Mwanamitindo na mfanyabiashara kutoka Marekani, Kylie Jenner (24) pamoja na mpenzi wake ambaye ni Msanii wa rap, Jacques Bermon Webster maarufu kama Travis...
By Glory MassamuFebruary 7, 2022HALI ya majonzi imetanda katika Chuo kikuu cha Laikipia nchini Kenya baada ya mwanafunzi mmoja wa kike kuuawa kinyama kwa kuchomwa kisu...
By Glory MassamuSeptember 30, 2021WAPALESTINA wawili wauawa na vikosi vya Israel kwenye matukio tofauti huko Palestina. Anaripoti Glory Massamu TUDARCo kwa msaada wa mitandao ya kimataifa...
By Glory MassamuSeptember 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeshakamilisha kitini kinachotoa muongozo wa namna mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s) yatanufaika na misamaha ya kodi....
By Glory MassamuSeptember 30, 2021RAIS wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un maarufu kama ‘Kiduku’ kutokana na staili yake ya nywele, amesimamia urushwaji wa kombora la masafa mafupi...
By Glory MassamuSeptember 28, 2021PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania amesema, Serikali itahakikisha fedha zinazotolewa na wadau mbalimbali wa maendeleo kwa...
By Glory MassamuSeptember 28, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi wa dini wa Kanisa la Anglikana Tanzania kurudi kwenye misingi ya kimaadili ya kanisa...
By Glory MassamuSeptember 28, 2021KITENDO cha msanii wa Bongofleva kutoka lebo Wasafi Classic Baby (WCB) na mwanzilishi wa lebo Next Level Music, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ kutangaza...
By Glory MassamuSeptember 24, 2021KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametamba kuwa Yanga itakuwa tishio ndani ya Tanzania na Afrika kwa ujumla kutokana na wachezaji wazuri...
By Glory MassamuSeptember 24, 2021MPANGO wa Taifa wa Damu Salama umebadilisha mwelekeo wake wa kuigeukia jamii ili kukusanya damu kwa ajiri ya kukabiliana na changamoto ya...
By Glory MassamuSeptember 22, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu Geita (GGML) kwa kutoa ajira zaidi ya 5000 kwa Watanzania huku asilimia zaidi ya...
By Glory MassamuSeptember 22, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, George Simbachawene amesema, kwa sasa hakuna umuhimu wa Katiba mpya kwani iliyopo inajitosheleza na imeivusha...
By Glory MassamuSeptember 22, 2021SERIKALI ya Marekani chini ya utawala wa Rais Joe Biden inaendelea na mpango wake wa kuwarudisha nyumbani wahamiaji kutoka Haiti. Anaripoti Glory...
By Glory MassamuSeptember 18, 2021WAENDESHA mashtaka nchini Uganda wamewaongezea mashtaka ya ugaidi wabunge wawili wa chama cha upinzani nchini humo – National Unity Party (NUP). Anaripoti...
By Glory MassamuSeptember 16, 2021KIMBUNGA Nicholas kimetokea Texas nchini Marekani na kusababisha mvua kubwa, kuharibu miundobinu ya barabara na majengo. Anaripoti Glory Massamu, TUDARCo … (endelea)....
By Glory MassamuSeptember 14, 2021SERIKALI ya Tanzania, imewaomba wananchi waachane na mila potofu wasikwamishe zoezi la sensa ya watu na makazi, litakaoiwezesha Serikali kuweka mipango bora...
By Glory MassamuSeptember 14, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwa kuwa zoezi la sensa sio geni… muda utakapofika kila Mtanzania ajitokeze kuhesabiwa kwani sensa...
By Glory MassamuSeptember 14, 2021KAMISAA wa Sensa upande wa Tanzania Bara, Anne Makinda amewataka Watanzania wajione fahari kuhesabiwa kwa kuwa ni aibu kutohesabiwa katika sensa ya...
By Glory MassamuSeptember 14, 2021SERIKALI imepanga wa kuongeza upanuzi wa shule 100 ili ziwe na uwezo wa kupokea wanafunzi wa kidato cha tano na sita. Anaripoti...
By Glory MassamuSeptember 10, 2021RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameahidi kumpiga Joe Biden ambaye ni Rais wa sasa, kama itatokea likaandaliwa pambano litakalowakutanisha ulingoni...
By Glory MassamuSeptember 10, 2021MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM), Juliana Shonza ameitaka Serikali ieleze ni lini jingo la Hospitali ya Tunduma, Mkoa wa Songwe litafunguliwa. Anaripoti...
By Glory MassamuSeptember 8, 2021MBUNGE wa Muhambwe mkoani Kigoma (CCM), Dk. Florence Samizi, ameihoji Serikali lini itatekeleza ahadi ya ujenzi wa Kituo cha Afya, cha Kata...
By Glory MassamuSeptember 2, 2021WABUNGE wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamehoji mikakati ya Serikali kutokomeza changamoto ya ucheleweshaji wa mafao ya wastaafu...
By Glory MassamuSeptember 2, 2021RAPA kutoka Marekani, Dominique Jones ‘Lil Baby’ amejitolea kumsaidia Msanii Pierre Delince (Jack Boy) katika ujenzi wa hospitali huko nchini Haiti. Anaripoti...
By Glory MassamuSeptember 2, 2021WATAFITI na wanataaluma wa vinasaba nchini wamesema kuna uhitaji mkubwa ufanyikaji wa utafiti za vinasaba vya binadamu ili kubaini vyanzo mbalimbali vya...
By Glory MassamuAugust 31, 2021MSANII wa muziki kutoka Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogum ‘Wizkid’, leo ameachia Deluxe Edition ya albamu yake ya ‘’Made in Lagos.’’ Anaripoti Glory...
By Glory MassamuAugust 27, 2021