Friday , 19 April 2024
Home mwandishi
8680 Articles1237 Comments
Habari

Mwanafunzi UDSM afariki dunia kwa kujirusha ghorofani

  MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania, Manawa Horera (22) amefariki dunia baada ya kujirusha kutoka ghorofani. Anaripoti...

HabariTangulizi

#LIVE- Miaka 58 ya Mapinduzi Zanzibar

  LEO Jumanne tarehe 12 Januari 2022, Zanzibar inasherekea miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu yaliyotokea mwaka 1994. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Rais wa Zanzibar,...

Habari za Siasa

Sophia Simba ajitosa uspika, wafikia 17

  ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania, Sophia Simba amekuwa miongoni mwa. Wanachama 17 wa chama...

HabariMichezo

Kiporo cha Simba dhidi ya Kagera Sugar kupigwa Januari 26

  Bodi ya Ligi imefanya marekebisho kwa michezo 12 ya Ligi Kuu Tanzania Bara, ukiwemo mchezo ulioahirishwa kati ya Kagera Sugar dhidi ya...

Habari

Mbunge Ditopile apongeza teuzi za Rais Samia

  MBUNGE wa Viti Maalum wa Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amempongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuteuwa mawaziri, manaibu mawaziri na...

Habari za Siasa

Ntunzwe amuangukia Rais Samia kutekeleza agizo la Rais Magufuli

  Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe wa Dar es Salaam amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia kuiagiza Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na...

Habari

Mwanaume apandikiziwa moyo wa nguruwe kwa mara kwanza duniani

MWANAUME raia wa Marekani amekuwa mtu wa kwanza duniani kupandikizwa moyo wa nguruwe aliyebadilishwa vinasaba (GMO). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Kwa mujibu...

Habari za Siasa

Zungu, Msukuma wajitosa uspika, wafikia 13

MWENYEKITI wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu amechukua fomu ya kuwania uspika wa Bunge hilo la Tanzania....

HabariTangulizi

Ajali yaua 14 Mwanza, wamo waandishi 6, Rais Samia awalilia

WATU 14 wamefariki dunia wakiwemo waandishi wa habari sita wa Mkoa wa Mwanza baada ya gari waliokuwa wakisafiri kwenda Ukerewe mkoani humo kugongana...

MichezoTangulizi

Yanga hoi kombe la Mapinduzi wavuliwa ubingwa, Azam FC yatinga fainali

  KLABU ya Soka ya Yanga imevuliwa rasmi ubingwa wa kombe la Mapinduzi mara baada ya kuondolewa na Azam Fc katika mchezo wa...

Habari

Watoto 2 wafariki dunia ndani ya gari Dar

  WATOTO wawili wamefariki dunia jana Jumapili, tarehe 9 Januari 2022, baada ya kujifungia ndani ya gari huku wakiwa wamefunga vioo na kukosa...

Habari za Siasa

Mafao ya Ndugai balaa, kuvuna mamilioni

  ALIYEKUWA Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ambaye alilazimika kujiuzulu wiki iliyopita, atavuna mamilioni ya shilingi kila mwezi, kama malipo yake...

Habari za Siasa

Naibu Spika: Uongozi wa rais haupo sawasawa na kiongozi wa mhimili wowote

  NAIBU Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa...

Tangulizi

Rais Samia awapa kazi maalumu Prof. Kabudi, Lukuvi

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Profesa Palamagamba Kabudi na William Lukuvi ambao amewaweka kando katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, anawapa kazi...

Habari za Siasa

Rais Samia amuapisha Mwenyekiti mpya NEC

  Rais Samia leo tarehe 10 Januari, 2022 amemuapisha Jaji Jacob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Cameroon, Cape Verde waanza vema michuano AFCON

  WENYEJI wa mashindano ya Kombel la Mataifa ya Afrika, Cameroon jana usiku walitoka nyuma na kuwalaza Burkina Faso bao 2-1 katika mechi...

Habari Mchanganyiko

NMB kuendelea kusaidia mendeleo ya elimu Tanzania

  MAAFISA wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini nchini Tanzania, wamesisitiza dhamira ya benki hiyo kuendelea kusaidia kuweka mazingira rafiki ya kujifunzia...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: Rais Samia akiapisha baraza la mawaziri

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, tarehe 10 Januari 2022, analiapisha Baraza lake la mawaziri aliloliteua mwishoni mwa wiki iliyopita....

Habari za SiasaTangulizi

Mawaziri wanawake Tanzania wafikia 9

    IDADI ya wanawake katika baraza jipya la mwaziri nchini Tanzania litakaloapishwa leo Jumatatu, tarehe 10 Januari 2022, Ikulu ya Chamwino jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya kina Mbowe kuendelea leo, Mahakama kutoa uamuzi

  KESI inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, itaendelea leo Jumatatu, tarehe 10...

Habari za Siasa

Majaliwa aweka jiwe la msingi kituo cha afya Kenda, Pemba

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wanaosimamia miradi ya ujenzi waongeze kasi ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati...

Habari za SiasaTangulizi

Pwani yazipiga ‘bao’ Dar, Moro baraza la mwaziri

  MKOA wa Pwani nchini Tanzania, ‘umepiga bao’ mikoa mingine nchini humo kwa kutoa mawaziri na naibu mawaziri watano katiba Baraza la Mawaziri....

Habari za SiasaTangulizi

Shaka: CCM hakuna mpasuko, Ndugai sio wa kwanza

WAKATI Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisema ndani ya CCM kuna ‘homa ya urais’...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yaanza kumsaka mrithi wa Ndugai

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuanza mchakato wa kumsaka mrithi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job...

