Thursday , 18 April 2024
Home mwandishi
8662 Articles1238 Comments
Habari Mchanganyiko

Makada wa Chadema waliofungwa maisha waachwa huru baada ya kusota miaka 2

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Shinyanga, imewaacha huru wanachama wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Katala Kikaja na Ng’hulima Lilanga, baada ya...

Kimataifa

Umoja wa Mataifa wakosoa ukiukwaji wa haki za Xinjiang

  JOPO la ngazi ya juu la Umoja wa Mataifa tarehe 26 Oktoba lilishutumu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea Beijing katika...

Habari za Siasa

Miss Tz 2018 achomoza kinyang’anyiro ujumbe NEC-CCM

  MISS Tanzania 2018 – Queenelizabeth Makune ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM...

Habari Mchanganyiko

Mbarouk amhakikishia ushirikiano Balozi DRC

  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amepokea Nakala za Hati za Utambulisho za...

Habari Mchanganyiko

Mwakibete ataka wahandisi SGR kupima vifaa vya ujenzi kikamilifu

  NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete amewataka Wahandisi wa Shirika ya Reli Tanzania (TRC) kuhakikisha vifaa vyote vinavyotumika katika ujenzi wa reli...

GazetiHabari

Makamu wa Rais kukabidhi tuzo za mzalishaji bora wa mwaka

MAKAMU wa Rais Dk. Phillip Mpango, anatarajaiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ugawaji wa Tuzo za Rais kwa Mzalishaji Bora wa Mwaka (PMAYA), zitakazotolewa...

Habari za Siasa

Rais Dk. Mwinyi ateua viongozi

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, leo Jumatano, tarehe 16 Novemba 2022, amefanya uteuzi wa viongozi wawili, akiwemo Dk. Sharifa Omar Salim,...

Habari za SiasaTangulizi

ACT hatarini kujiondoa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

  KAMATI maalum ya Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo upande wa Zanzibar, imeagiza Sekretarieti ya chama hicho kuratibu vikao vya viongozi na wanachama kwa...

Tangulizi

Mbunge ajiuzulu kwa kuendesha gari akiwa amelewa

  MBUNGE wa Rwanda, Gamariel Mbonimana ambaye alijiuzulu ubunge juzi tarehe 14 Novemba, 2022, ameomba msamaha kwa kuendesha gari akiwa mlevi. Inaripoti Mitandao...

Kimataifa

Trump atangaza kugombea urais uchaguzi wa 2024

  WAKATI kura za uchaguzi wa bunge hazijamalizika kuhesabiwa, rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ametangaza nia ya kugombea urais kwa mara...

Michezo

FIFA waomba vita kati ya Russia, Ukraine isitishwe kupisha Kombe la Dunia

  RAIS wa shirikisho la kandanda duniani, Gianni Infantino ametoa wito wa kusitishwa kwa muda wa mwezi mmoja vita kati ya Urusi na...

Habari za Siasa

Kilango aanzisha miradi kusaka kura Serikali za mitaa

  MBUNGE wa Same Mashariki, Anne Kilango (CCM) ameazisha miradi ya viti vya kukodisha kwa ajili ya biashara kwenye kata 14 katika jimbo...

Habari Mchanganyiko

Mbarawa aridhishwa ujenzi barabara DSM

  WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameelezea kuridhishwa na Ujenzi wa Barabara ya Mabasi yaendayo haraka – (BRT) sehemu ya...

Habari Mchanganyiko

Mwakibete aipa majukumu mazito bodi mpya ya MSCL

  Serikali imeiagiza Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), kusimamia kwa karibu taasisi hiyo ili miradi inayotekelezwa inakamilika...

Habari Mchanganyiko

Wawili mbaroni kwa kuuza biskuti, pipi zenye bangi

  MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewakamata watu wawili jijini Arusha kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya...

Habari MchanganyikoMichezoTangulizi

Kocha Simba, Cambiasso, Matola mbaroni kwa dawa za kulevya

  JUMLA ya watuhimiwa 11 wamekamatwa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ikiwamo Kocha wa makipa wa Klabu ya...

