DKT. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil Mwambe ambaye pia ni...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2017JESHI la Polisi mkoani Mwanza limevamia ukumbi wa Hill Front Hotel uliopo Igoma, katika Manispaa ya Nyamagana, kuvunja kongamano la vijana lililoandaliwa na...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2017CHAMA Cha ACT-Wazalendo, kimemtangaza Yeremia Maganja kukaimu nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa imeachwa wazi na Anna Mghwira, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2017VIONGOZI wandamizi serikalini wameonywa kutojihusisha na matamshi ya kejeli na matusi dhidi ya wananchi, kwa kuwa yanachochea chuki na uhasama nchini, anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2017MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru aliyekuwa Kamishna wa TRA, Tiagi Masamaki na wenzake watano waliokuwa wakishtakiwa na makosa ya uhujumu uchumi...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2017BAADA ya mkasa uliomkuta Halima Mdee, Mbunge wa Kawe, wiki iliyopita, nimekumbuka kwa uchungu, mazungumzo yangu na waandishi wa habari tarehe 12 Februari...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2017BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) limemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli apunguze kutoa kauli...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2017NI jambo la kawaida kufanya marekebisho ya kitabibu katika viungo vya mwili wa binadamu kama vile makalio, nyonga, ngozi na sura. Hata hivyo, hivi...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2017KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imefanya mabadiliko ya Kamati ya Uchaguzi na kuwaengua wajumbe wanne walioonyesha kumtetea...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2017MAHAKAMA ya Wilaya ya Igunga imewahukumua viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela kila...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2017KAMBI rasmi ya Upinzani Bungeni imesema miswada mitatu ya kulinda rasilimali iliyowasilishwa bungeni hivi karibuni na Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Sheria na...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2017ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, amepinga hoja ya John Mnyika, Waziri Kivuli ya...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2017MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kuwa kuanzia tarehe Mosi Julai, 2017 bei ya mafuta itashuka kwa Sh. 37 kutokana na kushuka kwa gharama za usafirishaji wa mafuta katika soko...
By Mwandishi WetuJune 30, 2017CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimeitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama, ikiwa ni jitihada za kutaka kujiokoa na ‘rungu’ la serikali,...
By Mwandishi WetuJune 30, 2017MUDA mchache baada ya Baraza la Wazee Chadema kujitokeza kupinga kauli ya Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ya kutaka Rais Magufuli awe Rais...
By Mwandishi WetuJune 29, 2017WAZEE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamemtaka John Magufuli, Rais wa Tanzania kujitokeza na kutoa msimamo wake kuhusu kauli ya Rais...
By Mwandishi WetuJune 29, 2017JAMAL Malinzi (57), Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), anatarajiwa kufikishwa mahakamani mchana huu jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za matumizi...
By Mwandishi WetuJune 29, 2017WANAFUNZI wa shule ya msingi Magwalisi wilayani Mbarali mkoani Mbeya, wanatumia chumba kimoja, kwa wakati mmoja wakati wa kufundishwa wanafunzi wa madarasa wa...
By Mwandishi WetuJune 28, 2017TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kuwachunguza Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu...
By Mwandishi WetuJune 28, 2017JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia hali ya usalama na amani wakazi, wananchi wa jiji la Dar es Salaam katika...
By Mwandishi WetuJune 23, 2017KIKOSI cha wachezaji 22 wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kinaondoka leo Alhamisi Juni 22, 2017 kwenda Afrika Kusini katika michuano ya kuwania...
By Mwandishi WetuJune 22, 2017KITENDO cha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumtambulisha Isihaka Juma Karanda kuwa ni mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, ilikuwa ni kumdanganya...
By Mwandishi WetuJune 22, 2017BONIFACE Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Ubungo, amewataka viongozi na wanachama...
By Mwandishi WetuJune 22, 2017RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha shabiki maarufu...
By Mwandishi WetuJune 21, 2017WABUNGE wa kambi ya upinzani bungeni, jana waliamua kumsusia futari, Spika wa Bunge, Job Ndugai, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kutoka kiongozi mmoja mwandamizi...
By Mwandishi WetuJune 21, 2017JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limetoa tamko la kulaani kitendo cha Dk. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kulifungia gazeti...
By Mwandishi WetuJune 20, 2017UONGOZI wa hospitali ya Mafia, iliyopo mkoa wa Pwani umeiomba serikali na wadau wa maendeleo kusaidia upatikanaji wa vifaa tiba kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuJune 20, 2017JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kukamata jumla ya wahalifu 284 katika operesheni iliyochukua siku 20, anaandika Yasinta Francis....
