Monday , 5 June 2023
Home mashaka
60 Articles0 Comments
Habari Mchanganyiko

Bajeti 2021/22: bodaboda, bajaji ‘faini buku 10’

  WAZIRI wa Fedha na Mipango Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza, kupunguza tozo kwa makosa yanayofanywa barabarani na pikipiki maarufu ‘bodaboda na Bajaji...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ushuru bidhaa ya bia kupunguzwa 2021/22

  WAZIRI wa Fedha na Mipango Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza kufanya ushuru wa bidhaa ikiwemo bia kuanzia mwaka wa fedha 2021/22. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Marekebisho VAT ya Tanzania, Zanzibar kufanyika 2021/22

  WAZIRI wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amependekeza marekebisho ya Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ili kurudisha...

Habari Mchanganyiko

Bajeti 2021/22: Mabadiliko makubwa Jeshi la Polisi

  WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, kuanzia mwaka wa fedha 2021/22, askari wa Jeshi la Polisi wataingia...

Habari za Siasa

Tril. 13.3 kugharamia miradi ya maendeleo 2021/22

  TAKRIBANI Sh. 13,326.8 bilioni sawa na Sh. 13.326 trilioni, zinatarajiwa kutumika katika utekelezaji miradi ya maendeleo, kwenye mwaka wa fedha wa 2021/22....

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai aomba Rais Samia aitishe mkutano wa wanaume

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amemwomba Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kufanya kikao maaluma na wanaume pekee. Anaripoti...

Habari za Siasa

Jaffar Haniu amrithi Msigwa Ikulu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaffar Mohamed Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu). Anaripoti Jemima Samwel, DMC …...

Elimu

Majaliwa aagiza kufufuliwa madarasa MEMKWA

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote nchini (DED), kuhakikisha wanafufua madarasa kwa ajili ya Mpango wa Elimu...

Habari Mchanganyiko

Makalla amtaka Kamanda Muliro kukomesha uhalifu Dar

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amemuagiza Kamanda mpya wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne...

Michezo

Umitashumta, Umisseta yazinduliwa, Majaliwa atoa maagizo

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameagiza ufundishaji wa somo la elimu kwa michezo ufanyike kwa wanafunzi wote katika Shule za Msingi...

Habari za Siasa

Rais Samia awapa kibarua wanawake

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaomba wanawake wamuunge mkono katika uongozi wake, ili alifikishe Taifa sehemu nzuri. Anaripoti Jemima Samwel, DMC...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hatma kesi ya wadhamini ‘kumtosa’ Lissu kujulikana Julai 5

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kutoa uamuzi wa pingamizi la Jamhuri dhidi ya kesi Na. 2/2020, iliyofunguliwa na wadhamini wa Tundu...

Habari Mchanganyiko

Mbunge ahoji sababu ofisi za CCM kugeuzwa Mahakama

  MBUNGE wa Kalambo mkoani Rukwa (CCM), Josephat Kandege, amehoji sababu za jengo la Chama cha Mapinduzi (CCM), kutumiwa na Mahakama ya Wilaya...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aagana na Balozi wa China, asema…

  RAIS wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan, ameagana na aliyekuwa Balozi wa China nchini humo, Wang Ke, ambaye amemaliza kipindi chake cha uwakilishi....

Elimu

Mfumo wa elimu Tanzania kujadiliwa

  HUSNA Sekiboko, mbunge wa viti maalum, aiomba Serikali ya Tanzania, kufanya marekebisho ya mtaala wa elimu ya msingi na sekondari. Anaripoti Jemima...

Habari Mchanganyiko

CCBRT yaita watoto wenye mguu kifundo

  HOSPITALI ya CCBRT, imetoa wito kwa wazazi wanaojifungua watoto wenye tatizo la mguu kifundo, kuwafikisha hospitali mapema kwa ajili ya kupatiwa matibabu....

Habari za Siasa

Majaliwa abanwa bungeni fedha za miradi kurudi hazina

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amebanwa bungeni kuhusu utaratibu wa fedha za miradi zinazochoelewa kutumika, kurudishwa katika Mfuko Mkuu wa Hazina...

Habari Mchanganyiko

Kijiji Matinje kupelekewa mawasiliano

  SERIKALI ya Tanzania, inakusudia kutatua matatizo ya mawasiliano Kijiji cha Matinje Ikombandulu, ambalo ni eneo la machimbo lenye idadi kubwa ya watu...

