Friday , 29 March 2024
Home mwandishi
8556 Articles1225 Comments
Kimataifa

Nini kitafuata baada ya Mahakama kuamua hatima matokeo uchaguzi mkuu Kenya?

  LEO Jumatatu tarehe 5 Septemba, 2022 Mahakama ya Juu ya Milimani ya Kenya inatarajiwa kutoa maamuzi yake kuhusu kesi ya urais iliyosikilizwa...

Habari Mchanganyiko

Wawekezaji Arusha wampongeza Samia ujenzi barabara za TARURA

WAWEKEZAJI na wananchi wa kata ya Themi, Halmashauri ya Jiji la Arusha wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwajengea kwa kiwango...

Kimataifa

Ubalozi wa Marekani nchini Kenya watoa tahadhari kwa raia wake

  UBALOZI wa Marekani nchini Kenya umewataka raia wake kuchukua tahadhari kubwa nchini humo wakati huu ambapo , mahakama ya juu inatarajiwa kutoa...

KimataifaTangulizi

Haya hapa maswali magumu ya Majaji kwa mawakili wa Ruto na IEBC

  KESI ya kupinga uchaguzi wa rais mteule William Ruto katika mahakama ya Juu nchini Kenya leo Ijumaa tarehe 2 Septemba, 2022, imeingia...

Afya

Waziri Ummy aagiza wakuu wa mikoa, wilaya kusimamia chanjo polio

  WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kusimamia kikamilifu utekelezaji wa kampeni ya chanjo ya...

Habari za Siasa

Mwigulu atetea tozo licha ya kukiri kusababisha maumivu kwa wananchi

  WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ametetea tozo zinazotozwa kwenye miamala ya kielekroniki licha ya kukiri kuwa anatambua...

Habari MchanganyikoTangulizi

Aliyeporwa ‘Range’ na Makonda alipuka, amtaja mtoto wa Malecela, amuangukia Samia

MFANYABIASHARA Patrick Christopher Kamwelwe mkazi wa New York nchini Marekani ameshusha tuhuma nzito dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Doreen apokea watoto 3 wa Mrema wa nje ya ndoa

  MJANE wa Marehemu Agustino Mrema amesema hadi sasa ameshapokea watoto watatu wa nje ya ndoa wa mume wake ambao walikuwa hawajapokewa na...

Habari za Siasa

Makosa ya jinai, ajali za barabarani zaongezeka

MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillius Wambura amesema takwimu zinaonesha makosa ya jinai pamoja na  ajali za barabara zimeongezeka katika kipindi...

Kimataifa

Mahakama yaiamuru IEBC imruhusu Odinga kuona matokeo ya uchaguzi

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya leo Jumanne tarehe 30, Agosti, 2022, imeamuru Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kumpa mgombea urais wa Muungano...

KimataifaTangulizi

Masuala tisa yatakayoamuliwa na Mahakama ya Juu kuhusu kesi ya uchaguzi Kenya

  MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya leo Jumanne tarehe 30, Agosti, 2022 imeanza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika...

Kimataifa

Mabishano yaibuka Mahakama Kuu IEBC kuchelewa kuwasilisha kiapo

  JAJI Mkuu wa Kenya, Martha Koome leo mchana ameahirisha kesi ya kupinga matokeo ya urais nchini humo baada ya kuibuka mabishano ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sabaya, wenzake wakwaa kisiki mahakamani

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wataendelea kusota gerezani baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Mkoa...

Kimataifa

Jengo la chama cha Kenyatta kupigwa mnada

  JENGO la makao makuu ya chama cha Jubilee lililopo katika mtaa wa Pangani, kaunti ya Nairobi nchini Kenya linatarajiwa kupigwa mnada Septemba...

Habari Mchanganyiko

Mongella apongeza UNDP  kufadhili mradi wa uhifadhi

MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amezindua mradi wa uhifadhi wa mazingira kwa kutumia maarifa ya asili ambao  utatekelezwa na Shirika la...

