Friday , 29 March 2024
Home sosi
807 Articles17 Comments
Habari Mchanganyiko

Vigogo wa almas ‘maji ya shingo’ Kisutu

UPELELEZI wa kesi kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Shilingi bilioni mbili inayowakabili vigogo wa madini ya almas umekamilika katika Mahakama ya Hakimu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali ya Magufuli yalitia ‘kitanzi’ Raia Mwema

UHURU wa vyombo vya habari hususani magazeti umezidi   kuwa mashakani baada ya leo serikali kutangaza kulifungia gazeti linalotolewa kilawiki la Raia mwema, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Mzimu wa Bashite wazidi kupapasa

MEYA wa Manspaa ya Ubungo, Bonface Jacob amesema anakabiliwa vitisho na vishawishi mbalimbali ili kuhakikisha anafuta kesi aliyoifungua dhidi ya Mkuu wa mkoa...

Habari Mchanganyiko

Madereva 3 wafungiwa milele kuendesha magari nchini

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limewafutia leseni za udereva wadereva watatu na kuwafungia milele kuendesha magari aina ya mabasi pamoja na...

Habari Mchanganyiko

Sakata la ‘Bashite’ kutolewa maelezo kesho

TUME  ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inatarajia kumhoji Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob kuhusu  madai yake aliyowasilisha kwa tume hiyo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Yusuf Manji azidi kukaangwa Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa kupokea kielelezo cha nakala ya dawa anazozotumia mfanyabiashara, Yusuf Manji iliyotolewa na katibu muhtasi wake (sekretari), anaandika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makubwa ya Yusuf Manji mahakamani

DAWA zinazotumikia kwenye matibabu ya ugonjwa wa moyo wa mfanyabiashara, Yusuf Manji zimezua mjadala kwenye ushahidi wa kesi inayomkabili ya matumizi ya dawa...

Habari Mchanganyiko

Msomi IFM adakwa akitaka kukodisha Bastola

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imemtia mbaroni mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Robson Maji (21)kwa kosa...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi, Bunge walivyomtesa Kubenea

SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo, amerejeshwa Jijini Dar es Salaam kutoka Mjini Dodoma ilhali afya yake ikiwa sio shwari, anaandika Faki Sosi. Kubenea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali yafungia gazeti la MwanaHALISI

https://youtu.be/ONK47h1IYI8

Habari Mchanganyiko

Askofu afanya maombi ya kuleta mvua

MWENYEKITI  wa  Good News For all Ministry  Askofu Dk Charles  Gadi  amefanya maombi maalum kwa ajili ya kuliombea taifa ili kuondokana hali ya...

Habari za Siasa

BAVICHA kumuombea Tundu Lissu

IKIWA ni wiki moja tangu kupigwa risasi za moto mbunge wa  Singida Mashariki Tundu Lissu Chadema), Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia...

Habari Mchanganyiko

Mtandao wa Jamii forum imesajiliwa: Shahidi

MKUREGENZI mtendaji wa Usajili wa Vikoa vya Mitando Nchini (TZNIC), Abibu Mtahigie amekiri kuwa mtandao wa Jamii Forum umesajiliwa kwa kikoa cha Tanzania...

Habari MchanganyikoTangulizi

Yusuf Manji aachiwa huru, DPP afuta kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia Huru Mfanyabiashara Yussuf Manji na wenzake kwenye uhujumu Uchumi baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka DPP kuwasilisha hati...

Habari Mchanganyiko

Wanaharakati wainuka na kupaza sauti

KITUO cha  Sheria Haki za Binaadamu Nchini (LHRC), kimesema kwa sasa hali ya usalama hapa nchini ni siyo nzuri baada ya kuwapo matukio...

Habari za Siasa

Mgombea urais Tanzania atupia lawama Polisi

ALIYEKUWA mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hashim Rungwe ametupia lawama Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwamba...

