WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kaasim Majaliwa ameipa siku saba za awali tume aliyoiunda kuchunguza chanzo cha moto katika soko la kimataifa la...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021HATIMAYE Lionel Messi wa Argentina, amenyakua taji la ubingwa wa kwanza la Copa America, akiwa na timu ya Taifa, baada ya kuifunga...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021BARAZA la Mitihani Tanzania (NACTE), limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na ualimu, iliyofanyika Mei 2021. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2021SERIKALI imewaagiza wakuu wa mikoa (RC) na wa wilaya (DC), waandae mikakati ya kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu, la ugonjwa wa...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2021BARAZA la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACONGO), limepata viongozi wapya kupitia uchaguzi wake uliofanyika jana tarehe 8 Julai 2021, jijini...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2021MAHAKAMA Kuu nchini Afrika Kusini, imetupilia mbali maombi ya dhamana ya aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma, anayetumikia kifungo cha miezi...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amepata pigo baada ya kuondokewa na kaka yake, Charles Mbowe, aliyefariki dunia...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021MWENYEKITI wa Chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania- NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amesema chama chake hakitarudi nyuma katika harakati za kudai Katiba...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021JACOB Zuma (79), Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, ameanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewaomba viongozi wa dini nchini humo, kutokutumia nafasi zao kufanya siasa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro…(endelea). Rais...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewaagiza wabunge wote wa Bunge wa chama hicho, kurejea...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewataka wananchi kudumisha amani na kuwaepuka walioanzisha “vichokochoko” kuwapuuza kwani hawawatakii mema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Martin Shigella, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aipandishe hadhi Manispaa ya Morogoro, ili iwe jiji. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania amesema, wimbi la tatu la maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), limetua nchini humo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, imeagiza Wizara ya Madini, ihakikishe taratibu za uuzaji madini ya Tanzanite, zinafanyika katika mgodi unaozalisha madini hayo, ili...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021JOVENEL Moise (53), Rais wa Haiti ameuawa leo Jumatano, tarehe 7 Julai 2021, katika shambulio akiwa katika makazi yake. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021BENKI ya Dunia (WB), imekubali kuipatia Serikali ya Tanzania, kiasi cha Sh. 108 bilioni, Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Kanda ya Kaskazini....
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021TAARIFA ya upungufu wa mitungi ya kuhifadhia hewa ya Oksijeni ‘Oxygen’, jijini Mwanza,kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wenye matatizo ya upumuaji, ikiwemo...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemwalika Rais wa Marekani, Joseph Biden kutembelea nchini humo ili kuzidi kuimarisha uhusino uliopo kati ya...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Mselem Ali Mselem amesema hatoweza kujitosa katika mjadala wa Katiba mpya,...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2021ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amewashauri watu wanaotaka au kupinga...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2021KLABU ya soka ya Azam FC, imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Charles Zulu raia wa Zambia, aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya Cape...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021NI takribani mwaka na nusu sasa, dunia inateseka kutokana na ugonjwa wa Covid-19, ambao historia inaonesha ulianzia katika mji wa Wuhan nchini...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021MWILI wa aliyekuwa Muasisi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN), Temitope Balogun Joshua ‘TB Joshua’ (57), unatarajiwa kuzikwa Jumapili...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021WAMILIKI wa maduka ya kubadilishia fedha ambao walikuwa wakisubiri kwa hamu majibu ya Bunge kuhusu hatima ya mali na mabilioni ya fedha...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021WAFUASI wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, wamezingira nyumba yake ili kuzuia kiongozi huyo asikamatwe. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021BAADA ya Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), kuanza harakati za kudai katiba mpya, Baraza la Wanawake la...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021SERIKALI ya Tanzania, kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa zaidi ya shilingi bilioni tatu kwa taasisi mbalimbali zinazofanya utafiti katika...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021INSPEKTA Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka wenyeviti na watendaji wa Serikali za Mitaa, kuibua vitendo vya uhalifu...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema Jeshi la Polisi limefanikiwa kudhibiti vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha ‘ujambazi’...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2021JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), wameutaka uongozi wa Klabu ya Simba umwonye, msemaji wake, Haji Manara kwa udhalilishaji alioufanya dhidi ya Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewataka wananchi kila mmoja kwenye nafasi yake, kuhakikisha anatumia muda alionao kufanya mambo yatakayoacha alama pindi...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021SHIRIKISHO la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA), limetangaza Kamati tano zitakazofanyakazi kama wizara za shirikisho hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, imesema aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale (67), alifariki...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amemkabidhi Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ripoti ya matumizi ya...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2021KAULI ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuweka kiporo suala la Katiba Mpya na kuendeleza zuio la mikutano ya hadhara ili...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, NCCR-Mageuzi, kimemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, kuufikilia upya uamuzi wake kuhusu suala...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2021MWILI wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale, unatarajiwa kuzikwa Jumatatu ya tarehe 5 Julai 2021,...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA)...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, amebainisha mambo saba ambayo wananchi wanapaswa kuyazingatia ili kuchungua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya corona...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021WAKATI wanasiasa, wanaharakati na wasomi wa kada mbalimbali nchini Tanzania, wakitaka mchakato wa Katiba Mpya uendelee, Job Ndugai, Spika wa Bunge la...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021WAKATI joto la mtanange wa watani wa jadi Simba na Yanga za jijini Dar es Salaam, likizidi kupamba moto, Simba wameliomba Shirikisho...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021MIAMBA nane itachuana katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Euro 2020 kuanzia Ijumaa hii ya tarehe 2 na 3 Julai...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021WATU zaidi ya 130 wameripotiwa kufariki dunia nchini Canada, baada ya kuathiriwa na joto kali lililoikumba nchi hiyo tangu Jumatatu ya tarehe...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM), Dk Bashiru Ally amesema, unafiki na kukosekana uzalendo kwa baadhi ya watu ni sababu ya mambo yanayokwamisha kufikia malengo....
By Mwandishi WetuJune 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Abebe Aemro Selassie kutoka Shirika la Fedha Duniani...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, ana mchango mkubwa katika safari ya maisha...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021MAHAKAMA nchini Afrika Kusini, leo Jumanne, tarehe 29 Juni 2021, imemhukumu kifungo cha miezi 15 gerezani aliyekuwa rais wa taifa hilo, Jacob...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021MBUNGE wa Mchinga mkoani Lindi (CCM), Mama Salma Kikwete,ameiomba Serikali ipeleke maji safi na salama kwa wananchi wa jimbo hilo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021