Friday , 29 March 2024
Home mwandishi
8561 Articles1223 Comments
HabariTangulizi

Hali ilivyo St. Peter kwenye Ibada ya Dk. Magufuli

  VIKOSI vya usalama vimeimarisha ulinzi kila mahali, waombolezaji na watu mbalimbali wanaingia kwa kutumia mlango mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu Kila anayeingia eneo...

Michezo

Klabu za Ligi kuu za mpongeza Rais Samia

  MARA baada ya kuapishwa kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, klabu mbalimbali za Ligi Kuu soka Tanzania Bara...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe amtwisha mzigo Mama Samia

  MWENYEKITI wa chama kikuu cha upinzani Tanzania- Chadema, Freeman Mbowe amemtumia salamu Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kufuatilia kifo cha Rais...

Habari Mchanganyiko

RC Chalamila aitisha maombi kumwombea Dk. Magufuli

  MKUU huyo wa mkoa wa Mbeya amesema, maombi hayo yatafanyika kesho Ijumaa tarehe 19 Machi 2021, katika Viwanja vya Sokoine jijini Mbeya....

Habari za Siasa

Rais Mwinyi: Huu ni msiba mzito

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametoa salamu za rambirambi kwa Mama Janeth Magufuli, familia...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yaitisha kamati kuu

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitisha kikao cha dharula cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, kufuatia kifo cha aliyekuwa...

Kimataifa

Kifo cha Magufuli: Rais Kagame “nimempoteza rafiki”

  RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema, mchango uliotolewa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (61) kwa taifa hilo “hauwezi kusahaulika.”...

HabariTangulizi

Spika Ndugai asitisha ziara Kamatiza Bunge

  KUFUATIA kifo cha Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021 katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam,...

Habari za SiasaTangulizi

Huyu ndiye John Magufuli aliyetutoka 1959-2021

  DK. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amehitimisha safari ya miaka 61 ya maisha yake hapa duniani. Anaripoti...

Michezo

Simba yaomboleza kifo cha Rais Magufuli

  TIMU ya Simba ya Dar es Salaam, imeomboleza kifo cha Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, kilichotokea jana Jumatano tarehe 17 Machi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli afarika dunia

  RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amefariki dunia jana Jumatano, tarehe 17 Machi 2021, saa 12:00, katika Hospitali ya Mzena, jijini Dar...

Michezo

Namungo kama mlivyosikia

  NDIYO hivyo. Kikosi cha Namungo FC kimepoteza mchezo wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids kutoka nchini Misri kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mama Samia: CCM iisaidie serikali

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kusaidia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Waziri Aweso aonya mamlaka za maji

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ameonya tabia ya watumishi wa mamlaka za maji kuwabambikia bili za maji wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tanga …...

Kimataifa

Mauaji Atlanta: Joto la chuki lapanda

  KATI ya raia wanane walioshambuliwa na kupoteza maisha Atlanta, Georgia nchini Marekani, sita ni Wamarekani wenye asili ya Asia. Inaripoti mitandao ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee awaingiza ‘vitani’ watatu Bawacha

  WANACHAMA watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitosa kusaka nafasi ya kukaimu nafasi ya mwenyekiti wa Baraza la Wanawane la...

Habari Mchanganyiko

Rushwa ya laki moja, yampeleka jela afisa uhamiaji miezi 6

  MAHAKAMA ya Wilaya ya Babati, mkoani Manayara, imemhukumu kifungo cha miezi mitatu jela au kulipa faini ya Sh.600,000, Silvester Kayani, Afisa Uhamiaji...

HabariTangulizi

Wenye viwanda Tanzania, NEMC wapewa maagizo

  SERIKALI ya Tanzania, amewaagiza wenye viwanda nchini humo, kuajiri wataalamu wa mazingira ili kukidhi matakwa ya kisheria. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Agizo hilo,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bila kusafiri hupati Paspoti – Uhamiaji

IDARA ya Uhamiaji nchini Tanzania imeeleza, ili mtu yeyote aweze kupewa hati ya kusafiria (paspoti), ni lazima awe na kusudio la kusafiri. Anaandika...

Habari

Bajeti mlengo wa kijinsia yapigiwa chapuo

  SERIKALI na jamii wametakiwa kuhakikisha wanatenga bajeti yenye mlengo wa kijinsia, ili kutokomeza ukatili wa kijinsia. Anaandika Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ‘achambua’ kauli ya Mama Samia, Majaliwa

  ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amesema kauli ya Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania na Waziri Mkuu,...

Kimataifa

Al shabab wavamia kijiji, wachinja watoto

  WANAMGAMBO wa kundi la Al shabab wanatajwa kuchinja watoto kadhaa katika Mkoa wa Cabo Delgado, nchini Msumbiji. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …...

Habari za Siasa

RC Chalamila ‘akomalia’ daladala Mbeya

  ALBER Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amesema, serikali haitaondoa bajaji wala pikipiki (bodaboda), kufanya biashara ya kusafirisha abiria katika barabara kuu....

Habari za SiasaTangulizi

NCCR-Mageuzi yajitosa sakata la Rais Magufuli

CHAMA cha upinzani nchini Tanzania – NCCR-Mageuzi – kimekoleza moto katika mjadala unaohusu mahali alipo Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Matrida Peter Dar...

Kimataifa

COVID-19: DRC yasitisha chanjo ya AstraZeneca

  SERIKALI ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imeahirisha kampeni ya kutoa chanjo ya AstraZeneca, ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya...

Kimataifa

Corona: Raila Odinga atoka hospitalini

  KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Kenya cha Orange Democratic Movement (ODM), Raila Odinga, ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Nairobi, alipokuwa amelazwa baada...

