RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa muda wa mwaka mmoja (2023) kwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba kuhakikisha taasisi zote kubwa nchini ikiwamo...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan mesema kuanzia bajeti ijayo Serikali itatenga fedha nzuri kuanzia mfuko wa nishati safi ya kupikia lengo likiwa ni...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza kuanzishwe kikosi kazi ambacho kitashughulikia nishati safi ya kupikia kitakachotoa mapendekezo pamoja na dira ya miaka 10...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, atembee katika maneno yake kuhusu upatikanaji wa maridhiano ya kitaifa Kwa kuhakikisha Tume Huru...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla leo Jumanne ametangaza kwamba leo usiku lita milioni 70 za maji zitaingizwa katika...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa idadi ya Watanzania imefikia milioni 61.7 kufikia tarehe 31 Oktoba 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema ni jukumu la Watanzania wote kumuunga...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2022MKURUGENZI wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Daktari Albina Chuwa, amesema takwimu za sensa ya watu na makazi za 2022, zitasaidia...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2022KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameoneshwa shahuku na ndoto aliyonayo ya kuwa Rais wa Tanzania, baada kusimulia alivyokuwa akimfariji mama yake kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2022MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Buruhani Nyenzi ameipongeza TMA kwa kutekeleza Mkataba waBaraza kwa kuhakikisha wajumbe wa Baraza wanakutana mara...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2022WATAALAM kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya barani Ulaya (EMA) wameonya kuwa baadhi ya chanjo za Covid 19 zinaweza kusababisha akina...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2022IMEELEZWA kuwa Paul Pelosi, mume wa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani, Nancy Pelosi, amepata nafuu kutokana na upasuaji baada ya...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi Watanzania wanaoishi ughaibuni kuwa mabalozi wazuri kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi wanazoishi ili kujenga taswira...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2022JUMLA ya watumishi wa afya 139 wamechaguliwa kwaajili ya kupewa ufadhili wa masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi katika fani zao. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema baadhi ya mapendekezo yaliyotolewa na wanasiasa wa vyama vya upinzani katika Kikosi Kazi cha Rais...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Hospitali ya KAM Musika ya Kimara...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022LUTENI Jenerali, Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema baba yake ameruhusu kufanyika kwa kongamano la vijana wazalendo, lenye...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameruhusu Magari kuanza kutumia daraja jipya la wami kufuatia Ujenzi wake kukamilika kwa asilimia...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022MAKANDARASI nchini wametakiwa kuacha tabia ya kulalamika badala yake waweke juhudi ili wapate kazi kubwa zinazotangazwa ndani ya nje nchi. Na Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022KAMPUNI ya simu za Mkononi ya Vodacom imezindua huduma ya Vodacom M-Pesa inayoitwa “Dunia Kijiji, Afrika ni M-Pesa” ambayo inawawezesha Watanzania kutuma...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022UTAFITI mpya umeonesha kuwa matumizi fanisi ya huduma za fedha za simu za mkononi yana mchango wa moja kwa moja katika ukuaji wa...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022KHEDROOB Thondup mtoto wa Mwanadiplomasia Gyalo Thondup, kaka mkubwa wa Dalai Lama na mwakilishi wake wa kibinafsi wa zamani nchini China, amepata...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022KLABU ya Soka ya Simba inatarajiwa kuwakosa nyota wake wanne kuelekea mchezo wa kesho tarehe 27 Oktoba 2022 ambapo Simba watakuwa wageni wa...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022MBUNGE wa Ndanda Cecil Mwambe ameishauri Serikali kufuta tozo zilizokuwepo kwenye utaratibu za maozo ya kurosho ghafi ili kunusuru bei ya korosho...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022KUANZIA Novemba Mosi, 2022 utekelezaji wa ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwarejeshea michango yao wale wote waliofukuzwa kazi kwasababu ya...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amewataka wadau wa habari nchini kupambana ili kubadili sheria za habari nchini huku akieleza...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022MTU mchafu zaidi duniani Amou Haji aliyekaa zaidi ya miaka 50 bila kuoga amefariki duniani miezi michache baada ya kuogeshwa kwa lazima....
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022KAMATI ya Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu nchini (CVCPT), imeishauri serikali kuongeza wigo wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeuamrisha upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji inayowakabili baadhi ya madiwani wa Wilaya ya Ngorongoro mkoani...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022SERIKALI imeifungia Shule ya Awali na Msingi ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha Mitihani pamoja na kuwafuta kazi wasimamizi wa mtihani...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ametuma salamu kwa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kwamba ‘atakula...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022MWANASIASA wa Uingereza Rishi Sunak amechaguliwa jana tarehe 24 Oktoba, 2022 kuwa kiongozi wa chama cha Conservative na atakuwa waziri mkuu ajaye,...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amewashauri na kuwataka wafanyabiashara wadogowadogo mkoani...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2022MKUU wa Jeshi la Magereza nchini Kamishna Jenerali Mzee Ramadhani Nyamka amewataka wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Bwawani...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana iliipamba...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2022MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, IGP Camillus Wambura, amewasimamisha kazi askari wote waliohusika na tukio la mauji ya raia wawili yaliyotokea...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2022MBUNGE wa Viti Maalum, (CCM), Dk. Thea Ntara, ameipongeza shule ya Brilliant kwa kutopandisha ada kwa miaka mine mfululizo na amezitaka shule...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2022BODI ya Klabu ya Azam FC imesitisha mkataba na Denis Lavagne, kama kocha mkuu, kuanzia leo tarehe 22 Oktoba, 2022. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi wawili, wajumbe wa bodi hizo pamoja na watendaji watatu wa serikali...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2022WAKUFUNZI wa mikoa nchini ambao ni wataalamu wa afya kutoka katika hospitali ya Taifa, hospitali za kanda, hospitali maalumu na hospitali za...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2022WAZIRI Mkuu wa zamani wa Uingereza, Boris Johnson na aliyekuwa waziri wake wa fedha, Rishi Sunak wanaongoza katika kinyang’anyiro cha kuwania wadhifa...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2022Moto umezuka katika mlima Kilimanjaro, karibu na eneo la Karanga Camp lililopo urefu wa meta 3,963 kutoka usawa wa bahari kupitia njia...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2022WAVUVI katika Ziwa Victoria upande wa Halmashauri ya Wilayani Musoma, mkoani Mara, wamepongeza hatua ya Serikali kutoa mikopo isiyokuwa na riba kwa ajili...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mapendekezo ya kikosi kazi cha kukusanya na kuchakata maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi ...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2022JUMUIYA na Taasisi za Kiislamu Tanzania, imetoa msimamo wake kuhusu marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya 1971, ikitaka isiwatambue waumini wake kwa kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2022MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imeahirisha usikilizwaji wa kesi iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, kupinga kufukuzwa Chadema, kutokana na...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2022WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku 15 kuanzia Oktoba 20, 2022 kwa kampuni ya Inter Country Contractors kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa miradi...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2022KIKOSI Kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini Tanzania, wamependekeza kuwepo kwa kamati maalumu itakayoteua wajumbe...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2022KIKOSI kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kimependekeza hatua sita zitakazosaidia mchakato wa kupata Katiba mpya...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2022