KODI ya mitandao ya simu imeibua mjadala, baada ya kupingwa kila kona na baadhi ya watu, kwa maelezo kwamba itaumiza wananchi hasa...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2021JOSEPH Sinde Warioba, Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, amewataka viongozi kujenga utamaduni wa kusikiliza kero za wananchi wanapokwenda kwenye mikutano mbalimbali. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2021USALAMA wa maisha ya wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), Afrika Kusini, uko rehani kufuatia ghasia...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2021ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, wametinga katika Ofisi ya...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2021WAKATI dunia ikiendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), Taasisi ya My Legacy nchini Tanzania, imetoa wito kwa wananchi...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2021KUFUATIA klabu ya Simba kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2020/21, washambuliaji Prince Dube wa Azam FC,...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021REBECCA Akufo-Ado, mke wa Rais wa Ghana, Nana Akufo-Ado, amegoma kupokea mshahara wa Dola za Marekani 3,500 (Sh. 8.1 milioni) kila mwezi,...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, amekaidi kutii agizo la Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, la kuzuia...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Benki ya NMB kwa kuchangia maendeleo visiwani humo....
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na Manispaa ya Ubungo, wametoa siku saba kwa wananchi wanaotiririsha majitaka...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021SERIKALI ya Afrika Kusini imelazimika kuingiza Jeshi mtaani, ili kutuliza ghasia zilizoanzishwa na wafuasi wa rais mstaafu wa nchi hiyo, Jacob Zuma...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021MUFTI wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amesema, Sikukuu ya Eid El-Adh’haa itakuwa Jumatano ijayo tarehe 21 Julai 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aunde kamati ya kushughulikia marekebisho ya katiba, ili kutimiza dhumuni la...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2021CHRISTIAN Emmanuel Sanon (63), anayedaiwa kusuka mikakati ya mauaji ya aliyekuwa Rais wa Haiti, Jovenel Moise (53), amedakwa na Jeshi la Polisi...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezungumza kwa njia ya mtandao na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya, Charles Michel. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, George Simbachawene, amelitaka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kueleza changamoto zinazokwamisha utekelezaji majukumu yake mapema,...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2021WATU 16 nchini India, wamefariki dunia kwa kupigwa na radi, wakati wakijipiga picha ‘Selfie’. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kwa mujibu...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2021KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka wanachama wa chama hicho, kuhakikisha wanahudhuria vikao vya...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2021MARTINE, mjane wa Rais aliyeuawa wa Haiti, Jovenel Moise ameshutumu mauaji ya mumewe kwa kusema maadui walilenga kusitisha mabadiliko ya demokrasia. Inaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021BENKI ya NMB imeanzisha huduma maalum kwa wateja wao kujiwekea akiba kila wanapofanya mialama. Anaipoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mwanza, Dk. Anthony Diallo ameomba radhi ‘kiaina’ baada ya kauli yake kuzua mjadala ndani...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021MKAKATI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kuwang’oa bungeni, waliokuwa wanachama wake 19, wakiongozwa na Halima James Mdee, umegeuka...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema, chama hicho kitaita mawaziri sita ili kujiridhisha juu...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kushirikiana na Jumuiya za Kiislamu Tanzania kutafuta chanzo cha...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kaasim Majaliwa ameipa siku saba za awali tume aliyoiunda kuchunguza chanzo cha moto katika soko la kimataifa la...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021HATIMAYE Lionel Messi wa Argentina, amenyakua taji la ubingwa wa kwanza la Copa America, akiwa na timu ya Taifa, baada ya kuifunga...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021BARAZA la Mitihani Tanzania (NACTE), limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na ualimu, iliyofanyika Mei 2021. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2021SERIKALI imewaagiza wakuu wa mikoa (RC) na wa wilaya (DC), waandae mikakati ya kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu, la ugonjwa wa...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2021BARAZA la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACONGO), limepata viongozi wapya kupitia uchaguzi wake uliofanyika jana tarehe 8 Julai 2021, jijini...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2021MAHAKAMA Kuu nchini Afrika Kusini, imetupilia mbali maombi ya dhamana ya aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma, anayetumikia kifungo cha miezi...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amepata pigo baada ya kuondokewa na kaka yake, Charles Mbowe, aliyefariki dunia...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021MWENYEKITI wa Chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania- NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amesema chama chake hakitarudi nyuma katika harakati za kudai Katiba...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021JACOB Zuma (79), Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, ameanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewaomba viongozi wa dini nchini humo, kutokutumia nafasi zao kufanya siasa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro…(endelea). Rais...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewaagiza wabunge wote wa Bunge wa chama hicho, kurejea...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewataka wananchi kudumisha amani na kuwaepuka walioanzisha “vichokochoko” kuwapuuza kwani hawawatakii mema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Martin Shigella, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aipandishe hadhi Manispaa ya Morogoro, ili iwe jiji. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania amesema, wimbi la tatu la maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), limetua nchini humo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, imeagiza Wizara ya Madini, ihakikishe taratibu za uuzaji madini ya Tanzanite, zinafanyika katika mgodi unaozalisha madini hayo, ili...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021JOVENEL Moise (53), Rais wa Haiti ameuawa leo Jumatano, tarehe 7 Julai 2021, katika shambulio akiwa katika makazi yake. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021BENKI ya Dunia (WB), imekubali kuipatia Serikali ya Tanzania, kiasi cha Sh. 108 bilioni, Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Kanda ya Kaskazini....
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021TAARIFA ya upungufu wa mitungi ya kuhifadhia hewa ya Oksijeni ‘Oxygen’, jijini Mwanza,kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wenye matatizo ya upumuaji, ikiwemo...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemwalika Rais wa Marekani, Joseph Biden kutembelea nchini humo ili kuzidi kuimarisha uhusino uliopo kati ya...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Mselem Ali Mselem amesema hatoweza kujitosa katika mjadala wa Katiba mpya,...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2021ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amewashauri watu wanaotaka au kupinga...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2021KLABU ya soka ya Azam FC, imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Charles Zulu raia wa Zambia, aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya Cape...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021NI takribani mwaka na nusu sasa, dunia inateseka kutokana na ugonjwa wa Covid-19, ambao historia inaonesha ulianzia katika mji wa Wuhan nchini...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021MWILI wa aliyekuwa Muasisi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN), Temitope Balogun Joshua ‘TB Joshua’ (57), unatarajiwa kuzikwa Jumapili...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021WAMILIKI wa maduka ya kubadilishia fedha ambao walikuwa wakisubiri kwa hamu majibu ya Bunge kuhusu hatima ya mali na mabilioni ya fedha...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021WAFUASI wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, wamezingira nyumba yake ili kuzuia kiongozi huyo asikamatwe. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021