Friday , 29 March 2024
Home mwandishi
8557 Articles1222 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Kambi ya upinzani bungeni yatoweka rasmi

JOB Ndugai, mgombea Uspika wa Bunge la 12 la Tanzania amesema, ofisi ya Bunge itatoka haki sawa kwa wabunge wote ikiwemo wa upinzani...

Habari za SiasaTangulizi

Lema aachiwa Kenya

MAMLAKA nchini Kenya, zimemwachia huru, Godbless Lema, aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Lema...

Habari za Siasa

Sakata la Mazrui lachukua sura mpya: ACT-Wazalendo waishitaki Polisi

CHAMA cha siasa cha ACT- Wazalendo, nchini Tanzania, kimengua shauri Mahakama Kuu ya Zanzibar, kutaka mahakama hiyo, kutoa amri ya kufikishwa mahakamani au...

Kimataifa

Ushindi wa Biden: Korea, China ‘zakuna  vichwa’

WAKATI dunia ikidhani imepumua baada ya Donald Trump, Rais wa Marekani (2016-2020) kuangushwa, China na Korea Kaskazini zinaweza ‘kukasirishwa’ na uamuzi wa raia...

Habari za Siasa

RC Kunenge atangaza fursa za biashara Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Aboubakar Kunenge amewataka wafanyabishara kuchangamkia fursa ya baishara katika Kituo cha Kimataifa cha Mabasi Mbezi...

Habari za SiasaTangulizi

Lema njia panda ukimbizini Kenya     

SHIRIKA la kimataifa la kupigania haki za binadamu (Amnest Internatioanal), limeitaka Mamlaka ya Kenya kutofikiria kumrejesha kwa nguvu nchini Godbless Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kupitia...

Habari za Siasa

Magufuli azungumzia uteuzi wa mawaziri

JOHN Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema, baraza lake la mawaziri atakaloliunda, linatarajiwa kuwa na mabadiliko “wapo watakaorudi na wapo...

Habari za Siasa

Magufuli, Spika Ndugai wampa pole AG Kilangi

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, amempa pole Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini humo (AG), Profesa Adelardus Kilangi kwa majukumu mazito yaliyo mbele yake....

Habari za SiasaTangulizi

Lema akimbilia ubalozi wa Marekani kuomba hifadhi

ALIYEKUWA mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), nchini Tanzania, Godbless Lema amekimbilia nchini Kenya, ili kuomba hifadhi ya kisiasa, katika ubalozi wa Marekani, jijini...

Habari za Siasa

Kigogo CUF ang’olewa kwa kubariki uchaguzi mkuu

CHAMA Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimemvua madaraka Naibu Katibu Mkuu wake Zanzibar, Ali Makame Issa kwa kosa la kwenda kinyume na msimamo...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi ateua makamu wa pili wa Rais

RAIS na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Hemed Suleiman Abdallah kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa...

Habari za Siasa

Mambo matano Bunge jipya

WAKATI Bunge la 12 likianza shughuli zake Jumanne tarehe 10 Novemba 2020 jijini Dodoma, mambo matano yanatarajiwa kujili ndani ya Bunge hilo ambalo...

Habari za SiasaTangulizi

Viti Maalum Chadema pasua kichwa, CC yaahirishwa

CHAMA cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kiko njiapanda juu ya kuamua kupendekeza majina ya wabunge wa viti maalum kwa Tume ya...

Habari za Siasa

Wabunge wateule waitwa Dodoma

WABUNGE wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wametakiwa kufika Dodoma kwa ajili ya usajili unaoanza leo Jumamosi hadi tarehe 9...

Habari za Siasa

CCM yawapitisha Ndugai, Dk. Tulia kuwania Uspika

CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeteua majina mawili ya wanachama wake, watakaogombea Uspika na Naibu Spika wa Bunge la 12...

Habari Mchanganyiko

Waziri wa zamani kuzikwa J’nne Moshi 

MWILI wa waziri wa zamani wa Serikali ya Tanzania, Dk. Cyril Chami utazikwa Jumanne tarehe 10 Novemba 2020 kijijini kwao Kibosho, Moshi Mkoa...

Habari za Siasa

Rais Museveni azungumzia anguko la Mbowe

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema aliona mapema anguko la vyama vya upinzani kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Magufuli kuapishwa kesho, mataifa 17 kuhudhulia

SERIKALI ya Tanzania imesema, viongozi wa ngazi za juu na wawakilishi wa nchi zaidi ya 17 wamethibitisha kuhudhulia sherehe ya kumwapisha Dk. John...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi aanza kuunda serikali. ateua AG

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameanza kuisuka Serikali anayoiongoza kwa kumteua Dk. Mwinyi Twalib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Zitto, Lema waachiwa 

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzao wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la...

Habari za Siasa

Ndugai, Dk. Tulia wajitosa Uspika

JOB Yustino Ndugai, Mbunge mteule wa Kongwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejitosa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea Uspika...

Habari za Siasa

Zitto akamatwa, Mdee…

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limemkamata Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Kituo cha Polisi Osterbay jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu afikishwa kwa AG, Zitto na Mdee wasakwa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limepeleka jalada la kesi inayomkabili Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamwachia Tundu Lissu

TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, ameachiwa na Jeshi la Polisi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Lissu alikamatwa...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu akamatwa

JESHI la Polisi Tanzania limemkamata Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano ya 28 Oktoba...