Habari Mchanganyiko

NMB yashiriki Kongamano la kwanza Kigoda cha Utafiti cha Mkapa

BENKI ya NMB imepongeza uanzishwaji wa kongamano la Kigoda cha utafiti cha Mkapa na Chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT). Kwani hiyo ni...

Afya

JKCI yasaini mkataba na Poland kutibu moyo

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesaini mkataba wa ushirikiano na chuo Kikuu cha Jagiellonian nchini Poland, wenye lengo la kubadilishana ujuzi...

Afya

Sheria ya bima ya ajali ipitiwe upya – Spika Tulia

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Dk. Tulia Ackson Mwansasu, ameitaka serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA), kuangalia upya utaratibu wa mashirika...

Habari za SiasaTangulizi

Baraza la Mawaziri latoa maelekezo ajali ya Precision

BARAZA la Mawaziri nchini Tanzania limeelekeza vitengo vyote vinavyohusika na kukabiliana na majanga viimarishwe ili kuongeza uwezo wa kukabiliana na majanga. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Wanawake Ubungo waandamana hadi kwa DC kudai maji

WANAWAKE kadhaa wa Kata ya Luguruni wameandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Herry James, wakidai kutopata huduma ya maji kwa...

Kimataifa

Rais Ramaphosa akalia kuti kavu

  RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa “atajiuzulu” iwapo atashtakiwa kwa madai ya kuficha wizi katika shamba lake la kibinafsi, kulingana na msemaji...

Kimataifa

Biden, Xi wasisitiza haja ya kupunguza migogoro

  VIONGOZI wa Marekani na China wamekutana katika hatua ambayo inalenga kutuliza joto la mzozo kati ya nchi zao. Anaripoti Mwandishi Wetu kwa...

Habari Mchanganyiko

NICOL kutoa gawio  kwa wanahisa wake

KAMPUNI ya Uwekezaji ya NICOL imepata faida ya shilingi bilioni 3.8 baada ya kodi na imepitisha gawio kwa wanahisa wake litakalotolewa mwezi ujao....

Elimu

Waliokosa mikopo elimu ya juu wapewa siku 7 kukata rufaa

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la rufaa ndani ya siku saba kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na...

MichezoTangulizi

Yanga waikamua Kagera Sugar, warejea kileleni

KLABU ya Soka la Yanga imeibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu Bara...

Habari Mchanganyiko

Zaidi ya milioni 300 kutolewa msimu wa 4 NMB- ‘MastaBataKotekote’

  KATIKA kuhamasisha wateja wa Benki ya NMB kutumia kadi ‘master card’ pamoja na mfumo wa NMB Mkononi kufanya miamala badala ya kutumia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia, Dk. Mwinyi kukutana na mabalozi 45 wa Tanzania

    JUMLA ya mabalozi 45 wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani wanatarajiwa kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia...

ElimuHabariTangulizi

Waziri Ndalichako aitaka CBE kujitanua zaidi mikoani

SERIKALI imevitaka vyuo kuzingatia mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi vyuoni ili kuondoa malalamiko kutoka kwa waajiri kwamba wahitimu wengi wanahitimu bila kuwa na...

Habari za Siasa

Tanzania kupokea bilioni 121 kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amesema mwaka huu Tanzania inatarajia kupokea mgawo wa Dola...

Habari za Siasa

Bilioni 60 zatengwa kuchangamkia fursa ya mabondo ya samaki China

KATIKA kuchangamkia fursa ya soko la mabondo ya samaki nchini China, Serikali imeongeza bajeti ya kiasi cha Sh bilioni 60 katika sekta ya...

ElimuHabari

Siku ya wahasibu duniani yafana Dar

WAHASIBU na Wakaguzi wa Hezabu nchini wametakiwa kuweka mbele maslahi ya umma, kuwa waadilifu na kuzingatia maadili na sheria zinazowaongoza kwenye kazi zao...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aeleza mipango kuondoa uhaba wa maji

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake itaendelea kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa mipango ya sekta ya maji, ili kuongeza...

Habari za Siasa

Rais Samia awataka wananchi wazoee tozo “ile kitu bure kidogokidogo itaondoka”

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wazoee tozo zinazotozwa katika baadhi ya huduma za usafirishaji, kwa kuwa barabara za kulipiwa zitajengwa nyingi...

