Sunday , 5 February 2023
Home ndelema
56 Articles8 Comments
HabariMichezoTangulizi

Yanga wapewa wababe wa Kipanga kombe la Shirikisho.

  MARA baada ya kuangukia kwenye michuano ya kombe la Shirikisho, klabu ya soka ya Yanga imepangwa kumenyana dhidi ya Club Africain ya...

HabariMichezo

Michezo mwezi Oktoba, Simba ni jasho na damu

  IKIWA kawa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara, imesimama kwa baadhi ya timu ili kupisha michezo ya kimataifa kwenye kalenda ya Shirikisho la...

Michezo

Umemsikia Mayele, hana wasiwasi na Al Hilal

  MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele ameonekana kutokuwa na wasiwasi na mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...

Tangulizi

Simba yapata pigo, daktari wao afariki

  Klabu ya soka ya Simba ya Jijini Dar es Salaam leo Septemba 2 2022 imepata pigo baada aliyekuwa daktari wa timu ya...

HabariMichezo

Simba Queen wapewa basi kwa Safari za ndani

  Timu ya Soka ya wanawake ya Simba (Simba Queens) leo  Septemba 2 2022 imepewa basi na kampuni ya  uuzaji wa magari ya...

Michezo

Azam FC wambadilishia majukumu kocha wao

  MATAJIRI wa jiji la Dar es Salaam – Azam FC leo tarehe 29 Agosti, 2022 wamethibitisha kumbadilishia majukumu kocha wao mkuu, Abdihamid...

Michezo

Lewandowski afungua akaunti ya mabao Barcelona

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Barcelona raia wa Poland, Robert Lewandowsik amefungua rasmi akaunti ya mabao katika klabu yake mpya baada ya jana...

HabariMichezo

Kipa Yanga aibukia Rwanda  

  Aliyekuwa mlinda mlango wa klabu ya Yanga Ramadhan Kabwili, rasmi amejiunga na klabu ya soka ya Rayon Sport ya nchini Rwanda kama...

Michezo

Ngao ya Jamii kuchezwa kwa mtoano

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza mabadiliko ya kanuni za Ligi Kuu Tanzania Bara zitakazotumika katika msimu ujao wa 2022/23 ambapo kuanzia...

Michezo

KMC yatua Arusha kibabe

  KIKOSI cha KMC imetua jijini Arusha kwa maandaizi ya michezo yake miwili ya Ligi Kuu ya NBC, msimu wa 2022/23 itakayopigwa tarehe...

HabariMichezo

Ligi Kuu kuanza kutimua vumbi leo

Ligi kuu ya soka Tanzania Bara msimu wa 2022/23 kuanza kutimua vumbi leo 15 Agosti 2022 kwa kushuhudia mechi mbili katika viwanja viwili...

HabariMichezo

Kagere , Lwanga waagwa kwa Furaha

  Walio kuwa wachezaji wa klabu ya Simba Meddie Kagere pamoja na Thadeo Lwanga wameagwa rasmi leo Agosti 6 2022 katika kilele cha...

HabariMichezo

Morrison aomba radhi Mashabiki Yanga

Mshambuliaji wa kimataifa wa raia wa Ghana Bernard Morison ameomba radhi kwa mashabiki wa klabu ya Yanga kwa yale yote yaliotokea kipindi alipoondoka...

HabariTangulizi

Yanga kweli byuti byuti, mashabiki wajitokeza

Klabu ya soka ya Yanga leo Agosti 6 2022 inaadhimisha kilele cha wiki ya mwananchi huku ikiwa na kauli mbiu ya Byuti Byuti...

Michezo

Simba kucheza na mabingwa wa Ethiopia ‘Simba Day’

  KLABU ya soka ya Simba imetangaza rasmi kuwa itacheza mchezo wa kirafiki na timu ya St. George ya Ethiopia katika maadhimisho ya...

Michezo

Simba SC kurejea nchini leo kuelekea ‘Simba Day’

  KLABU ya soka ya Simba yenye makazi yake mitaa ya Msimbazi jijini Dar es Salaam wanatarajia kurejea nchini leo tarehe 4 Agosti,...

