WAMILIKI wa maduka ya kubadilishia fedha ambao walikuwa wakisubiri kwa hamu majibu ya Bunge kuhusu hatima ya mali na mabilioni ya fedha...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021WAFUASI wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, wamezingira nyumba yake ili kuzuia kiongozi huyo asikamatwe. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021BAADA ya Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), kuanza harakati za kudai katiba mpya, Baraza la Wanawake la...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021SERIKALI ya Tanzania, kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa zaidi ya shilingi bilioni tatu kwa taasisi mbalimbali zinazofanya utafiti katika...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021INSPEKTA Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka wenyeviti na watendaji wa Serikali za Mitaa, kuibua vitendo vya uhalifu...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema Jeshi la Polisi limefanikiwa kudhibiti vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha ‘ujambazi’...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2021JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), wameutaka uongozi wa Klabu ya Simba umwonye, msemaji wake, Haji Manara kwa udhalilishaji alioufanya dhidi ya Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewataka wananchi kila mmoja kwenye nafasi yake, kuhakikisha anatumia muda alionao kufanya mambo yatakayoacha alama pindi...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021SHIRIKISHO la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA), limetangaza Kamati tano zitakazofanyakazi kama wizara za shirikisho hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, imesema aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale (67), alifariki...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amemkabidhi Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ripoti ya matumizi ya...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2021KAULI ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuweka kiporo suala la Katiba Mpya na kuendeleza zuio la mikutano ya hadhara ili...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, NCCR-Mageuzi, kimemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, kuufikilia upya uamuzi wake kuhusu suala...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2021MWILI wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale, unatarajiwa kuzikwa Jumatatu ya tarehe 5 Julai 2021,...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA)...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, amebainisha mambo saba ambayo wananchi wanapaswa kuyazingatia ili kuchungua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya corona...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021WAKATI wanasiasa, wanaharakati na wasomi wa kada mbalimbali nchini Tanzania, wakitaka mchakato wa Katiba Mpya uendelee, Job Ndugai, Spika wa Bunge la...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021WAKATI joto la mtanange wa watani wa jadi Simba na Yanga za jijini Dar es Salaam, likizidi kupamba moto, Simba wameliomba Shirikisho...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021MIAMBA nane itachuana katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Euro 2020 kuanzia Ijumaa hii ya tarehe 2 na 3 Julai...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021WATU zaidi ya 130 wameripotiwa kufariki dunia nchini Canada, baada ya kuathiriwa na joto kali lililoikumba nchi hiyo tangu Jumatatu ya tarehe...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM), Dk Bashiru Ally amesema, unafiki na kukosekana uzalendo kwa baadhi ya watu ni sababu ya mambo yanayokwamisha kufikia malengo....
By Mwandishi WetuJune 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Abebe Aemro Selassie kutoka Shirika la Fedha Duniani...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, ana mchango mkubwa katika safari ya maisha...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021MAHAKAMA nchini Afrika Kusini, leo Jumanne, tarehe 29 Juni 2021, imemhukumu kifungo cha miezi 15 gerezani aliyekuwa rais wa taifa hilo, Jacob...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021MBUNGE wa Mchinga mkoani Lindi (CCM), Mama Salma Kikwete,ameiomba Serikali ipeleke maji safi na salama kwa wananchi wa jimbo hilo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania amewaomba wananchi kumuunga mkono katika harakati zake kufufua za uchumi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Pia amewataka wananchi...
By Mwandishi WetuJune 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema magazeti yote yaliyofungiwa na kumaliza adhabu zao, wapewe leseni ili waendelee na majukumu yao. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, zaidi ya wagonjwa 100 wa maambukizi corona (COVID-19), wamebainika nchini humo na wanaendelea na matibabu....
By Mwandishi WetuJune 28, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi, Mkoa wa Mbeya imemwacha huru, Mdude Nyangali maarufu ‘Mdude Chadema,’ baada ya Jamhuri kushindwa kuthibitisha madai yake kuhusu...
By Mwandishi WetuJune 28, 2021SIKU 100 za uongozi wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, zinaelezwa kutoa ahueni katika Mshirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) nchini humo....
By Mwandishi WetuJune 28, 2021NDOA ya Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava na mchumba wake, Caroline Pallangyo, ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Arumeru Mashariki,...
By Mwandishi WetuJune 28, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeongeza nguvu kwenye mapambano dhidi ya dawa za kulevya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na...
By Mwandishi WetuJune 28, 2021HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 36/2020, inayomkabili kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali, katika Mahakama ya Hakimu...
By Mwandishi WetuJune 28, 2021IWAPO Kanuni za Usafirishaji Mizigo Mizito na Kichele za nchini Zambia zitaanza kutumika, zaidi wa Watanzania 30,000 wana hatihati ya kukosa ajira....
By Mwandishi WetuJune 27, 2021MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wanafanya mazungumzo ya kuwezesha somo la ulipaji kodi...
By Mwandishi WetuJune 27, 2021LEO Jumapili, tarehe 27 Machi 2021, Samia Suluhu Hassan, ametimiza siku 100 tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 27, 2021KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka wabunge wanaotokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT), kusimamia kwa karibu utolewaji wa...
By Mwandishi WetuJune 26, 2021WAFUASI na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameshauri kiasi cha Sh. 350 milioni kilichoshauriwa na mahakama kurejeshwa kwa Freeman...
By Mwandishi WetuJune 26, 2021TANZANIA na Shirika la Afya Duniani (WHO), wanatarajia kukaa meza moja ili kuangalia namna ya kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona...
By Mwandishi WetuJune 25, 2021MFANYABIASHARA ama mtoa huduma ambaye atabainika kuwepa kulipa kodi, akikamatwa atalazimika kulipa asilimia 100 ya kodi aliyotakiwa kulipa kama adhabu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 25, 2021JUMLA ya watu 126 nchini Uganda wameripotiwa kufariki dunia ndani ya siku nne zilizopita kutokana na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti mitandao...
By Mwandishi WetuJune 25, 2021JERRY Slaa, Mbunge wa Ukonga, jijini Dar es Salaam (CCM), amesema serikali imeingizwa mkenge katika pendekezo lake la kufuta adhabu ya asilimia...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla, amewataka wananchi mkoani humo kuchukua tahadhari ya maambukuzi ya corona (COVID-19), kwa...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrais na Maendeleo (Chadema), yupo nchini Kenya kwa maandalizi ya uzinduzi wa kitabu chake. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi, amewataka wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutanguliza uzalendo wa kweli, ili kuisaidia Serikali na wananchi wa...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021NCHI Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), zimekubaliana kupeleka wanajeshi kukabiliana na ugaidi katika Jimbo la Cabo Delgado, Msumbiji. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea)....
By Mwandishi WetuJune 24, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe, amestaajabishwa na hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kushangilia Bajeti Kuu...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021HASHIMU Rungwe, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) mwaka 2020, ameshauri Rais Samia Suluhu Hassan aifanyie...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshiriki mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021