Afya

Dk. Gwajima ahimiza lishe bora, mazoezi

  WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewahimiza Watanzania kula lishe bora. Anaripoti Mwandishi Wetu, Katavi…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamsaka Kigogo

  JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam linamsaka mwanaharakati anayejiita jina la Kigogo katika mtandao wa Twitter. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Dk. Ndungulile: TCRA idhibiti ubora wa vifaa

  DAKTARI Faustine Ndungulile, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuthibiti ubora wa vifaa vya kielektroniki...

Kimataifa

COVID-19 yaichakaza Kenya, yapoteza trilioni 11

  SERIKALI ya Kenya, imepoteza jumla ya Ksh. 560 Bilioni (zaidi ya Tsh. 11 trilioni), tangu ilipokumbwa na mlipuko wa uonjwa wa corona...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wahoji alipo Rais Magufuli, Majaliwa awajibu

CHAMA cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema), kimeitaka serikali ya Tanzania kuvuja ukimya juu ya mahali alipo Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

RC Chalamila: Nimezungumza na Rais Magufuli

  MKUU wa Mkoa wa Mbeya (RC), Albert Chalamika amesema, Rais wa Tanzania, John Magufuli yuko salama na anaendelea na majukumu yake kama...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ‘asaka’ dawa uvivu wa kulipa kodi

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango amesema, serikali iko mbioni kukamilisha utafiti kuhusu mwitikio mdogo wa walipakodi, kusajili biashara na uwazi...

Elimu

Shule iliyoshika mkia Sengerema, yazinduka

  SHULE ya Sekondari ya Kome, iliyopo Buchosa, Wilaya ya Sengerema, Mkoani Mwanza, iliyokuwa ikishika nafasi ya mwisho kwa matokeo mabovu ya katika...

Kimataifa

Raila aambukizwa corona

  KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Kenya cha ODM, Raila Odinga amepimwa na kukutwa na maambukvirusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Uteuzi wa Dk. Bashiri utata mtupu

  KATIBU Mkuu Kiongozi (CS) wa Tanzania, Dk. Bashiru Ally, ameibua utata mpya wa kisheria, kufuatia kuendelea kuhudumu katika wadhifa wake wa katibu...

Kimataifa

Mshirika wa Rais Assaad, afungwa Ujerumani

  MAHAKAMA nchini Ujerumani, imemhukumu kifungo cha miaka minne na nusu gerezani, afisa wa zamani wa Idara ya Usalama wa taifa wa Syria....

Kimataifa

Odinga apimwa COVID-19, alazwa hospitalini

  RAILA Odinga, kiongozi wa chama cha upinzani cha ODM, amefikishwa katika Hospitali ya Nairobi, Kenya na kuchukuliwa vipimo vya corona (COVID-19). Umeeleza...

Habari za SiasaTangulizi

Mrema: Mimi ni mzima

  MKURUGENZI wa Itifaki na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania John Mrema amesema, “mimi ni mzima wa afya.”...

Habari Mchanganyiko

Ujenzi SGR Mwanza – Isaka kuanza

  UJENZI wa reli ya kisasa ya (SGR), kutoka Mwanza kwenda Isaka, nchini Tanzania, unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Wamiliki Kunduchi Islamic wachunguzwa kwa rushwa

  TAASISI ya Munazzamat Dawa Al Islamiya (MDI) inayomiliki Shule ya Sekondari ya Kiislam ya Wasichana Kunduchi (Kunduchi Girls), inachunguzwa kwa tuhuma za...

Kimataifa

Senegal mambo magumu

  HALI ya wasiwasi nchini Senegal, imezidi kutanda baada ya Ousmane Sonko (46), kiongozi wa upinzani kutuhumiwa kubaka. Mtandao wa Aljazeera unaripoti …...

Habari za SiasaTangulizi

Maajabu kaburi la Maalim Seif

  BAADHI ya watu wanaokwenda kuzuru kaburi la Maalim Seif Sharif Hamad (77), aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, wanadaiwa kuchota mchanga...

Habari Mchanganyiko

Sakata la mahindi: Tanzania yaionya Kenya

  SERIKALI ya Tanzania, imeitaka Kenya kuacha upotoshaji kwamba mahindi ya Tanzania hayafai kwa matumizi ya binadamu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Kimataifa

Rais Issoufou atunukiwa tuzo ya Mo Ibrahim

MAHAMADOU Issoufou, Rais Mstaafu wa Niger, ametunukiwa tuzo ya Mo Ibrahimu inayoonesha Ufanisi katika Uongozi kwa Afrika. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Rais Issoufou...

Kimataifa

Siku nne za Papa Francis Iraq

  ZIARA ya siku nne ya Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, nchini Iraq, zimehitimishwa leo Jumatatu tarehe 8 Machi 2021, huku...

Habari Mchanganyiko

Kifo cha mtawa: Ni simulizi nzito

  “NAOMBA unipeleke hospitali, nimechomwa kisu,” ni kauli ya kwanza ya Agatha Yohane Mbalalila (50), mtawa wa huduma katika Kituo cha Nazaret, Ifakara...

Habari MchanganyikoKimataifa

Wanakijiji DRC wavamia mlima wa dhahabu

  KANDA ya video inayoonesha wakazi wa Bukavu, Kivu katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokraia ya Kongo (DRC), wakiokota vipande vya dhabau, imesambaa...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif aliacha siri nzito

  MANSOUR Yusuf Himid (53), mmoja wa wanasiasa machachari visiwani Zanzibar, ndiye aliyekuwa chaguo la kwanza la Maalim Seif Sharif Hamad, kutaka kurithi...

Habari Mchanganyiko

Mgomo wa mabasi wanukia Tanzania

  CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kimetoa siku tatu kwa mamlaka zinazohusika na mfumo wa mashine za kukatia tiketi kwa njia...

error: Content is protected !!