Wednesday , 24 April 2024
Home mwandishi
8708 Articles1239 Comments
Kimataifa

Dubai yafuta ushuru wa pombe kuvutia watalii

DUBAI imefuta ushuru wa asilimia 30 kwenye bidhaa za pombe ili kuvutia zaidi watalii watembelee jiji hilo. Pia imepanga kuacha kutoza leseni za...

Habari Mchanganyiko

Kijiji cha Sali, Ulanga ‘vululuvululu’

  MGOGORO kati ya uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro na Serikali ya Kijiji cha Sali, umesababisha kuvurugika kwa shughuli...

Habari Mchanganyiko

Spika Tulia ahimiza viongozi wa dini kuhubiri amani

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ametoa wito kwa viongozi wa dini na waumini wote...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi NMB wagawa magodoro, kompyuta magereza ya Chato, Kasungamile

KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwenye kuhudumia wananchi, Wafanyakazi wa benki ya NMB kutoka matawi ya Chato na...

Habari za Siasa

Mama Maria Nyerere atimiza miaka 93

WAKATI leo tarehe 31 Disemba, 2022 ikiwa ni tamati ya mwaka 2022, Mke wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria...

Makala & UchambuziTangulizi

Vifo vilivyotikisa dunia 2022

WAKATI ikiwa imesalia  siku moja kwa 2022 kufika tamati, dunia haitosahau vifo vya watu mashughuri vilivyotikisa ndani ya mwaka huo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Rais Mwinyi afuta sherehe za mapinduzi 2022

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Hussein Mwinyi, amesema  2022 hakutakuwa na sherehe za kitaifa za maadhimisho ya miaka 59 ya...

Habari za Siasa

BAVICHA yatoa msimamo kuhusu maridhiano, yataka viongozi waoga wakae kando

BARAZA la Vijana la Chama cha Chadema (BAVICHA), limewataka viongozi wake wa mikoa ambao ni waoga, wakae pembeni ifikapo 2023 maana mwaka huo...

Habari za Siasa

Majaliwa aagiza viongozi, watumishi wa balozi kufanya tathimini fursa za kiuchumi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na...

Elimu

Serikali yapiga marufuku wanafunzi waliopangiwa shule za kutwa kuhamia bweni

  SERIKALI imepiga marufuku wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 waliochaguliwa kujiunga na shule za kutwa, kuhamia shule za bweni, hadi zitakapotokea nafasi...

Habari Mchanganyiko

Balile: Zama tulizopo nzuri kwa vyombo vya habari

  MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema Tanzania iko katika zama nzuri kutokana na kuwepo kwa uhuru wa habari...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema: Kikosi kazi ilikuwa mbinu kuchelewesha Katiba Mpya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imesema Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya kuimarisha demokrasia ya vyama vingi cha Rais Samia Suluhu, ilikuwa...

Habari za SiasaTangulizi

CUF yaitaka Serikali ije na mikakati kuondoa ukata kwa wananchi 2023

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeitaka Serikali ifikapo 2023 kuja na mkakati wa kitaifa wa kukuza uchumi, kuongeza ajira na kutoa huduma bora...

Kimataifa

Uundaji wa nyuklia China kuna athari gani kwa India

RIPOTI ya Usalama kuhusu maendeleo ya Jeshi la Watu wa Jamhuri wa China iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani ninaonyesha kuwa jeshi...

Kimataifa

Papa Francis asema mtangulizi wake Papa Benidict XVI ni mgonjwa sana

  PAPA Francis amesema mtangulizi wake Papa Benedict XVI ni mgonjwa sana na amewataka mahujaji wa Vatican kumuombea. Yameripoti Mashirika ya Habari ya...

KimataifaMichezo

Mjukuu wa Bob Marley afariki dunia

  BILA shaka mwaka wa 2022 utakuwa unaeleka ukingoni huku ukiacha giza nene katika familia ya mkongwe na muasisi wa muziki aina ya...

KimataifaMichezo

Chumba alicholala Messi nchini Qatar kugeuzwa makumbusho

  CHUO kimoja nchini Qatar kimetangaza kuwa kina mpango wa kugeuza chumba ambacho staa wa Argentina, Lionel Messi alikuwa akitumia kama malazi yake...

