KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imemuonya Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kutekeleza adhabu...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2020MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanizbar kupitia ACT-Wazalendo amesema, ana matumaini Tundu Lissu ataibuka mshindi wa urais wa Tanzania kupitia Chadema...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2020MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema, Serikali ijayo ya chama hicho itaendelea kuwaunga mkono na kuwaendeleza wajasiriamali...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2020MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC),Aboubakar Kunenge amezindua safari ya kwanza ya treni ya abiria kutoka Dar es salaam kwenda Mkoani...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, uamuzi uliofanywa na Kamati ya Maadili ya Tume...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020CHAMA cha Wanahabri Wanawake Tanzania (Tamwa) kimezindua mradi wa ‘rushwa ya ngono miongoni wanahabari wanawake katika vyombo vya habari’ kwa kuangalia tatizo hilo...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020LOATA Ole Sanare, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro amewataka wazazi kufanyia kazi kwa vitendo maazimio mbalimbali yanayotolewa katika vikao vya kamati za shule...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020RAIS wa Marekani, Donald Trump na mkewe Melania Trump, sasa wapo karantini baada ya kukumbwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti BBC … (endelea). Kabla...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020HATUA ya Jeshi la Polisi kufuta wito uliomtaka Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kujipeleka katika...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema, wananchi wa Tunduma, Mkoa wa Songwe wakichagua mgombea nje ya...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020LICHA ya Dk. John Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM na Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kutawala siasa ngazi ya urais,...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amemtaka Tundu Lissu, mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2020WANANCHI wa Hedaru, Same mkoani Kilimanjaro, wamezuia msafara wa Tundu Lissu, mgombea urasi wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2020SAED Kubenea, mgombea ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema Abbas Tarimba, mgombea ubunge katika jimbo hilo kupitia CCM, ana...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2020MIKE Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amegomewa kukutana na Papa Francis, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Dunani. Inaripoti Shirika la...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2020HATUA ya Jeshi la Polisi nchini Tanzania kumzuia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuzungumza na...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2020CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) kimeanza utekelezaji wa mradi wa ‘Wanawake Wanaweza’ uliofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wanawake (UN-Women)....
By Mwandishi WetuOctober 1, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania yatoa onyo kwa watu wanaowarubuni waliojiandikisha kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemkamata Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mary Moyo kwa tuhuma za kuomba na...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2020MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema, Jimbo la Mbeya Mjini halikuwa na msemaji na ndio maana alimteua Dk....
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametoa hoja mbili za ‘kutojipeleka’ mbele ya Kamati ya Maadili...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kupuuza kauli iliyotolewa na Dk. Wilson Mahera, Mkurugenzi wa...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2020KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Rafiki Surgical Mission kutoka nchini Australia wametoa msaada wa gari la wagonjwa lenye...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2020WAGONJWA milioni moja duniani wamefariki kutokana na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mtandao wa worldometer umeripoti leo Jumanne tarehe 29 Septemba...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Eblate Ernest Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI). Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokraisa na Maendeleo (Chadema) amesema, kesho Jumanne tarehe 29 Septemba 2020 hatokwenda mbele ya...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2020KLABU ya soka ya Yanga imelaani vikali kitendo cha mashabiki wao kuwafanyia vurugu mashabiki wa klabu ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2020DAKTARI Wilson Mahera, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, ameonesha kukasirishwa na kile alichoita wanasiasa kudanganya na kutoa...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2020MARA baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, Bodi ya Ligi imepiga marufuku...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imemuita Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema katika kikao cha kamati ya kitaifa...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema watu wanaofurika kwenye mikutano yake ya kampeni za urais,...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2020FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema amesema, mwitikio wa wananchi katika mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2020MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vidacom Tanzania Bara 2020/21, Simba imeendelea kutoa vipigo baada ya kuofunga Gwambina FC 3-0. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2020MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu amesema, akichaguliwa kuwa Rais wan chi hiyo ataondoa ubaguzi wa utoaji mikopo ya wanafunzi wa...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2020TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, chama...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2020HELLEN Kijo-Bisimba, Mkurugenzi Mtendaji Mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), amewashauri wadau wa Tasnia ya Sheria kupaza sauti...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2020NAHODHA wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa stars’ Mbwana Samatta ameishukuru timu ya Aston Villa kwa kumwezesha kutimiza ndoto zake za kucheza...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2020HUMPHREY Polepole, Katibu wa Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), nchini Tanzania amesema, Serikali ya chama hicho haitaviondoa vitambulisho vya mjasiriamali ‘machinga’ kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2020MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kassim Majaliwa amesema kiti cha urais siyo cha mchezo, kinahitaji mtu makini. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imebainisha mambo mbalimbali ambayo hayapaswi kufanywa na vyama vya siasa na wagombea katika kipindi cha...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli amepandisha hadhi kituo cha afya cha Bwisya kilichoko Ukara wilayani Ukerewe jijini Mwanza kiwe na hadhi ya hospitali...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2020KITENDO cha Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania, kupitia Chadema, kuonekana kwenye televisheni na kuzunguka majimboni wakati wa kampeni zake, kimebezwa na Edward...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amedai ushindi wake ukiwa mwembamba, ‘utapinduliwa.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Muleba...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2020VIONGOZI na wanachama 28 wa Chama cha ACT-Wazalendo Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kujeruhi na...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2020FATMA Karume, mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania amesema, hajazaliwa kwa ajili ya kufanya kazi mahakamani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2020WANAWAKE wametakiwa kusaidiana katika mchakato unaoendelea wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika Jumatano tarehe 23 Septemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, ameahidi kubadili mfumo wa kibiashara ili kuwaneemesha wananchi waliopo mipakani...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2020ABOUBAKAR Kunenge, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), amewahakikishia walimu kuwa Serikali inaendelea kulipa malimbikizo yote wanayodai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2020MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo anataka kukutana na Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema ili ampe...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2020