Kimataifa

Waziri Mkuu akutwa na Uviko-19, awekwa karantini

  WAZIRI Mkuu wa Japan, Fumio Kishida amepimwa na kukutwa na maambukizi Covid-19 wakati akiwasili nchini Tunisia kushiriki mkutano wa nane wa Kimataifa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kavishe bilionea mpya wa Tanzanite- Mirerani

  MJI mdogo wa Mirerani uliopo katika wilaya Simanjiro mkoani Manyara umeongeza bilione mpya wa madini ya Tanzanite baada ya mchimbaji mdogo Anselim...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mjane wa Mrema aonja joto ya jiwe

MKE wa marehemu Augustine Mrema, mwanasisasa mashuhuri nchini aliyefariki dunia 21 Agosti na kuzikwa juzi Alahmisi, Doreen Kimbi Mrema, ameanza kuonja joto ya...

Habari za Siasa

TARURA yashauriwa kuacha ujenzi wa barabara za uzito wa tani 10

  WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wametakiwa kuachana na ujenzi wa barabara za kiwango cha lami zenye uwezo wa kubeba...

Habari MchanganyikoTangulizi

Aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa

TAARIFA zilizotufikia hivi punde Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limemkamata aliyekuwa Meneja wa TRC mkoa wa Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

DAWASA yabadilisha namba za malipo ya ankara

  MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imetangaza kuanza rasmi kutumia mfumo wa malipo ya Serikali kuanzia malipo...

Kimataifa

FATF kuipima tena Pakistani kwenye ugaidi, utakatishaji fedha

  SHIRIKISHO la Kimataifa la kufuatilia utakatishaji fedha haramu na Ugaidi (FATF) linarajia kufika nchini Pakistani Mwezi ujao ili kuhakikisha kuwa nchi hiyo...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia ateua Mkurugezi STAMICO, wenyeviti 8 wa bodi

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti nane wa Bodi za Mazao na Taasisi zinazosimamiwa na Wizara ya Kilimo pamoja na Mkurugenzi...

Habari za Siasa

Nyumba ya James Mapalala yabomolewa kwa amri ya mahakama

  NYUMBA ya mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, marehemu James Mapalala imebomelewa kwa amri ya mahakama baada ya Mahakama Kuu Tanzania kutupilia mbali kesi...

Kimataifa

Volodymyr Zelenskiy: Ukraine imezaliwa upya baada ya uvamizi wa Urusi

  RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy, ameeleza kuwa taifa lake limezaliwa upya wakati Urusi ilipoamua kuivamia kijeshi, Februari mwaka huu na kamwe haliwezi...

Tangulizi

Rais Samia: Kaya zote hazitofikiwa siku ya sensa

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi ambao hawatafikiwa kesho tarehe 23 Agosti, 2022 na makarani wa sensa kuhakikisha wanatunza kumbukumbu...

Habari za SiasaTangulizi

Samia: Kosa la jinai karani kutoa taarifa za kaya

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema taarifa zitakazokusanywa na makarani wa sensa nchi nzima ni taarifa za siri kwa mujibu wa sheria ya...

Habari Mchanganyiko

Simulizi baba wa binti aliyefariki Canada inasikitisha

  HATIMAYE Baba yake Hellen Kemunto, binti muuguzi raia wa Kenya aliyefariki wiki iliyopita nchini Canada, amejitokeza kuelezea maisha ya mwanaye. Binti huyo...

Kimataifa

Raila Odinga afungua rasmi kesi ya kupinga uchaguzi wa urais

  MGOMBEA wa urais nchini Kenya, kupitia Muungano wa Azimio, Raila Odinga, hatimaye amewasilisha rasmi ombi la kupinga uchaguzi wa William Ruto kuwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia, Mbatia wamlilia Mrema

RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Agustino Mrema kilichotokea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mrema afariki dunia

MWENYEKITI wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo tarehe 21 Agosti, 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Juliana Cherera; kigogo tume ya uchaguzi anayetia mchanga ushindi wa Ruto

Jina la Juliana Cherera ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka kutoka nchini Kenya (IEBC), limepata umaarufu mkubwa baada...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia apeleka bilioni 20 kusukuma uchumi wa buluu Mwanza

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha vijana kufuga samaki kama njia ya kuwanufaisha na uchumi wa...

ElimuHabari

Mahafali ya wanafunzi 400 waliosoma nje ya nchi yaiva

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolph Mkenda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya tatu ya wanafunzi waliosoma vyuo vikuu...

Kimataifa

Odinga akataa matokeo uchaguzi mkuu Kenya, kukimbilia mahakamani

  ALIYEKUWA Mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya kupitia muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga leo Jumanne amekataa kuyatambua matokeo ya...