Habari za Siasa

Wabunge waliotemwa na Lipumba wafunguka 

MBUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyetenguliwa Ubunge na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC)  Riziki Ngwali amesema hujuma zilizofanywa ndani ya Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Kambi ya Lipumba yapata ajali, wanne wafariki

WAFUASI wanne wa Chama cha Wananchi wamefariki katika ajali iliyotokea leo alfajili waliokuwa wakitoka kwenye sherehe za kuapishwa kwa wabunge wanane wa CUF,...

Elimu

Wanafunzi 917,072  darasa la Saba kuhenyeka kesho

WATAHINIWA  917,072 kutoka shule 16, 583 wanatarajia kuanza mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mwaka 2017 kuanzia kesho,...

Habari Mchanganyiko

Sikukuu ya Eid yasherekewa kivingine Pugu

VIJANA mbalimbali wa dini ya Kiislamu wamefanya michezo katika viwanja vya Pugu Kajiungeni jijini Dar es Salaam ili kuwasaidia kutojiingiza katika maovu inapofika...

Habari za Siasa

Lissu amnasua Wema Sepetu mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa vielelezo vya ushahidi vya msokoto wa bangi katika kesi ya matumizi madawa ya kulevya inayomkabili muugizaji wa...

Habari Mchanganyiko

Masogange ana kesi ya kujibu Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema msanii wa filamu nchini, Aggnes Masogange ana kesi ya kujibu kwenye mashtaka yake ya matumizi ya dawa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kampuni ya Wakili Fatuma Karume yapigwa mabomu

KAMPUNI ya Mawakili ya IMMMA ya jijini Dar es Salaam, imevamiwa na watu wasiojukana na kulipuliwa kwa mabomu usiku wa kuamkia leo, anaandika...

Habari Mchanganyiko

Hakimu ataka serikali iharakishe upelelezi kesi ya Manji

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeuitaka Jamhuri kukamilisha upelelezi wa kesi ya uhujumu uchimi inayomkabili mfanyabiashara Yusuf Manji, anaandika Faki Sosi. Hakimu Mkazi...

Habari za SiasaTangulizi

Hatma ya wabunge nane wa CUF kula kiapo kutolewa leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa kuapishwa wabunge wanane walioteuliwa na Profesa Ibrahim Lipumba au wasiapishwe, anaandika...

Habari za Siasa

Spika Ndugai amtupia zigo la CUF Msajili wa Vyama

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amesema kuwa mgogoro wa Chama cha Wananchi (CUF) wa sakata la wabunge nane ni utaratibu ulianza...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu aivuruga serikali ya JPM

SERIKALI imekiiri kuzuiliwa ndege aina Bombardier ( Q400-Dash 8) iliyonunuliwa hivi karibuni kutokana na deni inalodaiwa na kampuni ya ujenzi, anaandika Faki Sosi....

Habari za Siasa

Mbunge Kubenea asikitishwa na mlundikano wanafunzi

SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo jijini Dar es Salaama, amesikitishwa na kuwapo msongamano wa wanafunzi katika shule ya Msingi Kawawa, anaandika Faki Sosi....

Habari za Siasa

Kubenea akagua ukarabati wa shule

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), amefanya ziara ya ukaguzi wa ukarabati wa Shule za Msingi Mabibo na Makuburi zilizopo jimboni mwake, anaandika...

Habari za Siasa

Kesi ya wabunge CUF Agosti 25

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatoa uamuzi tarehe 25 Agosti mwaka huu, wa pingamizi zilizowekwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusiana na...

Habari Mchanganyiko

‘Wabunge wa Lipumba’ kikaangoni kesho

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi wa zuio jipya la kutoapishwa kwa Wabunge wateule wa upande wa Chama cha...

Habari za SiasaTangulizi

MCT wamtia hatiani Makonda

BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limezidi kumkaanga Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Mkaonda baada ya kubaini kwamba alihusika moja kwa moja kuvamia...