Habari Mchanganyiko

Mbunge alilia deni bilioni 5 la wananchi, Bashe amjibu

  ISSA Mchungahela, mbunge wa Lulindi (CCM), mkoani Mtwara, ameiomba Serikali ya Tanzania, kuwalipa wananchi wanaodai miche ya mikirosho, deni ambalo lina muda...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaanza kuondoa mgogoro wa Tarura, wabunge

  SERIKALI ya Tanzania, imeanza kuondoa changamoto ya ukata wa fedha, katika Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura), baada ya Mfuko...

AfyaHabari Mchanganyiko

Hospitali ya Rorya kuanza upasuaji Desemba 2021

  SERIKALI ya Tanzania imesema, Hospitali ya Halmashauri ya Rorya mkoani Mara, inatarajiwa kuanza kazi rasmi mwezi Desemba 2021. Anaripoti Jemima Samwel, DMC...

Habari za Siasa

Ubadhirifu watawala mikopo ya halmashauri, Serikali kuja na kibano

  SERIKALI ya Tanzania, imesema iko mbioni kuanzisha utaratibu wa kutoa vifaa badala ya fedha, katika mikopo inayotolewa na halmashauri, kwa vikundi vya...

Habari za Siasa

Ateuliwa, atumbuliwa kabla ya kuapishwa

  SAA 48 kabla ya Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) kuapishwa, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Azza Hilal Hamad....

Habari Mchanganyiko

Sakata mahindi yenye sumu lawaibua TPSF

  SAKATA la kuzuiwa kwa mahindi yaliyodaiwa kuwa na sumu kuvu, katika mpaka wa Namanga mkoani Arusha, unaounganisha nchi ya Kenya na Tanzania,...

Habari Mchanganyiko

Tumthamini mwanamke, kulinda utu wake

  WAKATI leo tarehe 28 Mei 2021, dunia ikiadhimisha siku ya hedhi, bado jamii inahitaji uelewa mpana kuhusu suala zima la hedhi salama...

Afya

Mfumo kudhibiti vifo vya wajawazito waja

  WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, inatarajia kuanzisha mfumo wa ufuatiliaji taarifa za wajawazito, ili kupunguza vifo vya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe awachongea maafisa Takukuru kwa Rais Samia

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, awachukulie hatua maafisa wa Taasisi ya Kuzuia...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ashauri taasisi huru ziundwe kuidhibiti Serikali

  MBUNGE Viti Maalum mkoani Tanga (CCM), Mhandisi Mwanaisha Ulenge, amesema kuna haja ya nchi kuwa na taasisi huru, iitakayodhibiti utendaji wa wizara...

Habari za Siasa

Serikali hatarini kupoteza 100 Bil, Mdee amkaba Lukuvi

  MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Halima Mdee, amesema Serikali iko hatarini kupoteza Sh. 100 bilioni, endapo itavunja mkataba wa mradi...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru alipa kibarua Bunge

  MBUNGE wa kuteuliwa na Rais, Dk. Bashiru Ally, amelishauri Bunge la 12 lijikite katika ajenda za kuchochea mapinduzi ya kilimo, kama Bunge...

Habari Mchanganyiko

Watano mbaroni kwa tuhuma za mauaji Dar

  Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu watano, wanaotuhumiwa kumuuwa aliyekuwa mlinzi wa Baa, Regan Sylvester. Anaripoti Jemima...

Habari Mchanganyiko

Mrithi wa Mambosasa akunjua makucha

KAMANDA wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Camillius Wambura, amesema ameanzisha operesheni maalum ya kupambana na wahalifu wanaotumia...

Afya

Mbunge alia ukosefu X-Ray, Serikali yatoa agizo

  WIZARA ya Ofisi ya Rais-Tamisemi, imeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, itumie mapato yake ya ndani, kununua kipimo cha kuchunguza...

Habari za Siasa

Spika Ndugai awapa masharti wabunge

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka wabunge kuacha ngonjera katika kipindi cha maswali na majibu, ili kuokoa muda. Anaripoti Jemima...

Afya

Milioni 500 kuboresha hospitali wilaya Iringa

  SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 500 milioni kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya watoto, wanaume na wanawake ya magonjwa mchanganyiko hospitali...