Kimataifa

Makamishna wa IEBC waliopinga matokeo watoa sababu nne

  MAKAMISHNA wanne wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi ya Kenya (IEBC), wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti, Juliana Cherera, wametaja sababu za kutokukubaliana...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Namna Ruto alivyomshinda Odinga uchaguzi mkuu Kenya

  KAMPENI za wafuasi wengi zilizoegemezwa katika simulizi kali za ma-hustlers (watafutaji) sambamba na uungwaji mkono kutoka kwa maeneo yenye utajiri wa kura...

Habari za SiasaTangulizi

Samia aungana na viongozi Afrika kumpongeza Ruto

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameungana na viongozi wengine wa Bara la Afrika kwa kumpongea mshindi wa nafasi ya urais pamoja na kuwapongeza...

Makala & Uchambuzi

Dk. Kahangwa: Hi ndio tofauti kati ya uchaguzi wa Kenya, Tanzania

  YAPO masuala ya kijiografia, kihistoria, kijamii na kiuchumi yanayofanya nchi mbili za Afrika Mashariki; Kenya na Tanzania zifanane na kuwa na udugu...

Kimataifa

Msimamizi Uchaguzi aliyetoweka, auawa na wasiojulikana

  OFISA wa uchaguzi wa Embakasi Mashariki kutoka nchini Kenya, Daniel Mbolu Musyoka (53) aliyetoweka tarehe 11 Agosti, 2022 amepatikana akiwa amefariki. Inaripoti Mitandao...

Habari Mchanganyiko

Exim waadhimisha miaka 25, yapongeza wafanyakazi wake

BENKI ya Exim Tanzania imeadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwa hafla fupi iliyolenga kutambua jitihada na mchango wa wafanyakazi wa benki hiyo katika...

KimataifaTangulizi

Ruto: Nitaongoza Serikali kwa uwazi na demokrasia

  RAIS Mteule wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto amewahakikishia wananchi kuwa ataongoza Serikali kwa uwazi na demokrasia ya hali ya juu huku...

KimataifaTangulizi

Ruto aibuka mshindi Urais Kenya kwa asilimia 50.49

  MGOMBEA Urais wa Muungano wa Kenya Kwanza na Chama cha UDA, William Ruto ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu kwa kura 7,176,141...

Habari za Siasa

Samia aagiza maofisa uhamiaji waliohusika ubadhirifu viza kushughulikiwa

  RAIS wa Jamhurii ya uungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Kamishna Jenerali wa Jeshi La Uhamiaji, Dk. Anna Makakala, “kuwashughulikia” maofisa...

Kimataifa

Wajackoyah: Nitashinda urais Kenya

  WAKATI matokeo ya kura za urais zilizothibishwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC) zikionesha mchuano mkali katika kinyang’anyiro...

Kimataifa

Mawakala Ruto, Odinga wazozania kifaa cha majumuisho ya kura

WAANDISHI wa habari wamelazimika kutolewa katika kituo kikuu cha majumuisho ya kura za urais cha Bomas kupisha majadilino ya maafisa wa Tume Huru...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waliofukuzwa CUF na kupoteza ubunge washinda kesi

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania leo tarehe 12 Agosti, 2022, imesoma Hukumu ya Kesi namba 143 ya Mwaka 2017 iliyofunguliwa na Miza Bakari...

Kimataifa

Vita nyingine Ruto, Odinga kwenye viti vya Bunge

WAKATI matokeo ya uchaguzi wa urais yakiendelea kutolewa jana na Tume Huru na Mipaka ya Uchaguzi (IEBC), mwelekeo umehamia kwenye vita vya Bunge,...

Kimataifa

Mawakala wa Ruto wazozana na maafisa wa Tume ya uchaguzi

  GHADHABU zilipanda katika kituo cha kitaifa cha kuhesabia kura cha Bomas of Kenya usiku wa Alhamisi wakati tume ya uchaguzi ilipoanza kuhakiki...

Kimataifa

Tume Huru ya Uchaguzi Kenya yaanza kutiririsha matokeo ya Urais

  TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) hatimaye ilianza kutiririsha matokeo ya urais yaliyothibitishwa mwishoni mwa siku Alhamisi kwa ajili ya kutangaza...

error: Content is protected !!