RAIS wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dk. Adesina Akinumwi amemhakikishia, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwa benki hiyo itaendelea...
By Nasra BakariJune 11, 2021RAIS wa Botswana, Mokgweetsi Masisi, amehitimisha ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania na kuondoka kurejea nchini mwake. Anaripoti Nasra Bakari,...
By Nasra BakariJune 11, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amewafananisha waliokuwa marais wa Taifa hilo, Jakaya Mrisho Kikwete na Hayati John...
By Nasra BakariJune 11, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani, Tanzania- Chadema amesema, Jumamosi zote kuanzia kesho, tarehe 12 Juni 2021, atakuwa akivaa sare...
By Nasra BakariJune 11, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amependekeza kuongeza gharama za kufanya mialama ya simu pamoja na gharama za laini....
By Nasra BakariJune 10, 2021RAIS wa Botswana, Dk. Mokgweets Masisi amewasilia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere, Dar es Salaam nchini Tanzania. Anaripoti Nasra Bakari,...
By Nasra BakariJune 10, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amebainisha mikakati mbalimbali ya kupunguza msongamano jijini Dar es Salaam ni ukarabati...
By Nasra BakariJune 10, 2021KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, anadaiwa kuvamiwa na mtu asiyejulikana, ofisini kwake katika Msikiti wa...
By Nasra BakariJune 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 10 Juni 2021, anatarajia kuzungumza na Rais wa Botswana, Mokgweetsi Masisi, katika Ikulu ya...
By Nasra BakariJune 9, 2021INSPEKTA Jenerali wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro, ametangaza operesheni ya mwezi mmoja ya kusaka wahalifu nchini. Anaripoti Nasra Bakari,...
By Nasra BakariJune 8, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amepiga marufuku vitendo vya ubaguzi vinavyofanyika katika utolewaji fedha za mikopo ya halmashauri nchini, kwa makundi...
By Nasra BakariJune 8, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Waziri wa Afya, Dk. Dorothy Gwajima, aandae utaratibu mpya wa malipo ya madeni ya gharama...
By Nasra BakariJune 8, 2021MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (CCM), Assa Makanika, ameiomba Serikali ya Tanzania, kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo, ambao wamekuwa wakikamatwa kwa kuitwa wakimbizi...
By Nasra BakariJune 4, 2021MBUNGE wa Msalala mkoani Geita (CCM), Idd Kassim, amesema usafirishaji makontena ya makinikia kutoka Mgodi wa Bulyanhulu, umezua taharuki kwa wananchi ,...
By Nasra BakariJune 3, 2021MBUNGE wa Viti Maalum asiye na chama bungeni, Cecilia Daniel Paresso, ameiomba serikali kudhibiti mfumo wa bei kubwa za bidhaa sokoni ili...
By Nasra BakariJune 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi kupaza sauti zao wanapokutana na changamoto za huduma ya afya, ili Serikali yake izifanyie...
By Nasra BakariJune 1, 2021ANATROPIA Theonest, Mbunge Viti Maalum asiye na chama bungeni, amehoji mkakati wa Serikali, katika kuziba pengo la wahadhiri wa vyuo vikuu, wanaoteuliwa...
By Nasra BakariJune 1, 2021SERIKALI ya Tanzania, imepanga kutumia Sh. 40 bilioni, kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji, kwenye mashamba ya uzalishaji wa mbegu...
By Nasra BakariMay 31, 2021MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Ester Bulaya, amehoji lini Serikali itapeleka maji katika vijiji vilivyopitwa na Mradi wa Maji wa...
By Nasra BakariMay 31, 2021MBUNGE wa Kilwa Kaskazini (CCM), Francis Ndulane, amesema uhaba wa watumishi wa umma, unasababisha baadhi ya zahanati jimboni humo, kuchelewa kufunguliwa. Anaripoti...
By Nasra BakariMay 31, 2021NYOTA ya Camilius Wambura, ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania, imeendelea kung’aa, baada ya Amri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan, kumpandisha...
By Nasra BakariMay 31, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameshangazwa na kitendo cha Tarafa ya Mungaa, iliyoko katika Jimbo la Singida Mashariki, mkoani Singida,...
By Nasra BakariMay 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Phumzile Mlambo-Ngouka, kuhusu...
By Nasra BakariMay 28, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameliagiza Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), liongeze juhudi katika usimamizi wa taasisi na...
By Nasra BakariMay 28, 2021ALIYEKUWA Mhasibu katika Bandari ya Kigoma, Madaraka Robert Madaraka, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma, kwa tuhuma za utakatishaji fedha na...