Habari za Siasa

Aida wa Chadema atoa msimamo kwenda bungeni

MBUNGE mteule wa Nkasi Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Aida KhenanIi amesema, kamwe hatowasaliti wananchi waliomchagua hivyo atakwenda...

Habari za Siasa

Profesa Lipumba: CUF hatutashiriki uchaguzi tena

CHAMA Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wowote ujao hadi mazingira ya uchaguzi huru na wa haki yatakapopatika ikiwemo Tume Huru...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi aanza safari kuiongoza Z’bar

JAJI Mkuu wa Zanzibar, Othuman Ali Makungu amemuapisha Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi kuingia Ikulu leo

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, leo Jumatatu tarehe 2 Novemba 2020 ataapishwa kuwa Rais wa nane wa Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea)...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Lema na Jacob wakamatwa

POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salamaa nchini Tanzania, inawashikilia viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman...

Habari za Siasa

Magufuli azungumzia uchaguzi mkuu 2020

TUME ya Taifa ya uchaguzi (NEC), imemkabidhi cheti cha ushindi wa urais wa Tanzania, mgombea wa nafasi hiyo, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Tangulizi

NEC yamkabidhi cheti Magufuli, kuapishwa Dodoma

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemkabidhi cheti cha ushindi Rais mteule wa Tanzania, John Pombe Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

Habari za Siasa

Chadema, ACT-Wazalendo wapinga matokeo ya uchaguzi Tanzania

VYAMA viwili vikuu vya upinzani nchini Tanzania – Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kile cha ACT-Wazalendo – vimepinga matokeo ya uchaguzi...

Habari za Siasa

Tundu Lissu azungumzia ushindi wa Dk. Magufuli

ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amezungumzia ushindi wa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli atangazwa mshindi urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais mteule wa Tanzania baada ya kupata...

Habari Mchanganyiko

Singida hawategemei alizeti pekee

IMEELEZWA kuwa mabadiliko ya kimaisha na kiuchumi ya wakazi na mkoa wa Singida hayatokani na kilimo cha zao la alizeti pekee bali yapo...

Habari za Siasa

Matokeo ya ubunge yamshtua Padri Kitima

MHADHIRI mstaafu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT), Padri Charles Kitima amesema, Taifa la Tanzania litarudi nyuma kimaendeleo kwa sababu ya kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kijo-Bisimba ataja athari wabunge wengi CCM

USHINDI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  katika ngazi ya ubunge katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano ya tarehe 28 Oktoba 2020, umetajwa kwenda kuathiri...

Habari za Siasa

Bwege aangushwa ubunge Kilwa Kusini

SELEIMAN Said Bungara maarufu Bwege, amengushwa ubunge wa Kilwa Kusini kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarege 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

CCM yajikusanyia wabunge, wapinzani wapata 2

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania uliofanyika Jumatano iliyopita tarehe 28 Oktoba 2020 yanaonyesha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejikusanyia viti vingi vya udiwani...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi ashinda urais Zanzibar

TUME  ya Uchaguz Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dk. Hussein Ali Mwinyi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais mteule wa visiwa hivyo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Gambo amshinda Lema Arusha Mjini

GODBLESS Lema wa Chadema, ametangazwa kushindwa ubunge wa Arusha Mjini kwa kupata kura 46,489. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Lema ameshindwa na Mrisho Gambo wa...

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani wapoteza vigogo hawa bungeni  

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kimeendelea kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Urais uliofanyika jana Jumatano tarehe...

Habari za Siasa

Zitto apoteza ubunge Kigoma Mjini

ZITTO Zuberi Kabwe wa ACT-Wazalendo, ametangazwa kushindwa Ubunge Kigoma Mjini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea). Msimamizi wa uchaguzi, amemtangaza Kirumbe Ng’enda wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Sugu, Heche waangushwa 

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe anaongoza orodha ya wabunge wa chama hicho kushindwa kutetea ubunge wao katika majimbo...

Habari za Siasa

Zitto: Tumedhibiti kura feki, mapambano bado

ZITTO Kabwe, mgombea ubunge Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo amesema ‘tumedhibiti wizi.’ Anaripoti Yusuph Katimba, Kigoma … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari Jumatano...

Habari za Siasa

Polisi yazungumzia waliobeba vibegi vituoni

KAMANDA wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amezungumzia baadhi ya watu kuonekana wakiwa na mabegi mgongoni katika...

Habari za SiasaTangulizi

Zuio la mawakala lawaliza wapinzani

WAGOMBEA wa vyama vya upinzani katika Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaofanyika leo Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 wamelalamikia dosari zinazojitokeza kwenye uchaguzi huo....

Habari za Siasa

Ma RC, DC wapigwa ‘stop’ vituo kuhesabu, kutangaza matokeo  

WAKUU wa Mikoa (RC) na Wilaya (DC) nchini Tanzania, ni miongoni mwa watendaji wa Serikali ambao hawatakiwi kuingia katika vituo vya kupiga, kuhesabu...

Habari za Siasa

Madai kura feki, Polisi wamkamata Mdee na kumwachia

JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni asubuhi ya leo Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 walimkata Mgombea Ubunge wa Kawe, Halima Mdee wa...

error: Content is protected !!