Saturday , 20 April 2024
Home mwandishi
8681 Articles1237 Comments
Afya

Mkurugenzi NHIF atembelea hospitali ya Regency.

UJUMBE wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF) umetembelea hospitali ya Regency ya Upanga jinjini Dar es Salaam na kuzungumza na...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Hofu chanzo viongozi vyama upinzani kugoma kung’atuka

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo anayemaliza muda wake, Zitto Kabwe amesema hofu ndizo zinazowafanya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani...

Biashara

Hot Joker Fruits cheza sasa ushinde Meridianbet kasino

  Kasino ya Hot Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ndani ya kasino ya mtandaoni Meridianbet yenye nguzo tano zilizopangwa katika safu...

Biashara

Sloti ya Most Wanted ndani ya Meridianbet kasino, ushindi x 200

Tunakuletea mchezo mpya wa kasino Mtandaoniunaoendelea katika Magharibi ya Kusini. Na katika mchezohuu, msako umetangazwa, lakini si kwa vichwavilivyotekwa, bali kwa bonasi za...

Biashara

Rusha ndege ya Aviator kasino ushinde TV, Smartphone na beti za bure

  MTAJI wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, na mtaji wa tajiri ni pesa zake, utachagua wewe kutumia nguvu nyingi au kutumia pesa...

Michezo

Suka mkeka wako hapa na Meridianbet leo

Habari mteja wa meridianebt?. Je wajua kuwa Jumapili ya leo inaweza kubadili ndoto zako za maisha endapo utaweka dau lako dogo tuu na...

Michezo

Unaanzaje Jumamosi Yako na Meridianbet Leo?

Mpendwa mteja wa Meridianbet natumaini Jumamosi yako imeanza vizuri kabisa ikiwa ndio wikendi ya kwanza ya mwezi Machi ambapo meridianbet nao hawapo nyuma...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi aungana na Samia kuuaga mwili wa baba yake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi, viongozi mbalimbali wa Kitaifa akiongozwa na Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Samia: Mwinyi alikuwa maktaba inayotembea

Rais Samia Suluhu hassan amesema Hayati rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi alikuwa ni maktaba inayotembea na iliyosheheni vitabu vyenye mafunzo ya uadilifu, uzalendo,...

Biashara

Sloti ya Most Wanted ndani ya Meridianbet kasino, inakupa shindi x 200

TUNAKULETEA mchezo mpya wa kasino Mtandaoniunaoendelea katika Magharibi ya Kusini. Na katika mchezohuu, msako umetangazwa, lakini si kwa vichwavilivyotekwa, bali kwa bonasi za kasino...

Michezo

Usikubali kupitwa ODDS KUBWA zipo Meridianbet pekee, bashiri sasa

  LIGI mbalimbali duniani leo hii zinaendelea huku kwa upande wa Meridianbet wao wameshakuwekea machaguo ambayo unayapenda. Kila timu inataka ushindi kujiweka kwenye...

Michezo

Ligi ya Mabingwa Afrika kuunguruma tena leo 

  LIGI ya Mabingwa Afrika kuendelea leo na michezo kadhaa inakwenda kupigwa katika viwanja mbalimbali, Huku ikiwa ni michezo ya mwisho ya kumaliza...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

TEF yaomboleza kifo cha Mzee Mwinyi

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kupokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Mwinyi chanzo cha mageuzi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia, Freeman Mbowe amesema huwezi kuliacha jina la Ally Hassan Mwinyi unapotaja mageuzi nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

AfyaHabari Mchanganyiko

Maambukizi ya UKIMWI Lindi yapungua

Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yamepungua katika Manispaa ya Mkoa wa Lindi kutoka asilimia mbili hadi asilimia 1.7 mwaka 2023 hali ambayo imewezesha...

Habari za Siasa

Wapinzani wamlilia Rais Mwinyi

VYAMA vya siasa nchini Tanzania, vimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, kilichotokea tarehe 29 Februari 2024, akipatiwa...