HabariMichezo

M-Bet yaijaza mabilioni Simba, waipiku Yanga

  KLABU ya soka ya Simba inayoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara, imesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya kubashiri ya M-Bet kama...

HabariMichezo

Yanga yatangaza viingilio siku ya mwananchi, tiketi VVIP zamalizika ndani ya saa 3

  klabu ya soka ya Yanga yenye makazi yake mitaa ya Jagwani na Twiga jijini Dar es salaam imetangaza rasmi viingilio vyote vitakavyotumika katika ...

HabariMichezo

Yanga yatawala tuzo za TFF

  Klabu ya soka ya Yanga Mabigwa wa Ligi ya NBC usiku wa jana 7 julai 2022 wameibuka vinara baada ya kutwaa tuzo...

HabariMichezo

Mchengerwa ataka vilabu viwe na viwanja vyao

  Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa amezitaka klabu nchini kuhakikisha wanamili viwanja vyao ili kukuza ustawi wa soka nchini, ambapo...

HabariMichezo

Injinia Hersi kuanza na uwanja Yanga

  Mgombea wa nafasi ya Urais katika klabu ya soka ya Yanga ya Jijini Dar es salaam Injinia Hersi Saidi leo 5 julai,...

HabariMichezo

Biashara Mbeya Kwanza zaaga Ligi Kuu

  Klabu ya soka ya Biashara United ya mkoani Mara rasmi imeshuka daraja na kuungana na Mbaya Kwanza iliyokua ishashuka daraja tayari baada...

HabariMichezo

Frankfurt mabigwa wapya wa Europe League

  Klabu ya soka ya Frankfurt ya nchini Ujerumani imefanikiwa kutwaa ubigwa wa Europa League msimu huu wa 2021/2022 baada ya jana kuifunga...

HabariMichezo

Simba vitani tena na wasauzi Robo fainali ya shirikisho Afrika

  Klabu ya soka ya Simba Tanzania imepangiwa kukutana na Orlando Pirates ya nchini Afrika kusini katika robo fainali ya kombe la shirikisho...

HabariMichezo

TFF yamfungia Shaffi Dauda miaka mitano

  Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania “TFF” limemfungia mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF Shaffi Dauda miaka mitano kujihusisha na soka ndani...

Michezo

UEFA yapamba moto, Salah usipime

  MSHAMBULIAJI wa Liverpool ambaye pia ni raia wa Misri, Mohamed Salah amezidi kupamba moto kila panapokucha baada ya jana tarehe 19 Oktoba,...

Michezo

TFF yawapa ahueni Biashara United

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesongeza mbele mechi kati ya Tanzania Prisons dhida ya Biashara United iliyokuwa ichezwe kesho Jumanne...

Michezo

Simba ruksa mashabiki Klabu bigwa

  SHIRIKISHO la mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), limeruhusu klabu ya Simba kuingiaza mashabiki, kwenye mchezo wa klabu Bingwa Barani Afrika dhidi...

Michezo

Mugalu , Mhilu kuwakosa wa Botswana

  Washambuliaji wawili wa klabu ya soka ya Simba Chriss Mugalu na Yussuf Mhilu wanatarajiwa kuikosa Mechi Kati ya Simba na Jwaneg Galaxy...

Michezo

Dulla Mbabe ajiweka kando na masubwi

  BONDIA wa Tanzania, Abdallah Pazi maarufu kama ‘Dulla Mbabe’ ametangaza rasmi kujiweka kando na masuala ya masubwi mpaka mwakani hii. Anaripoti Damas...

Michezo

 Newcastle yaupiga mwingi

  Klabu ya soka ya Newcastle ya nchini Uingereza jana Oktoba 7, 2021 imekamilisha dili la kuuza hisa zake katika kampuni la Saudi...

Michezo

Twiga Stars yaichapa Zambia, yatinga fainali COSAFA

  TIMU ya soka ya wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imetinga fainali ya michuano ya COSAFA inayofanyika nchini Afrika Kusini. Anaripoti Damas Ndelema,...