Kimataifa

Upinzani DRC wawaponza mawaziri 3, wajiuzulu

  MAWAZIRI watatu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao ni wanachama wa chama cha mgombea urais, Moise Katumbi wamejiuzulu leo tarehe 29...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa ufafanuzi maiti 59 zilizozikwa na Jiji Dodoma

  SERIKALI ya Tanzania kupitia Halmashauri ya Jiji la Dodoma imesema maiti 59 zilizozikwa na mamlaka hiyo ni ambazo hazijatambuliwa na ndugu ndani...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa alazwa Afrika Kusini, Majaliwa amjulia hali

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika Kusini. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Joketi amuanika mwanaye, Barbara, wadau wampongeza

  HATIMAYE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amejitokeza hadharani na kuachia picha ya mwanaye ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu alipojifungua. Anaripoti...

Kimataifa

Wanajeshi wa Urusi walio vitani kuruhusiwa kugandisha mbegu zao za kiume bure

  WANAJESHI wa Urusi ambao wamekuwa katika sehemu ya harakati za operesheni za kijeshi nchini Ukraine watakuwa na haki ya kupata mbegu zao...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo: 2022 mchungu kwa wanyonge, raha kwa vibonge

  IKIWA zimesalia siku tatu kufika tamati ya mwaka 2022, Chama cha ACT-Wazalendo kimeutaja mwaka huo kuwa wa misukosuko, “mchungu kwa wanyonge na...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaitangazia kiama CCM 2025

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza nia ya kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM), ifikapo 2025 kupitia Uchaguzi Mkuu. Anaripoti Mwandishi...

Kimataifa

Putin aweka marufuku uuzaji mafuta kwa nchi za magharibi

  RAIS wa Urusi, Vladimir Putin jana tarehe 27 Disemba, 2022 amesaini amri ambayo inaweka marufuku ya uuzaji wa mafuta na bidhaa za...

Kimataifa

Wanajeshi 8 wahukumiwa kifo kwa mauaji ya Mchina

  WANAJESHI nane na raia moja katika eneo la kaskazini mashariki mwa DRC lililogubikwa na vita, wamehukumiwa kifo kwa mauaji raia mmoja wa...

Kimataifa

Mapigano ya kikabila yasababisha vifo vya watu 56 Sudan Kusini

  MAPIGANO yamesababisha vifo vya watu 56 wakati wa vurugu za siku nne katika jimbo la Jonglei mashariki mwa Sudan Kusini, baada ya...

Kimataifa

Tajiri wa Urusi afariki baada ya kuanguka dirishani nchini India

  TAJIRI wa soseji za Kirusi Pavel Antov amepatikana amekufa katika hoteli moja ya India, siku mbili baada ya rafiki yake kufa wakati...

Kimataifa

Huawei launches smart PV solutions for all scenarios of African residential market

  Huawei has launched smart photovoltaic (PV) solutions for all scenarios of the African residential market at the Solar Power Africa Conference 2023...

Habari za Siasa

Rais Samia aagiza mikataba ujenzi wa miundombinu isainiwe hadharani

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza mikataba ya ujenzi wa miundombinu ya barabara iasainiwe hadahrani...

Kimataifa

Mzozo Kosovo na Serbia waongeza hatari ya kuzuka vita

JESHI la Serbia linasema liko katika “kiwango cha juu zaidi cha utayari wa mapigano” baada ya wiki kadhaa za mvutano unaoongezeka kati ya...

Kimataifa

Karantini ya Covid kwa wasafiri China mwisho Januari

  CHINA itaondoa karantini kwa wasafiri kuanzia tarehe 8 Januari, maafisa wamesema, kuashiria mabadiliko makubwa ya mwisho kutoka kwa sera ya sifuri ya...

Habari za Siasa

Tulia: Tauche kuendekeza majungu tuchape kazi

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson amewataka Wananchi kuacha...