Habari Mchanganyiko

Mbunge Nyongo ahoji barabara Maswa-Lalago, serikali yamjibu

  MBUNGE wa Maswa Mashariki (CCM), Stanslaus Nyongo, amehoji lini serikali itaanza ujenzi wa barabara kwa kiwamgo cha lami ya Maswa hadi Lalago....

Habari Mchanganyiko

Mbunge ahoji huduma za afya wazee na watoto, Silinde amjibu

  GRACE Tendega, Mbunge viti maalumu (asiye na chama), ameitaka serikali ya Tanzania, kuona umuhimu wa huduma za afya kwa wazee, watoto na...

Habari Mchanganyiko

Wang’aka mauaji mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, IGP…

  WIKI mbili baada ya mauaji ya mtoto mwenye ualbino, mkoani Tabora, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kwa kusirikiana na...

Habari za Siasa

Mbunge ahoji ubovu barabara za Singida, Serikali yamjibu

  AYSHAROSE Mattenbe, Mbunge viti maalumu (CCM), ameitaka serikali kuona umuhimu wa kuzijenga barabara zinazounganisha jimbo la Singida Kaskazini mkoani humo. Anaripoti Jemima...

Habari za Siasa

Mwakagenda ahoji ubovu barabara, Silinde amjibu

  SOPHIA Mwakagenda, Mbunge viti maalumu (asiye na chama), amehoji lini barabara ya Kiloba Ngugilo yenye urefu wa kilometa saba itajengwa ili kurahisisha...

Habari Mchanganyiko

Mbunge aomba Serikali iimarishe mawasiliano Igalula

  MBUNGE wa Igalula mkoani Tabora (CCM), Venant Daudi, ameiomba Serikali ipeleke mawasiliano ya simu kwenye vijiji vya jimbo hilo. Anaripoti Jemima Samwel...

Habari Mchanganyiko

‘Sheria uhujumu uchumi inatumika kama nyundo’

  PETER Madeleka, Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania na mtetezi wa haki za binadamu, amedai sheria ya uhujumu uchumi inatumika kama nyundo kwa...

Habari Mchanganyiko

Bil 3.61 kutumika ujenzi barabara ya Lumecha – Londo

  SERIKALI imetenga jumla ya Sh. 3.61 bilion kwa ajili ya matengenezo ya barabara ya Lumecha – Londo. Anaripoti Jemima Samwel DMC…(endelea). Kauli...

Michezo

Wachezaji Simba, Yanga kufturu wakati wa mchezo

  KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi (Simba na Yanga) Shirikisho  la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa wachezaji wa timu zote mbili...

Habari Mchanganyiko

Bara, Z’bar kumaliza utata bei ya umeme

  SERIKALI ya Tanzania na ile ya Zanzibar zitakutana, kujadili na kushughulikia bei ya kuuza na kununua umeme. Anaripoti Jemima Samwel DMC …...

Habari za Siasa

Serikali yaweka nguvu barabara ya Handeni – Kiteto -Singida

  SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 6 Bilioni kwa ajili ya kuanza maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Handeni – Kiberashi – Kiteto...

Habari Mchanganyiko

Kero Daraja Mto Buhu kumalizwa

  GHARAMA za ujenzi wa Daraja la Mto Buhu (Munguri B), lililopo Kondoa, mkoani Dodoma, zitaingizwa katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2021/22....

Elimu

Mil 250 kukamilisha zahanati Minyeye, Mnung’una, Msikii

  SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 250 milioni kwa ajili ya kukamilisha maboma matano ya Zahanati ya Minyeye, Mnung’una na Msikii katika Wilaya...

Habari Mchanganyiko

Vijana kupatiwa mbinu tete, stadi za maisha

  NUSRAT Hanje, Mbunge wa Viti Maalum asiye na chama bungeni, ameihoji serikali ni kwanini haioni umuhimu wa kurekebisha mfumo wa elimu na...

Habari za Siasa

Watumishi 99 wadai milioni 300, Silinde atoa maagizo

  NASHON Bidyanguze, Mbunge wa Kigoma Kusini (CCM), amehoji lini watumishi waliohamishiwa halmashauri ya Uvinza kutoka Kigoma Vijijini watalipwa stahiki zao. Anaripoti Jemima...

error: Content is protected !!