RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amekagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi, lililopo jijini Mwanza, litakalokuwa na urefu wa 3.2...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2020JUSTIN Trudeau, Waziri Mkuu wa Canada anatakiwa kuchunguza kifo tatanishi cha mwanaharakati Karima Baloch. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Ni kutokana na shinikizo...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, Revocatus Kuuli. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ameagiza Tume ya Uchunguzi wa Majengo ya Kihistoria yaliyoko katika Mji Mkongwe, atakayoiunda, kuwahi kutoa orodha ya majengo...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (Tehama) nchini Tanzania, Dk. Faustine Ndugulile, ameipa miezi mitatu (siku 90), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum Bandari za Dar es Salaam, Mwanza,...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020KRYSTYNA Marty, Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali Uswizi amefanya mazungumzo na Qin Gang, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China kuhusu mahusiano...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2020RAIS John Magufuli ameagiza Hoteli ya Desderia inayomilikiwa na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, isivunjwe. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa hiyo...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020WATU kadhaa wameuawa Kaskazini Mashariki mwa Nigeria baada ya wanamgambo wa Boko Haram kushambulia vijiji vya Wakristo na kuteketeza Kanisa wakati wa Mkesha...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020KIONGOZI wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee, wameshinda tuzo za...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeshinda Tuzo ya Watu, Taasisi na Chapa, zinazoongoza mtandaoni (Tanzania Digital Awards), kwenye kipengele cha chama bora cha...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameungana na Watanzania kuadhimisha siku ya kuzaliwa Yesu Kristo, kwa kusali Misa Takatifu ya Krismasi. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2020TUNDU Lissu, aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, amesema...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2020MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mwanza, imewahukumu kunyongwa hadi kufa, kwa washitakiwa wanne waliotuhumiwa na Jamhuri, kumuua kwa makusudi, Alphonce Mawazo. Anaripoti Faki Sosi,...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020KATIKA juhudi za kudhibiti kukua kwa ushawishi wa China katika Pwani ya Kusini mwa nchi hiyo, Waziri Mkuu wa Japan, Yoshihidi Suga na mshirika...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameeleza kuwashangaa wapinzani kwa kudhani kampeni nzuri zinaweza kuwapa ushindi. Hamis Mguta,...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020WIZARA ya Katiba na Sheria Tanzania, imemuomba Rais John Magufuli aongeze idadi ya majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu, ili kuimarisha mfumo...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020JECHA Salim Jecha, aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ameibuka upya. Safari hii anasema, aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, katika uchaguzi...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameiagiza Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kutoendesha shughuli zake kwa njia ya mtandao, ili kudhibiti...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amani hailetwi kwa majeshi, itikadi yoyote...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020VURUGU za kisiasa, kukua kwa deni la nje na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, vimesababisha kupunguza uwekezaji wa China nchini Pakistan, ambapo Beijing...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amemsimamisha kazi, Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii visiwani humo(ZSSF), Sabra Issa Machano na watendaji...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020SERIKALI ya Tanzania imeagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuchunguza madai ya wananchi kuhusu wizi wa data na vifurushi, unaodaiwa kufanywa na baadhi...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2020MWAKA 2020 unaelekea ukingoni, hata hivyo umeacha jambo ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Ndani ya...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2020SERIKALI inatarajia kujenga shule mpya za Sekondari 1,000, kupitia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP), ili kuondoa changamoto ya upungufu wa madarasa...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa daraja jipya la Tanzanite (Salander), lililoko jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2020KAULI ya Mohamed Salah, mshambuliaji wa Klabu ya Liverpool kwamba, alifedheheshwa kwa kutopewa nafasi ya unahodha wakati wa mechi yao na Midtjylland, Klabu Bingwa...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2020VIONGOZI wa vituo vya huduma za afya vya umma, wametakiwa kuchukua tahadhari ya matumizi ya fedha kulingana na bajeti ya serikali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2020MAHAKAMA ya Rufani nchini, imezuia utekelezaji wa hukumu ya kunyongwa hadi kufa, iliyokuwa imetolewa kwa Mwalimu wa Shule ya Msingi Kibeta, iliyopo wilayani...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2020CHANZO cha kifo cha Antony Banzi, aliyekuwa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga kimetejwa kuwa ni ugonjwa wa koo. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2020PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kufuta mfumo wa vyama vingi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2020ORODHA ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza Tanzania Bara kwa mwaka 2021 yametangazwa. Anaripoti Mwaindishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020BAADHI ya vijana wa kiume 344 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram nchini Nigeria wameanza kuokolewa na vikosi vya usalama nchini humo. Inaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020SERIKALI ya Rwanda imeridhishwa na utoaji huduma katika Bandari ya Dar es Salaam nchini Tanzania na kuahidi kuendelea kuitumia bandari hiyo ambayo imekuwa...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020RAIS wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya (71) amefariki dunia akiwa jijini Paris nchini Ufaransa kwa ugonjwa wa COVID-19. Inaripoti mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa daraja la JPM lenye urefu wa kilomita 3.2 linalojengwa ziwa Victoria kwa gharama ya...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020BUNGE la Seneti nchini Kenya, limepiga kura kumuondoa malakani aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Mike Mubuvi Sonko, kufutia kupatikana na matumizi mabaya ya ofisi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa siku saba kwa katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu, maofisa wanaochambua maombi ya ununuzi wa magari...
By Mwandishi WetuDecember 17, 2020RAIS wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), Dk. Hussein Mwinyi amesema, hatojali mtoto wa mtu katika maamuzi magumu atakayochukua ingawa hatofukua...
By Mwandishi WetuDecember 17, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, wanafunzi 759,706 sawa na asilimia 91.1 ya wanafunzi waliofaulu mtihani wa darasa la saba 2020, wamechaguliwa kujiunga na masomo ya...
By Mwandishi WetuDecember 17, 2020SIKU saba baada ya mawaziri na manaibu waziri kuapishwa kutumikia nafasi hizo, Rais John Magufuli amewasifu kwamba wameanza kazi vizuri. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Mwandishi WetuDecember 16, 2020RAIS wa China, Xi Jinping amempigia simu Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano...
By Mwandishi WetuDecember 16, 2020RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Meli na Uwakala, Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2020WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Uchimbani Visima (DDCA) kutokana na tuhuma za ubadhilifu na kuagiza uchunguzi...
By Mwandishi WetuDecember 14, 2020ALBART Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC) nchini Tanzania amesema, viongozi wa mkoa huo wamedhalilika kutokana na kumea kwa wizi wa dhahabu....
By Mwandishi WetuDecember 14, 2020DOTTO Biteko, Waziri wa Madini nchini amemvua madaraka Paul Gagala, Mwenyekiti wa Soko la Madini Wilaya ya Chunya sambamba na kuwasimamisha kazi watumishi watatu...
By Mwandishi WetuDecember 14, 2020WAZIRI Mkuu wa Uswatini, Ambrose Dlamini, amefariki dunia jana Jumapili tarehe 13 Desemba 2020, hospitalini nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuDecember 14, 2020WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme wa Ugavi nchini (TANESCO), kuhakikisha umeme haukatiki. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Pia amelitaka shirika...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2020ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera amesema, “mimi niko salama, naendelea na majukumu yangu kama...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2020ALIYEKUWA Diwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Kata ya Namwawala, jimbo la Mlimba, mkoani Morogoro, Godfrey Luena, ametunukiwa “Tuzo ya...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2020