NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, Mhandisi Godfrey Kasekenya, ameitaka Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads), mkoa wa Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2022MKUU mpya wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa timu ya Simba nchini Tanzania, Ahmed Ally ameanza majukumu yake kwa ‘kuwazodoa’ watani...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaweza muda wowote kuanzia sasa, akafanyika mabadiliko makubwa ndani ya Baraza lake la Mawaziri. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2022WAZIRI Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok, aliyewekwa madarakani na jeshi la nchi hiyo Novemba 2021, amejiuzulu kufuatia maandamano ya wananchi, wanaoshinikiza utawala...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2022AHMED Ally, aliyekuwa mtangazaji wa Azam Media ametambulishwa rasmi kuwa msemaji wa timu ya Simba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzani, Kassim Majaliwa amewapongeza wakuu wote wa mikoa (RC) na wakuu wote wa Wilaya (DC) nchini kwa kazi nzuri...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2022JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linamshikilia mfanyabiashara Issack Ngowi (29), kwa tuhuma za kumjeruhi kwa risasi Bakari Stambuli (40), aliyekuwa anaamua...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka watu wanaotengeneza migogoro dhidi ya viongozi wa Serikali, waache mara moja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2022HATIMAYE mabingwa wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam, imemtambulisha Danis Nkane. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2022KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji Tanzania, Dk. Anna Makakala ametangaza nafasi za ajira 470 za Konstebo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa tarehe 30 Desemba 2021, ametoa hotuba ya kuufunga mwaka 2021 na kuukaribisha mwaka mpya...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021SERIKALI ya Afrika Kusini ambako ndiko aina mpya ya kirusi cha Corona (Omicron) ilianzia, imesema huenda wimbi la sasa la maambukizi limeshapita kilele...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali anayoingoza itautizama kwa umakini mwaka 2022 ili kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya virusi vya korona (UVIKO-19) na kujitokeza kupata chanjo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Gobless Lema, wanatarajia kurudi nchini Tanzania kati...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amemshauri Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aipige chini miradi ya...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amedai kuwa, Spika wa Bunge, Job Ndugai, alikosea kusema kuna siku...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amewaomba Wazanzibar wanaoishi nje ya nchi ‘Diaspora’, washirikiane na Serikali yake katika kuimarisha uchumi wa visiwa...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe, amesema mwaka 2021 unaisha pasina kilio cha wananchi juu ya upatikanaji katiba...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umehoji kwa nini makelele juu ya Serikali kukopa fedha za utekelezaji miradi ya maendeleo,...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021JESHI la Polisi Tanzania limesema, Kiongozi wa Kanisa la Efatha, Mtume na Nabii Josephat Mwingira alikwisha kufika na kuandika maelezo juu ya...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mwanza, kimesema kauli iliyotolewa na Spika wa Bunge, Spika Job Ndugai, ya kuwa kuna siku nchi...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu, leo Ijumaa tarehe 31 Desemba 2021, anatarajiwa kuhutubia Taifa,...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021JESHI la Polisi Mkoani wa Arusha, linamsaka mfanyakazi wa ndani (jina linahifadhiwa), akituhumiwa kuua mwajiri wake, Janerose Dewasi (66) mkazi wa Njiro...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021NAFASI ya Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kuendelea kukalia kiti hicho Bungeni iko shakani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021MALALAMIKO dhidi ya Hakimu Mkazi wa Mahakama za Kinondoni na Kisutu, kugoma kufungua shauri la jinai dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021SAKATA la Kiongozi wa Kanisa la Efatha nchini Tanzania, Mtume na Nabii Josephat Mwingira limechukua sura mpya baada ya Jeshi la Polisi...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua mtangazaji mkongwe nchini, Charles Hilary kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameendelea kukaliwa ‘koo’ na chama chake baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Singida...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2021WAZIRI wa Madini, Dk. Dotto Biteko amewataka wachimbaji wadogo wa dhahabu wasitishwe na vyeo vya watu wanaofika katika maeneo yao ya migodi...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2021MWENYEKITI wa Baraza la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Mhandisi Richard Masika ameruhusu wakufunzi waliofikia umri wa kustaafu kuendelea kufanya...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2021MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu, ataitaja mikakati ya chama hicho kuelekea 2022, kesho tarehe...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2021KLABU ya soka ya Simba imevunja mikataba ya nyota wake wanne wa kigeni wakiwemo mastaa wao aliokuwa tegemeo katika kikosi hicho kwa...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania limesema, linaendele na uchunguzi dhidi ya tuhuma mbalimbali zilizotolewa na Kiongozi...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amewataka watumishi wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroads), kuacha tabia ya kuficha taarifa...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2021ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza amezungumzia kauli za viongozi wawili,...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameridhishwa na hatua iliyofikiwa kwenye ujenzi wa madarasa yanayotokana na fedha za maendeleo mkoani Lindi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2021MBUNGE wa zamani wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba amemtaka Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kuacha kupotisha umma kuhusu mkopo...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2021Mazishi ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Afrika Kusini na mwanaharakati wa muda mrefu dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali anayoingoza itaendelea kukopa mikopo ya masharti nafuu ili kuendeleza na kuanzisha miradi mingine mipya...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2021MWENYEKITI wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan, ameelekeza kutatuliwa kwa changamoto zinazoikabili Bendi ya Tanzania...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2021Nguli wa muziki wa Rhumba kutoka Congo, Général Defao (63) amefariki dunia nchini Cameroon alikokwenda kutumbuiza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Defao...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameteua viongozi mbalimbali, akiwemo Jaji Jacob Casthom Mwambegele, aliyemteua kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2021RAIS wa Somalia, anayemaliza muda wake, Mohamed Abdullahi Farmajo, amemsimamisha kazi Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble, ili kupisha uchunguzi...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemuomba Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, kufuatilia kwa...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2021MWILI wa aliyekuwa Askofu Mkuu mstaafu Afrika Kusini, Desmond Tutu, unatarajiwa kuzikwa Jumamosi, tarehe 1 Januari 2022, mjini Cape Town, nchini humo....
By Mwandishi WetuDecember 27, 2021ASKOFU mkuu mstaafu nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu amefariki dunia leo Jumapili, tarehe 26 Desemba 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Tutu...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2021BAADA ya Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kukosa idadi kubwa ya wabunge wa upinzani, Chama cha ACT-Wazalendo, kinatarajia...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2021WATOTO 34 wamezaliwa mkesha wa kuamkia Sikukuu ya Krismasi katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, leo Jumamosi tarehe 25 Desemba 2021. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2021MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM), Humphrey Polepole amewaonya wale wote wanaoghushi mitandaoni na kuwaomba wananchi kwa mwaka 2022 “kazi moja ni kukataa wahuni...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2021