Kimataifa

Kampeni za Odinga zaingia shubiri

  Mwenyekiti wa Chama cha ODM nchini Kenya, Elgeyo Marakwet Micah Kigen amemkosoa kiongozi wake na mgombea urais wa chama hicho Raila Odinga...

Michezo

Simba Queen waichabanga Yanga Princess 4-1

  DABI ya watani wa jadi kwa upande wa akina dada, Simba Queens na Yanga Princess imemaliza kwa wekundu hao wa Msimbazi kuwaadabisha...

Habari za Siasa

Mawaziri, ma-naibu waliotemwa hawa hapa

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 8 Januari, 2022 amefanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri na nafasi za makatibu wakuu na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua mawaziri 9, manaibu 3

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 8 Januari, 2022 amefanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri na nafasi za makatibu wakuu na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua Manaibu mawaziri watano, Mavunde arudi, Ridhiwani Kikwete apenya

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 8 Januari, 2022 amefanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri na nafasi za makatibu wakuu na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua mawaziri wapya, Nape, Pindi Chana ndani

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 8 Januari, 2022 amefanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri na nafasi za makatibu wakuu na...

Habari za Siasa

Rais Dk. Mwinyi apongeza utatuzi kero za Muungano, azungumza na Majaliwa

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza mafanikio yaliyopatikana katika vikao vya Muungano ikiwa ni...

Kimataifa

Mapenzi yashinda! Mwimba injili amuoa mpenziwe ‘bibi kizee’

  WAHENGA husema kipendacho roho hula nyama mbichi na miaka si chochote wala lolote mbele ya mapenzi, miaka ni namba tu. Hilo limejitokeza...

KimataifaMichezo

KUELEKEA AFCON: Cheki mchezaji alivyoagwa na mkewe kwa mabusu ‘mubashara’

  Musah Noah Kamara, mchezaji kandanda wa Sierra Leone, ameagwa kwa mapenzi na bashasha la kipekee kutoka kwa mkewe wakati akijiandaa kuelekea katika...

Kimataifa

Baba mbaroni kwa kujaribu kumuuza mwanawe

  POLISI nchini Liberia wamemkamata na kumfungulia mashtaka mwanamume mmoja raia wa Sierra Leone mwenye umri wa miaka 29 kwa madai ya kujaribu...

Habari Mchanganyiko

CHAKUA yazuiwa stendi ya Magufuli, Meneja afunguka

  CHAMA cha Kutetea Haki za Abiria nchini Tanzania (CHAKUA), kimemlalamikia Meneja wa Kituo cha mabasi cha Magufuli, Mbezi jijini Dar es Salaam,...

Habari Mchanganyiko

Mtuhumiwa mauaji ya mkewe Dar, akamatwa Kagera

  JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linamshikilia Isaya Mzava (59), Mkazi wa Bunju Beach, Kinondoni kwa tuhuma...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awaonya UVCCM “acheni kudhalilishana”

  MWENYEKITI wa chama tawala nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya vijana wa chama hicho, kuacha kudhalilishana wakati...

Habari za Siasa

Bunge la Tanzania kusukwa upya

  BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linatarajiwa kusukwa upya, baada ya kung’oka mamlakani kwa Spika wake, Job Ndugai. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Baraza la Mawaziri Tanzania: Majaliwa mguu ndani, nje

  HOMA imeanza kupanda kwa baadhi ya mawaziri, naibu mawaziri na wabunge, kutokana na kauli ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwa...

Habari za Siasa

#LIVE- Ndugai amuibua James Mbatia

  MWENYEKITI wa chama cha upinzani Tanzania- NCCR-Mageuzi, James Mbatia anazungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo kujiuzulu kwa Job Ndugai...

Habari za Siasa

#LIVE-Rais Samia ashiriki matembezi Pemba

  MWENYEKITI wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan anashiriki kilele cha matembezi ya miaka 58 ya...

Habari za SiasaTangulizi

Shughuli za Bunge zasimamishwa Tanzania

  KATIBU wa Bunge la Tanzania, Nenelwa Mwihambi ametangaza kusitisha shughuli zote za Bunge ikiwemo kamati za Bunge zilizokuwa zikutane kuanzia tarehe 10...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu anazungumzia kung’oka kwa Spika Ndugai

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania- Chadema, Tundu Lissu anazungumza na umma kwa njia ya mtandao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari Mchanganyiko

Washindi 100 wa NMB MastaBata wanyakua milioni 10

  WATEJA 100 wa kwanza wa kampeni ya NMB MastaBata-Kivyako Vyako wamepatikana na kujinyakulia Sh.100,000 kila mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Bunge la Tanzania ajiuzulu

  JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amejizulu nafasi hiyo leo Alhamisi 6 Januari 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Ndugai...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tanesco yatanagza bei mpya kuunganisha umeme

  SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limetangaza bei mpya ya kuunganisha umeme mijini na vijijini kuanzia leo Jumatano tarehe 5 Januari 2022. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aagiza bei ya kuungiwa umeme ipande, Waziri Makamba asema…

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa agizo la kufutwa kwa kiasi cha awali cha Sh.27,000, kilichokuwa kinatozwa na Shirika la Umeme...

Habari za SiasaTangulizi

Utaratibu wa kung’oa Spika madarakani

  WAKATI joto la kuachia madaraka kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai likiendelea kushika kasi, Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Juni...

Habari za Siasa

Rais Samia afichua simu ya waziri ilivyomnyima usingizi

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na ‘stress’ za madeni ya nchi siku moja Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk. Mwigulu Nchemba...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atangaza kufanya mabadiliko mawaziri, makatibu wakuu…

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameutangazia umma wa Watanzania kuwa hivi karibuni atafanya mabadiliko ya nafasi za viongozi mbalimbali wa Serikali anayoiongoza kuanzia...

error: Content is protected !!