Friday , 1 March 2024
Home Kitengo Michezo Bayern mabingwa wa Ulaya
Michezo

Bayern mabingwa wa Ulaya

Spread the love

TIMU ya Bayern Munich ya Ujerumani imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabigwa Bara la Ulaya (UEFA) kwa kuifunga PSG ya Ufaransa bao 1-0 lililofungwa na beki Kingsley Camon dakika ya 59. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)

Katika mchezo huo, Bayern ilitawala karibu dakika zote 90 za mchezo huku wachezaji wa PSG Neymar, Mbappe na Di Maria wakishindwa kutumia nafasi walizopata.

Mlinda mlango wa Bayern, Manuel Never alifanya kazi kubwa kuokoa hatari zilizokuwa zikifanywa na washambuliaji wa PSG akiwemo Neymar, Mbappe na Di Maria.

Ubingwa huo wa Bayern ni wa sita na mara ya mwisho walitwaa taji hilo mwaka 2013.

Miaka mingine ambayo walitwaa ni 1974, 1975, 1976, 2001, 2013 na mwaka huu 2020.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Wizara yaahidi kuboresha, kuimarisha michezo

Spread the loveIkiwa ni saa kadhaa baada ya kumalizika kwa mashindano ya...

Habari MchanganyikoMichezo

Nje jogging yanyakua medali 20 Kili Marathon

Spread the loveTimu ya riadha ya Wizara ya Mambo ya Nje na...

Michezo

Siku ya kukusanya maokoto ni leo, usipange kukosa

Spread the love  HATIMAYE Jumamosi imefika ndugu mteja wa Meridianbet na mechi...

Michezo

Kuwa milionea na Meridianbet ni rahisi sana

Spread the love  JE, unajua kuwa leo hii ni siku nzuri kwako...

error: Content is protected !!