By Mwandishi WetuJune 20, 2017SIKU tatu baada Jeshi la Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuonekana wakiwaadhibu watu wenye ulemavu waliokuwa wakifanya maandamano kupinga kuzuiwa...
By Mwandishi WetuJune 19, 2017WANAWAKE wanaojishughulisha na uchimbaji kokoto katika kijiji cha Kibaoni kata ya Chokaa Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya wameelezea adha wanazokumbana nazo katika kazi...
By Mwandishi WetuJune 19, 2017MBIO za kuwania nafasi Urais wa Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF), zinazidi kushika kasi ambapo watu mashuhuri katika medani hiyo wanaendelea kujitokeza,...
By Mwandishi WetuJune 19, 2017DAKTARI Vicent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema dhamira ya Rais John Magufuli, kukabiliana na ufisadi haiwezi kufanikiwa...
By Mwandishi WetuJune 16, 2017REAL Madrid, mabingwa wa soka nchini Hispania na barani Ulaya, wameendelea kushikilia msimamo wao kutotaka kumuuza mshambuliaji wao Alvero Morata kwa kiasi cha...
By Mwandishi WetuJune 16, 2017ONGEZEKO la vifo vya wajawazito hapa nchini linachangiwa na umbali wa vituo vya afya katika halmashauri zilizopo vijijini pamoja na ubovu wa miundombinu, anaandika...
By Mwandishi WetuJune 15, 2017SHIRIKISHO la soka nchini Tanzania (TFF), limetangaza kufungua rasmi dirisha la usajili wa wachezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara, 2017/2018 kuanzia leo 15...
By Mwandishi WetuJune 15, 2017MTOTO Miriam Michael (6) mkazi wa Ilembo kata Nsalala wilaya ya Mbeya amefariki dunia baada ya kula mboga za majani zinazodhaniwa kuwa na...
By Mwandishi WetuJune 14, 2017WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Ndola, iliyopo kata ya Nsalala, Mbalizi, mkoani Mbeya, wanalazimika kukaa chini ya miti kujisomea kutokana na upungufu wa...
By Mwandishi WetuJune 14, 2017WAKAZI wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika vituo mbalimbali vya kuchangia damu salama, kwa lengo kuongezewa katika benki ya...
By Mwandishi WetuJune 14, 2017Anne Makinda, Spika mstaafu wa bunge la Tanzania, amesihi wanawake kusaidia wanawake wenzao kupata fursa walizotumia katika kufanikiwa maishani badala ya kufanya khiyana,...
By Mwandishi WetuJune 14, 2017WAKATI serikali ikikataza uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuwa halikushirikishwa kwa kuwa wao ndio wasimamizi wakuu, Celestine Mwesigwa,...
By Mwandishi WetuJune 14, 2017WATU 80 wameuawa na wengine zaidi ya mia tatu kujeruhiwa, baada ya bomu lililotegwa kwenye gari kulipuka jirani na ubalozi wa Ujerumani mjini...
By Mwandishi WetuMay 31, 2017MBUNGE wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi,...
By Mwandishi WetuMay 31, 2017UTEUZI uliotabiliwa na Gazeti la MwanaHALISI kuhusu kung’oka kwa aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu umetimia, anaandika Mwandishi Wetu. Katika andika la Gazeti...
By Mwandishi WetuMay 29, 2017JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Muungano wa Tanzania, amewatia matatazi Freeman Mbowe, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai...
By Mwandishi WetuApril 6, 2017WADAU wa habari, mashirika ya haki za binadamu na asasi za kiraia zinazojihusisha na utawala wa kidemokrasia katika nchi mbalimbali duniani, zimetoa kauli...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), amehoji sababu za kutoshtakiwa Maalim Seif Hamad, Katibu Mkuu wa CUF, Rais Ali Mohamed Shein na...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2017MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Kusini imemuachia huru kwa dhamana, Seleman Mathew, aliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2017KILA pembe ya kijiji cha Koromije, Wilaya ya Misungwi, pamoja na viunga vya jiji la Mwanza Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2017WAENDESHA pikipiki ‘bodaboda’ jijini Dar es Salaam, wamepinga ushauri wa Kamanda wa Kanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro,...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2017GODBLESS Lema, Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini amerejea tena uraiani, ikiwa ni takribani miezi minne tangu alipokamatwa na Jeshi la Polisi na...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2017