Michezo

Twiga Stars yatinga nusu fainali COSAFA

  TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘’Twiga Stars’’ imeendeleza ubabe katika michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Ukanda...

Michezo

Mchezaji aliyeishiwa nguvu baada ya kufunga, arejea kambini

  CRISPIN Ngush, mchezaji wa Mbeya Kwanza nchini Tanzania, aliyefunga bao maridadi kisha kuishiwa nguvu na kupelekwa hospitalini, ameruhusiwa kurejea kambini kuungana na...

Michezo

Wikendi  yawa mbaya kwa vigogo wa soka barani Ulaya

  Baadhi ya vigogo vya soka Barani Ulaya vimekua na wikendi mbaya baada ya kupoteza michezo yao ya ligi kuu na kupoteza alama...

MichezoTangulizi

Tanzania yampa uraia Denis Kibu, rasmi Simba

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa uraia mchezaji...

MichezoTangulizi

Kagere arejesha furaha msimbazi

BAO pekee lililofungwa dakika ya 69 na mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagera dhidi ya Dodoma Jiji limerejesha furaha kwa mabingwa hao watetezi wa...

Michezo

Dewji awapa ujumbe wachezaji Simba

  SAA chache kabla ya Simba ya Dar es Salaam, kushuka dimbani kuumana na Dodoma Jiji, aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa...

Michezo

Fei Toto apeleka shangwe jangwani, kilio Kagera

  BAO pekee lililofungwa dakika ya 24 na kiungo hodari wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ limetosha kupeleka shangwe kwa mashabiki wao ndani...

Michezo

Messi afungua akauti ya mabao PSG

  Mshambuliaji wa mpya wa klabu ya PSG Raia wa Argentina Lionel Messi amefungua rasmi akauti ya mabao katika klabu yake hiyo, mara...

MichezoTangulizi

Yanga kuwa vaa Kagera Sugar bila Mwamnyeto

  Klabu ya soka ya Yanga leo 29 Septemba 2021, itanza kutupa karata yake ya kwanza katika Ligi Kuu Tanzania Bara ugenini dhidi...

MichezoTangulizi

Mo Dewji ang’oka Simba, ateua mrithi

  MOHAMED Dewji, Mkurugenzi wa Bodi ya Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania ametangaza kuachia nafasi hiyo na kumteua...

Michezo

Azam FC yabanwa mbavu Mkwakwani, Mtibwa mambo magumu

  Pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara limefunguliwa rasmi hii leo Septemba 27, 2021 kwa kupigwa jumla ya michezo mitatu kwa kuchezwa michezo...

MichezoTangulizi

Kamwaga kuachana na Simba

  EZEKIEL Kamwanga, amehitimisha safari ya mkataba wake wa miezi miwili ndani ya mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba ya jijini...

Michezo

Anthony Joshua apigwa, Usyk bingwa wa dunia

  ANTHONY Joshua (31), raia wa Uingereza amepoteza ubingwa wa dunia uzani wa juu kwa kutwanga na Oleksandr Usyk wa Ukraine. Anaripoti Damas...

Michezo

Carabao Cup mguu mmoja mbele, Man U wamelala yooo!

  MICHUANO ya Carabao Cup inayoshirikisha timu za ligi kuu England na ligi za chini za nchini humo imezidi kupamba moto na kufikia...

Michezo

Simba kuwavaa Wabotswana klabu bigwa

  TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, itacheza na Jwaneng Galaxy FC ya Botswana katika michuano ya...

Michezo

Simba wasaini mkataba na ATCL

  UONGOZI wa Klabu ya Simba SC na Shirika la Ndege nchini Tanzania (ATCL) wameingia mkataba wa ushirikiano wa kibiashara ambao utakuwa na...

Michezo

Manara: Nitailinda heshima ya Hans Pope

  HAJI Sunday Manara, Msemaji wa Mabingwa wa Kihistori wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam amesema, wema aliooneshwa na...

MichezoTangulizi

Magori asimulia siri ya Hans Pope kumpindua Mwalimu Nyerere

  CRESCENTIUS Magori, mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Mohamed Dewji amesema, kifo...

error: Content is protected !!