Habari za SiasaTangulizi

Bodi ya wadhamini CUF ya Seif yakwaa ‘kisiki’ kortini

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini inayomuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF),...

Michezo

Simba kumechafuka, mkutano wapingwa mahakamani

BODI ya Wadhamini wa klabu ya Simba imefungua kesi kupinga mkutano mkuu wa klabu hiyo, uliopangwa kufanyika Agosti 13, mwaka huu, anaandika Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu asema Job Ndugai ”amelikoroga”

TUNDU Lissu Mbunge wa Sindiga Mashariki amesema kuwa kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai, kuridhia barua ya Chama cha Wananchi (CUF),kuwafukuza uanachama...

Habari Mchanganyiko

Mfanyabiashara Manji azidi kusota lumande

MFANYABIASHARA Yusuf Manji na wenzake watatu wamezidi kusota rumande baada ya kesi yake kupigwa kalenda hadi Agost 9, mwaka huu, anaandika Faki Sosi....

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee ashusha rungu kwa serikali ya JPM

HALIMA Mdee Mbunge wa Kawe amekosoa takwimu zinazotolewa na serikali kuhusu ukuaji wa uchumi pamoja na mikakati inayofanywa ili kunusuru anguko la uchumi,...

Habari za SiasaMichezoTangulizi

Rais Magufuli amtaka Ney wa Mitego aboreshe ‘Wapo’

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ameliagiza Jeshi la Polisi kumwachia huru msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ huku...

Habari MchanganyikoTangulizi

Lissu aachiwa kwa dhamana, aenda Arusha

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameachiwa kwa dhamana ya Sh. 10 milioni na moja kwa moja anaenda Arusha kwenye uchaguzi wa Chama...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hatima ya uchaguzi TLS kutolewa leo

MAWAKILI wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) kimeiomba Mahakama Kuu ya Tanzania kutupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kanuni za uchaguzi iliyofunguliwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Vyeti bandia vyazidi kutikisa

WANANCHI wamewataka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), pamoja na Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, wabuni njia mbadala...

Habari za SiasaTangulizi

Kibatala: Mbowe hajashindwa kesi

PETER Kibatala Wakili Mwandamizi wa Chama Cha Demokrasia (Chadema), ameweka wazi kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Freeman...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge laazimia kumsulubu Makonda

WAKATI Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiendesha kampeni yake ya dawa za kulevya jijini Dar es Salaam, Bunge la...

Habari za Siasa

Lissu agoma kula, ashinikiza kupelekwa mahakamani

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amegoma kula chakula kutwa nzima ya leo, akishinikiza kupeleka mahakamani, anaandika Faki Sosi....

Habari za SiasaTangulizi

JPM amtaabisha Lissu

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutoa maneno ya uchochezi kuhusu kuwepo kwa njaa nchini,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu akamatwa na Polisi, aletwa Dar

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria wa Chadema, amekatwa na polisi nje ya Bunge na kupelekwa jijini Dar es Salaam, anaandika...

Habari Mchanganyiko

Nyumba ya mwenyekiti Rufiji yateketezwa kwa moto

WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameiteketeza kwa moto nyumba ya Bakari Msanga, mwenyekiti wa kijiji cha Jaribu Mpakani wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Washukiwa wa dawa za kulevya waanza kujisalimisha

TAMKO la Paul Makonda Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam kuwataka watu mbalimbali wanaotuhumiwa kujihusisha biashara au matumizi ya dawa za kulevya kujisalimisha...

Habari MchanganyikoTangulizi

MwanaHALISI yamalizana na JPM

UONGOZI wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), inayochapisha gazeti la MwanaHALISI, umemuomba radhi Rais Dk. John Magufuli, anaandika Faki Sosi. Hatua...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif amfungulia mlango Dk. Shein

MAALIM Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) amempa nafasi tena Dk. Ali Mohamed Shein ili kumaliza mgogoro wa kisiasa...

error: Content is protected !!