Habari za Siasa

Wananchi Dar watakiwa kujitokeza barabarani kumuaga Hayati Mwinyi

WANANCHI wasiokuwa na muda wa kwenda katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili...

Biashara

Expanse yashusha chuma hiki hapa “Super Heli” ndani ya Meridianbet kasino

Expanse Studios ina mchezo mpya wa kasino mtandaoni utakaoupenda! Unaitwa Super Heli! Mbingu ni kikomo lakini ushindi hauna kikomo ukiwa na Meridianbet, na...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili wa Hayati Mwinyi kuagwa leo saa 8 Uwanja wa Uhuru

MWILI wa Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi unatarajiwa kuagwa kuanza leo Ijumaa saa nane katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais mstaafu Mwinyi afariki dunia

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki dunia leo tarehe 29 Februri 2024 saa 11 jioni katika Hospitali...

Habari za Siasa

Waziri mkuu Ethiopia atua Tanzania

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Dk. Abiy Ahmed Ali amewasili nchini leo tarehe 29 Februari 2024 kuanza ziara...

Habari Mchanganyiko

Karafuu, Parachichi yawa fursa Morogoro

IMEELEZWA kuwa zao la karafuu ambalo kwa sasa linalimwa pia katika mkoa wa Morogoro limetajwa kuwa miongoni wa zao la kimkakati ambalo linatarajiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Hatutazuia watu kuingia barabarani

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kuruhusu vyama vya siasa vya upinzani kufanya shughuli zake kwa uhuru, ikiwemo kuandamana na kufanya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Washindi 12 NMB MastaBata na wenza wao wapaa Afrika Kusini

WASHINDI 12 wa kampeni ya kuhamasisha matumizi yasiyohusisha pesa taslimu iliyoendeshwa na Benki ya NMB kwa miezi mitatu ‘NMB MastaBata – Halipoi’ na...

Habari Mchanganyiko

4 wanusurika kifo ajali ya ndege Serengeti

WATU wanne wakiwamo abiria watatu na rubani mmoja wamenusurika kifo katika ajali ya ndege iliyotokea leo Jumatano katika Hifafhi ya Taifa ya Serengeti....

AfyaTangulizi

Kitita cha NHIF kuanza Ijumaa, kuwapa wanachama nafuu zaidi

  MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza kuanza kutumika kwa maboresho mapya ya Kitita cha Mafao kwa wanachama ambapo yatataanza...

Habari za Siasa

Dk. Biteko: Kuwapa nishati wananchi sio hiari

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa, Sekta ya Nishati ni injini katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na...

Habari za SiasaTangulizi

Mhasibu Serengeti aswekwa rumande kwa madai ya kutafuna mil. 214

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mambo 3 yateka mdahalo wagombea ngome vijana ACT-Wazalendo

WAGOMBEA Uenyekiti wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, wamenadi sera zao katika mdahalo wa uchaguzi, wakiwaomba wajumbe wawachague kwenye uchaguzi utakaofanyika...

Habari Mchanganyiko

Mafua yamtesa Papa, afuta mikutano

Kiongozi wa Kanisa katoliki duniani, Papa Francis amelazimika kufuta mkutano na waumini mjini Vatican jana Jumatatu asubuhi baada ya kubainika kuwa anasumbuliwa na...

Habari Mchanganyiko

Oryx wagawa mitungi 1000 kwa viongozi wa dini, wajasiriamali Moshi

VIONGOZI wa dini kutoka madhehebu mbalimbali pamoja na wajasiriamali katika mkoani Kilimanjaro wamepatiwa bure mitungi ya gesi ya Oryx 1000 pamoja na majiko...

Habari za Siasa

Hamahama Ngorongoro kutikisa maandamano ya Chadema Arusha

MAELFU ya wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wanatarajia kushiriki maandamano ya amani yaliyoandaliwa na chama hicho, kudai katiba...

Habari Mchanganyiko

RC Geita awafunda wahitimu wapya GGML

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ametoa wito kwa wahitimu wa vyuo vikuu waliojiunga na program ya mafunzo tarajali katika Kampuni ya...

