari za Siasa

Waziri Aweso “atumbua” kigogo Maji, avunja bodi

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Mamlaka ya Maji Misungwi, Charles Kampuni pamoja na kuvunja bodi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Bulaya alipuka na Bunge Kisutu

ESTER Bulaya, Mbunge wa Tarime Mjini ambaye ni mshtakiwa wa tisa, kwenye kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa chama cha Demokrasia na...

Habari za SiasaTangulizi

Dovutwa ang’ang’ana na uenyekiti wa UPDP 

FAHMI Nassoro Dovutwa, mwenyekiti wa taifa wa chama cha United People’s Democratic Party (UPDP), anayedaiwa kufukuzwa uongozi wa chama hicho, amegoma kuachia ngazi....

Habari za Siasa

Zitto amng’ang’ania Prof. Kabudi ajiuzulu

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemtaka Prof. Palamagamba Kabudi, kujiuzulu uwaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa amkwepa Sumaye

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, amekwepa kuzungumzia hatua ya Frederick Sumaye, kujitenga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde …...

Habari za Siasa

Video ya Zitto yaoneshwa kortini

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imekubali kupokea na kuoneshwa kwa video ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha...

Habari za Siasa

Hisia za Polepole, Zitto kwa Sumaye

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo pamoja na Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamezungumzia hatua...

Habari za Siasa

Sumaye: Wangesema ‘usiguse hapa’

FREDERICK Sumaye, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amelalamika kutoelezwa ‘ukweli,’ kwamba uchaguzi wa ngazi ya uenyekiti kwenye chama hicho, haufuati Katiba...

Habari za Siasa

Pigo Pwani, Katibu Chadema amfuata Sumaye

MAZINGIRA ya demokrasia goigoi ndani ya Chama cha Demokrasia na Mamendeleo (Chadema), yamemkimbiza Casmir Mabina, Katibu wa Chadema Kanda ya Pwani. Anaripoti Hamis Mguta...

Habari za Siasa

UN waumizwa na uamuzi wa TZ

TUME ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UN), imeitoa wito kwa Serikali ya Tanzania kutathimini upya, uamuzi wake wa kuzuia asasi...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye abwaga manyanga Chadema

ALIYEKUWA mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, ametangaza kukihama chama hicho.  Anaripoti Hamis Mguta … (endelea).  Akizungumza...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yapandisha umaarufu wa Sumaye

HATUA ya Frederick Sumaye, aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, kutumia nembo ya taifa, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, akizungumzia...

Habari za Siasa

Mawakili wamuweka Zitto njia panda

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam inatarajia kuamua kupokea au kutopokea kielelezo cha upande wa mashitaka (Jamhuri). Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Ushahidi...

Habari za Siasa

Wanaoongoza kanda Chadema hawa hapa 

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewatangaza viongozi wake 29 wa kanda, waliochaguliwa katika chaguzi zilizofanyika kuanzia tarehe 28 Novemba hadi Desemba Mosi...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru apiga mkwara Z’bar

KAULI iliyowahi kutolewa na Humphry Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM visiwani Zanzibar mwaka jana kwamba, kambi hazitasidia kupata mgombea, leo tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye, Mwambe hukumu yao Desemba 16

FREDERICK Sumaye na Cecil Mwambe, wanasubiri hukumu yao itayotolewa tarehe 16 Desemba 2019, baada ya kujitosa kugombea nafasi ya uenyekiti-Taifa kupitia Chadema. Anaripoti...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Tunachokozwa

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kuwa macho. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari: Bila tume huru, ni vigumu kuingia Ikulu

PROF. Abdallah Safari, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amedai kuwa vyama vya upinzani nchini, haviwezi kuingia Ikulu, bila kuwapo...

Habari za Siasa

Ni kazi kubwa kutenda haki – Ally Hapi

ALLY Hapi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa amesema, kazi kubwa zaidi katika uongozi hasa wa kuteuliwa ni kutenda haki. Anaripoti Hamis Mguta, Iringa …...

error: Content is protected !!