Habari Mchanganyiko

Polisi yasema Mtanzania aliyekamatwa na ‘unga’ Afrika Kusini hakupita nao JNIA

  JESHI la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege limesema kuwa Mtanzania, Ahmad Chonde, aliyekamatwa katika nchi ya Afrika kusini akiwa amebeba dawa...

Kimataifa

India yatoa hadhari juu hali ya Covid nchini China.

WIZARA ya mambo ya Nje ya India (MEA) imetoa hadhari juu ya hali ya mwenendo wa ugonjwa wa Uviko-19 nchini China pamoja na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mtambo wa kuzalisha umeme kupigwa mnada

MTAMBO wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 45 za umeme  mali ya Kampuni ya uzalishaji na usambazaji umeme nchini – Aqua Power Tanzania Limited...

Habari Mchanganyiko

Wamiliki runinga za mitandaoni zinazotoa taarifa za uongo mbaroni

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao...

Habari Mchanganyiko

Ataka waliochoma vifaranga washughulikiwe

  MCHAMBUZI wa masuala ya mifugo, Onesmo Olengurumwa, ameiomba Serikali iwachukulie hatua watu waliochoma vifaranga kutokana na kukosa soko, akisema ni kinyume cha...

Habari Mchanganyiko

TMA yawahakikishia huduma bora na ufanisi wadau wa usafiri wa anga

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na wadau wa usafiri wa Anga wa jijini Dodoma katika ukumbi wa TAA, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: JNHPP ulipitia vikwazo vingi lakini hatukurudi nyuma

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP)ni ushahidi tosha kuwa Tanzania inaweza kufanya mambo...

Elimu

Wizara ya Elimu yaipa Zanzibar vishikwambi vya walimu 6,600

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Desemba 22, 2022 imetoa jumla ya vishikwambi 6,600 kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali...

Habari Mchanganyiko

Exim yamwaga zawadi ya pesa, simu kwa washindi wa “Chanja Kijanja, Kimasta Zaidi’’

BENKI ya Exim Tanzania imeendelea kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo fedha taslimu na simu janja (smartphones) kwa washindi wa kampeni yake  “Chanja Kijanja, Kimasta...

Habari Mchanganyiko

Malipo yote ardhi sasa kupitia NMB  

BENKI ya NMB imeingia makubaliano na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, yanayolenga kutanua wigo wa uhamasishaji na ulipaji wa Kodi...

Habari Mchanganyiko

Ongezeko migogoro ya wafugaji: Serikali yashauriwa kufumua Sheria, sera

  KUFUATIA ongezeko la migogoro ya wafugaji nchini, Serikali imeshauriwa kufumua Sheria na sera zinazosimamia sekta ya mifugo, ili ziendane na wakati kwa...

ElimuTangulizi

Haya hapa majina wanafunzi waliochaguliwa kujiunga VETA

  VYUO vya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) vimetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa...

Habari za Siasa

Mhagama atangaza kiama kwa viongozi wababaishaji

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema Serikali haitosita kumchukulia hatua za...

Kimataifa

Ntakarutima wa Burundi Spika mpya EALA

  HATIMAYE Joseph Ntakarutimana kutoka nchini Burundi ameshaguliwa na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), kuwa Spika wa bunge hilo....

Kimataifa

Ukweli dhidi ya uongo: Pakistan lazima ikubali ukweli usiofurahisha kuhusu vita vya 1971

  UKWELI mchungu na historia iliyofichwa kwa makusudi juu ya Vita vya mwaka 1971 kati ya Pakistan na India vilivyosababisha kuzaliwa kwa Taifa...

Habari MchanganyikoSiasa

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) waapishwa rasmi  

WABUNGE wa Bunge la Tano la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) jana tarehe 18 Disemba, 2022 wameapa rasmi kuanza shughuli za Bunge hilo...

Habari Mchanganyiko

NMB yaendelea kung’ara, yatwaa tuzo ya mwajiri bora Afrika

KWA mara nyingine tena, Benki ya NMB imedhihirisha umahiri na ukubwa wake kiutendaji na kiundeshaji nchini baada yakufanikiwa kunyakuwa tuzo ya mwajiri bora...

error: Content is protected !!