Michezo

Wizara yaahidi kuboresha, kuimarisha michezo

Ikiwa ni saa kadhaa baada ya kumalizika kwa mashindano ya mbio “Kili Marathon 2024”, Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...

Habari Mchanganyiko

Biteko asisitiza umuhimu wa EREA sekta ya nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kuzungumza na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Udhibiti wa huduma za...

Kimataifa

Wanajeshi Ukraine waishiwa risasi, 31,000 wauawa

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema zaidi ya wanajeshi 31,000 wamefariki vitani katika muda wa miaka miwili tangu Urusi ilipoivamia Ukraine. Inaripoti Mitandao...

Kimataifa

Waziri mkuu Palestina ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtayyeh ametangaza kujiuzulu pamoja na serikali yake katika hatua ambayo huenda ikafungua njia ya mageuzi yanayoungwa mkono na...

Habari za SiasaTangulizi

Waliofariki ajalini Arusha kuagwa siku ya maandamano Chadema

MIILI ya watu 25 waliofariki dunia katika ajali iliyohusisha lori la mizigo na magari matatu, iliyotokea katika Barabara Kuu ya Arusha-Namanga Ngaramtoni Kibaoni,...

Habari Mchanganyiko

Tembo aongoza migongano binadamu, wanyamapori

IMEELEZWA kuwa asilimia 80 ya migongano baina ya binadamu na wanyamapori nchini inahusisha mnyama tembo, huku simba, boko, mamba, fisi na nyati wakichangia...

Habari Mchanganyiko

“Watanzania tembeleeni vivutio vya utalii”

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limewataka Watanzania kujitokeza kutembelea vivutio vya utalii ili kuongeza mapato ya ndani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Serikali kuiburuzwa mahakamani ajali iliyoua 25 Arusha

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), imeitaka Serikali kupiga marufuku malori ya mizigo kutembea barabarani wakati wa mchana ili kulinda...

Habari MchanganyikoMichezo

Nje jogging yanyakua medali 20 Kili Marathon

Timu ya riadha ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki – Nje Jogging imeshiriki mashindano ya Mbio za Kimataifa...

Habari za SiasaTangulizi

Samia atoa pole ajali iliyoua 25, kujeruhi 21 Arusha

Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella kufuatia vifo vya watu 25 na majeruhi 21...

Biashara

Meridianbet yaimarisha usafi Kijitonyama

MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet leo imefanikiwa kufika maeneo ya Kijitonyamajijini Dar-es–Saslaam katika zahanati inayopatikana katikaeneo hilo na kutoa msaada wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

25 wafariki dunia katika ajali Arusha

Watu 25 wamefariki dunia papo hapo mkoani Arusha katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari matatu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa...

Afya

Dk. Biteko aagiza uboreshaji huduma za afya kwa wazee

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza wasimamizi wa vituo vya afya, zahanati na hospitali zote nchini kuhakikisha wanayasimamia...

Michezo

Siku ya kukusanya maokoto ni leo, usipange kukosa

  HATIMAYE Jumamosi imefika ndugu mteja wa Meridianbet na mechi zote za kukufanya ujikwapulie pesa zipo hapa. Unachotakiwa kufanya ni kuingia na kusuka...

Kimataifa

Rais mstaafu ahukumiwa miaka 4 jela

Mahakama ya mjini Tunis imemhukumu rais wa zamani wa Tunisia, Moncef Marzouki kifungo cha miaka nane jela baada ya kupatikana na hatia kwa...

Biashara

Kampeni SBL ya unywaji pombe chini ya umri yafika Kilimanjaro

KAMPUNI ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) inewahimiza wanafunzi wa shule za sekondari kujiepusha na unywaji pombe chini ya umri ili kujihakikishia...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Biteko afuta likizo watumishi Tanesco, bosi Morogoro yamkuta

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dk. Doto Biteko amekataza watendaji wa TANESCO kwenda likizo kipindi hiki cha changamoto za umeme...

error: Content is protected !!