By Nasra BakariMay 28, 2021MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Maisaka mkoani Manyara, Bakari Yangu, amekwepa kifungo cha miaka miwili gerezani, kwa kulipa faini...
By Nasra BakariMay 28, 2021WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewasimamisha kazi vigogo 11 wa Wizara ya Fedha na Mipango, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili, za matumizi...
By Nasra BakariMay 28, 2021MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Nusrat Hanje, amefikisha bungeni kilio cha wahitimu wa darasa la saba, wanaosoma katika Vyuo vya Ufundi...
By Nasra BakariMay 27, 2021MBUNGE wa Makete mkoani Njombe (CCM), Festo Sanga, amehoji kauli ya Serikali kuhusu kukithiri vitendo vya ujambazi katika majiji nchini. Anaripoti Nasra...
By Nasra BakariMay 27, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeamua kuachana na siasa za kiharakati, badala yake kinakuja na siasa shirikishi. Anaripoti Nasra Bakari, DMC…(endelea...
By Nasra BakariMay 27, 2021KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imesema bajeti ya maendeleo katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...
By Nasra BakariMay 26, 2021BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), imeikopesha Serikali ya Tanzania Dola za Marekani 140 (Sh. 323.4 bilioni), kwa ajili ya utekelezaji mradi...
By Nasra BakariMay 26, 2021MBUNGE wa Vunjo mkoani Kilimanjaro (CCM), Dk. Charles Kimei, ameiomba Serikali irudishe fedha za kodi zilizokusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...
By Nasra BakariMay 25, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa taasisi za elimu nchini, kufanya utafiti juu ya mabadiliko ya teknolojia, ili kubaini...
By Nasra BakariMay 25, 2021KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imeishauri Serikali imalize kulipa madeni ya fedha za korosho, ilizonunua kwenye msimu...
By Nasra BakariMay 24, 2021MDHIBITI na Mkaguzi wa Fedha za Serikali Visiwani Zanzibar (CAG), Dk. Othman Abbas Ali, amemefichua ubadhirifu wa mabilioni ya shilingi katika wizara...
By Nasra BakariMay 24, 2021SERIKALI iko katika hatua za mwisho kulifanya eneo la Mlima Nkongore mkoani Mara, kuwa hifadhi ya Taifa. Anaripoti Nasra Bakari, DMC …...
By Nasra BakariMay 21, 2021NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amesema Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinawachunguza baadhi ya viongozi wa Soko la Kimataifa...
By Nasra BakariMay 19, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema, kiongozi yoyote ili aweze kutekeleza majukumu yake ipasavyo lazima awe hodari wa kazi...
By Nasra BakariMay 19, 2021WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanania, imetenga fedha kwa ajili ya kujenga maegesho ya Kayenzi na Kanyinya. Anaripoti Nasra Bakari, DMC...
By Nasra BakariMay 18, 2021SERIKALI ya Tanzania imerejesha mfumo wa zamani wa ununuzi wa mazao ya kimkakati, ili kuondoa changamoto za mfumo wa soko huria. Anaripoti...
By Nasra BakariMay 18, 2021LEO Jumatatu, tarehe 17 Mei 2021, Kamati iliyoundwa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufanya tathimini ya ugonjwa wa corona (COVID-19),...
By Nasra BakariMay 17, 2021SERIKALI ya Tanzania, imejikita katika kukamilisha ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Sumbawanga kilichopo mkoani Rukwa. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea)....
By Nasra BakariMay 12, 2021WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imeielekeza Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kuanza kuchukua hatua za kisheria ikiwa ni pamoja...
By Nasra BakariMay 12, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limepiga marufuku disko toto katika kumbi zote za starehe mkoani humo, wakati wa sherehe...
By Nasra BakariMay 12, 2021MHAZINI wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), katika jimbo la Kawe, Esther Dafi amesema, amesikitishwa na upotoshaji...
By Nasra BakariMay 11, 2021SERIKALI ya Tanzania, kupitia Shirika la Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea na kazi ya ujenzi wa miundombinu ya kusambaza gesi asilia katika mikoa...
By Nasra BakariMay 11, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga kiasi cha Sh. 57 bilioni kwa ajili ya ukamilishaji wa miundombinu ya hospitali za rufaa za mikoa ukiwemo...
By Nasra BakariMay 11, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeendelea kuweka mazingira rafiki na wezeshi kwa sekta binafsi ili iweze kuanzisha na kuendeleza shughuli za viwanda nchini. Anaripoti...
By Nasra BakariMay 10, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeunda kikosi maalum kitachoshirikiana na wadau mbalimbali, kwa ajili ya kudhibiti wanyamapori wakali na wahalibifu katika maeneo yanayozunguka hifadhi....
By Nasra BakariMay 10, 2021