OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, imekiandikia barua Chama Kikuu cha Upinzani nchini humo, Chadema, ikikitaka kijieleze juu ya kauli...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania, limeajiri askari polisi wapya zaidi ya 3,000. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa jana...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2021MASHIRIKA Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) na Asasi za Kiraia (AZAKI) 1,500, zinatarajia kushiriki maonesho ya wiki ya asasi hizo, yanayotarajiwa kufanyika kuanzia...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2021UZITO wa mwili uliopitiliza umetajwa kuwa janga jipya kwa vijana, hasa wenye umri kati ya miaka 10 hadi 19. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2021SERIKALI ya Tanzania, imepanga kutumia Sh. 2.974 trilioni, kwa ajili kuongeza mtandao wa barabara za lami na changarawe, pamoja na ujenzi wa...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2021ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, wamekutwa na kesi ya kujibu katika mshtaka ya unyang’anyi wa...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2021WANAHARAKATI nchini Tanzania, wameshtushwa na hatua ya Serikali kulifungia kwa muda wa siku 14, Gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama Tawala nchini...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2021SERIKALI ya Tanzania imetangaza kusitisha leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la kila siku la Uhuru kuanzia kesho Alhamisi tarehe 12...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umefanya ziara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, kwa ajili ya kuboresha mikakati...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeviomba vyombo vya dola kuzipa kipaumbele kesi za ukatili wa kijinsia, zinazoripotiwa na...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2021WATU 24 wa familia moja wamefariki dunia nchini Nigeria, baada ya kula chakula chenye sumu. Inaripoti BBC … (endelea). Taarifa ya tukio...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2021RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amejumuishwa katika uchunguzi wa tuhuma za ufisadi, zinazomkabili kiongozi wa zamani wa Taifa hilo, Jacob Zuma....
By Mwandishi WetuAugust 11, 2021MAHAKAMA ya Arusha imeelezwa jinsi mshitakiwa wa tatu, Daniel Bura kwenye kesi ya unyang’anyi inayomkabili, pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2021Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimezipa siku 14 kamati za siasa za mikoa na wilaya, kuwasilisha taarifa za ukaguzi wa miradi ya maendeleo...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimedai kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan, dhidi ya mashtaka ya kula njama za...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2021MBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza (CCM), Hamis Tabasam, ameiomba Serikali iipatie msaada wa dharura wa vifaa tiba vya kutibu Ugonjwa wa Korona...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2021WAKATI chanjo ya kinga ya ugonjwa wa korona (Uviko-19) ikiendelea kutolewa nchini Tanzanioa, wabunge wawili wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2021WAJUMBE wa mkutano mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), wamemuthibitisha Wallace Karia kuendelea kuwa Rais wa shirikisho hilo kwa...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimepanga kiwafikisha mahakamani kwa majina yao, Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) wa Dodoma...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo, Athumani Mbuttuka kuwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2021KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), kimefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2021WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu, ameagiza kuchukuliwa hatua watumishi wawili wa...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2021MSANII wa maigizo nchini Tanzania, Elizabeth Michael maarufu Lulu amemwandikia ujumbe mwaanae mwenye siku 21 akichambua jina alilompa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2021ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza ametoa sababu kuu tatu,...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2021MTANGAZAJI maarufu nchini Tanzania wa vipindi vya michezo, Maulid Kitenge leo Ijumaa, tarehe 6 Agosti 2021, amerejea kituo cha Redio cha EFM,...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2021WANAFUNZI watatu wa Shule ya Msingi Ngoile wilayani Ngorongoro, Mkoa wa Arusha, wameuawa kwa kushambuliwa na Simba, walipokuwa wanatafuta mifugo yao iliyopotea...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2021JUMUIYA za Kimataifa zimejitosa katika kesi ya ugaidi, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2021DIWANI wa Buyuni (CCM), Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Karimu Madenge amefariki dunia jana Jumatano, tarehe 4 Agosti 2021,...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua, Mtumwa Khatib Ameir kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2021WATU wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za mauaji ya Shaban Amiri Mbalali (20),...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2021MWENYEKITI mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amewafananisha wanaopinga chanjo ya korna (UVIKO-19) na magaidi na kuitaka...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2021ALIYEKUWA Rais wa Sudan, Omar al-Bashir, anayesota rumande tangu 2019, kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, yuko mbioni kufikishwa katika Mahakama...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2021WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu amewataka wakurugenzi (DED) wapya 69 walioteuliwa kufika...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2021WAZEE wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imuache huru Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe,...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2021MAAFISA wa Taasisi za Serikali zinazoshughulika na masuala ya haki za binadamu, wametakiwa kushrikiana na Asasi za Kiraia na Mashirika Yasiyo ya...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2021OFISI ya Bunge la Tanzania imesema, wabunge kama ilivyo kwa watumishi wengine wa umma na viongozi wa kisiasa nchini humo, wanakatwa kodi...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameiomba Serikali iongeze vituo vya kutolea huduma ya chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19). Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2021BARAZA la Vijana la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema (Bavicha), limedai kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro,...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema kinasubiri taarifa rasmi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuhusu kujiuzulu kwa Mbunge mteule wa Konde, visiwani...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Venance Mabeyo, kufuatia kifo...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2021ELIAS Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) nchini Tanzania, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amewataka madereva na makodakta wa vyombo vya usafiri jijini kutowabeba abiria wasiovaa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amekitaka chama kikuu cha upinzani nchini humo, Chadema na wadau wengine, kuiachia mahakamana...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka vijana waliopata ufadhili wa Serikali kupitia programu maalum ya kupata mafunzo ya ufundi stadi watumie...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021SHEHA Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amejiuzulu nafasi hiyo ikiwa ni siku 15, tangu alipotangazwa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa,Miji na Wilaya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania ameipongeza timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 23 (U23), kwa kutwaa ubingwa wa mashindano...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2021HATIMA ya kufutwa au kupunguzwa kwa tozo ya miaka ya mitandao ya simu itajulikana wakati wowote kuanzia sasa, baada ya kamati iliyoundwa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2021WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, imevitaka vyuo vikuu na taasisi zingine za elimu kufanya mapitio ya mitalaa ili iweze...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2021WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile, ameiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), isikwamishe utoaji leseni za usajili kwa...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2021