Habari za Siasa

Wabunge wamchangia Majaliwa Sh. 5 Mil, Spika amtaka awakumbuke waliomwokoa

  MAJALIWA Jackson, mvuvi aliyesaidia zoezi la kuwaokoa manusura wa ajali ya ndege ya Kampuni ya Precision Air mkoani Kagera, amechangiwa pesa kiasi...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo wapinga uteuzi wa Mkurugenzi wa ZEC

  CHAMA cha ACT-Wazalendo kupitia Ofisi ya Katibu Mkuu Taifa, kimeinga uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous...

Habari Mchanganyiko

Kairuki aonya maofisa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi hewa

  SERIKALI imewataka Maafisa Maendeleo nchini kuacha kutumia vyeo vyao kwa kuweka taarifa hewa za vikundi vya mikopo ya asilimia 10 kwa lengo...

ElimuHabari

TRA yaipongeza CBE kwa kuanzisha klabu ya kodi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imepongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kwa kuanzisha klabu ya kodi kwa wanafunzi wanaosoma kwenye chuo hicho...

Habari Mchanganyiko

Mkurugenzi Dewa Logistics na wenzake kizimbani kuitia hasara TRA 487 mil

  MKURUGENZI wa Dewa Trading Logistic Ltd, Erasto Dewa na wenzake wawili wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa kesi ya uhujumu...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema waigomea Tume ya marekebisho ya Sheria, wataja sababu saba

CHAMA cha Demokrasis na Maendelea (Chadema) kimewaagiza viongozi wake ngazi kanda, mikoa na majimbo kutoshiriki vikao vinavyotarajiwa kuanza kesho na kuratibwa na Tume...

Kimataifa

Shambilio la waziri mkuu wa Pakistan laongeza joto na mzozo nchini humo

SHAMBULIO dhidi Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan latoa taswira ya vugugugu na mgawanyiko nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Habari za SiasaTangulizi

Profesa Muhongo:Tumeshuka kutoka uchumi wa kati

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema Tanzania haipo tena miongoni mwa nchi za uchumi wa kati kwa vigezo vilivyotolewa na Benki...

Habari Mchanganyiko

Bwawa la tope kali mgodi wa Williamson Diamond Mwadui lapasuka

  KAYA 19 za Vijiji vitatu vya Iyenze, Mwaholo na Kabondo Kata ya Mwadui vinavyozunguka mgodi wa almasi wa Williamson Diamond wilayani Kishapu...

Habari Mchanganyiko

Sakata mradi wa maji Vikawe latua Takukuru

  SINTOFAHAMU iliyogubika mradi wa maji uliopo Mtaa wa Vikawe Shule, Kata ya Pangani, Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani umechukua sura mpya baada...

Habari Mchanganyiko

Waandishi watakiwa kuchangamkia fursa za SADC

WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuandika fursa zilizopo katika Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuvutia wawekezaji, hali ambayo itakuza uchumi wa nchi...

Habari Mchanganyiko

TEF yateta na wabunge mabadiliko sheria za habari

  JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limefika bungeni jijini Dodoma kwa ajili ya kuzungumza na wabunge kuhusu namna ya kufanikisha mchakato wa marekebisho...

Habari za Siasa

Pareso aiambia mahakama alihofia usalama wake wito Chadema

  MBUNGE Viti Maalum, Cecilia Pareso, amedai alishindwa kufika katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema, cha tarehe 27 Novemba 2020, kujibu tuhuma...

Habari Mchanganyiko

Makonda awasilisha majibu mahakamani kesi ya kupora gari

  ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewasilisha majibu yake katika kesi ya uporaji gari, aliyofunguliwa na mfanyabiashara Patrick...

Habari Mchanganyiko

TCRA yafungia laini 52,000

  MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefungia namba za simu 52,087, zilizojihusisha na wizi, utapeli na ulaghai kupitia mtandao wa simu. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Chama, Aziz Ki wafungiwa, Yanga wapigwa faini milioni 5

  VIUNGO washambuliaji Clatous Chama raia wa Zambia (Simba) na Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso (Yanga), wamefungiwa mechi tatu kila mmoja...

error: Content is protected !!