Thursday , 28 March 2024
Home maalum
82 Articles14 Comments
Habari MchanganyikoKimataifa

Masikini Abdul! apigwa risasi ya kichwa, yupo taaban

IJUMAA ya tarehe 12 Julai 2019, imebaki katika kumbukumbu hasi kwa wakazi wa Kijiji cha Kufr Qaddoum kilichopo Kaskazini mwa Mji wa West Bank. Inaripotiwa...

Makala & Uchambuzi

Nyalandu asimulia mkasa wake na polisi, Takukuru

NAWASHUKURU sana wote walioguswa na mkasa ulionisibu katika saa ya kujaribiwa kwangu mnamo majira ya 8:30 mchana Jumatatu, tarehe 27 Mei 2019. Anaandika Lazaro...

Makala & Uchambuzi

RA Mengi: Tasnia ya habari itakukumbuka

NI matarajio yangu kuwa siku historia ya vyombo vya habari katika Tanzania katika robo karne itakayopita itakapoandikwa, basiwaandishi wa historia hiyo watampa nafasi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Uporaji nyumbani kwa Dk. Mengi

WATU ambao hawajatambulika, wamepora vito vya thamani wakati wa shughuli ya maziko ya mfanyabiashara na aliyekuwa mkurugenzi wa kampuni zilizo chini ya IPP...

Makala & Uchambuzi

Ya Joshua Nassari na ubunge wake

NIMESOMA yanayomhusu Joshua Samwel Nassari, mbunge wa Arumeru Mashariki, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu kuvuliwa ubunge wake. Nimeona hapa kuna...

Kimataifa

Magaidi wavamia, waua 49 msikitini New Zealand

HALI ya taharuki, wasiwasi na hofu imetanda kwa saa kadhaa katika mji wa Christchurch nchini New Zealand baada ya watu kadhaa kufanya shambulizi...

Michezo

Kocha Zahera: Naondoka Yanga SC

MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, anaumizwa na tabia ya wana Yanga kushindwa kuisaidia klabu yao, na sasa ataondoka. Anaripoti Mwandishi Maalum...

Habari za Siasa

Tuhuma za ushirikina zamtisha Waziri Majaliwa

MIGOGORO, kutoelewana na tuhuma za ushirikina kwa wafanyakazi wa serikali zimekuwa zikisababisha kupungua kwa ufanisi katika utendaji kazi ofisini. Anaripoti Mwandishi Maalum … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Serikali yatupia lawama vyama vya ushirika ununuzi korosho

SERIKALI imetupia mzigo vyama vya ushirika kwa kutofanya kazi yao ipasavyo ya kuwasajili na kuwatambua wakulima wa korosho. Anaripoti Mwandishi Maalum…(endelea) Japhet Hasunga,...

Habari za Siasa

Kuporwa mafao ya Wafanyakazi, dhambi ya Bunge au tunalishwa matango pori?

WAKUBWA zangu salaam. Mimi ni Mbunge na kwa hiyo ninaweza kusemwa nina maslahi katika mjadala huu. Ninayo kweli. Anaandika Tundu Lissu, Ubelgiji …...

Habari za Siasa

Tundu Lissu amvaa tena Rais Magufuli

KWA mara nyingine tena Rais Magufuli ametoa kauli yenye ukakasi mkubwa kwa Uhuru wa Mahakama. Anaandika Tundu Lissu, Ubelgiji … (endelea).  Iko hivi:...

Makala & UchambuziTangulizi

Kesi ya Abdul Nondo: Mahakama yathibitisha uongo wa Polisi

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Iringa imetoa hukumu yake katika kesi iliyokuwa inamkabili kiongozi wa Programu ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP),...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mo aitwa Singida, wazee wataka kufanya yao

MFANYABIASHARA maarufu Mohammed Dewji ‘Mo’ ameombwa kwenda mkoani Singida ili apozwe machungu. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea). Akizungumza na wanahabari kwenye viwanja vya...

Makala & UchambuziTangulizi

Ya TANU, Afro Shirazi sio ya CCM

UBINAFSISHAJI ni sera ya Benki ya dunia, ulioanza kutekelezwa toka awamu ya pili ya utawala wetu ikiwa ni kipindi cha mpito cha kuondokana...

Makala & Uchambuzi

Rangi ya CCM ni ile ile

WAKATI wa Rais Jakaya Kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005, alianza kwa makeke yaliyomsisimua kila Mtanzania.Anaandika Mhode Mkasimongwa … (endelea). Moja ya makeke hayo...

Habari za SiasaTangulizi

Utabiri wa Lema haukufika kwa Millya?

KATIKA siku za hivi karibuni, mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Gobless Lema, alijizolea umaarufu wa kutabiria wabunge wenzake, kuondoka chama hicho na kujiunga...

Makala & Uchambuzi

Upya wa CCM na matendo ya kale  

UKIWAKUTA walevi wanasifiana unaweza ukashangaa ni jinsi gani wamehitimu katika sanaa ya kupeana ujiko. Ni kama mashindano ya nani anaweza kutoa sifa zaidi...

Habari za Siasa

Lugola, Polisi watoke mafichoni kujibu maswali haya  

TUKIO la dereva wa basi la daladala maarufu Hiace, Andrew Kiwia, limeibua maswali yasiyo na majibu hasa baada ya kauli ya kamanda wa...

Habari Mchanganyiko

Polisi wasusiwa maiti Moshi, wamtaka Kangi Lugola

NDUGU wa marehemu Andrew Kiwia, aliyekuwa dereva wa Hiace wamesusa kuchukua mwili wa ndugu yao. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea). Ndugu hao wameeleza...

Makala & Uchambuzi

Kujivika utukufu ni kujivika uzuzu

WAPENDWA tuanze maandiko ya leo kama tulivyoanza maandiko ya mara ya mwisho. Tulikumbushana kuwa sisi wote tumekutana katika nchi hii pasipo wenyewe kuridhia!...

Habari MchanganyikoTangulizi

Waliofariki MV Nyerere wafika 94

IDADI ya watu waliofariki dunia katika ajali ya kivuko cha MV. Nyerere katika Ziwa Victoria jana. Anaripoti Mwandishi Maalum … (endelea). Mpaka kufika...

MichezoTangulizi

Huwezi kujua kesho ya mpinzani wako

SITAKI kumtetea Patrick Aussems na wala sitaki kusimama upande wa Masoud Djuma lakini najisikia kusema jambo dogo tu baada ya dakika 90 pale...

Makala & Uchambuzi

Nani aliyeomba kuzaliwa Tanzania?

WAPENDWA sisi wote tumekutana katika nchi hii pasipo wenyewe kuridhia! Anaandika Mwalim Mkuu wa Walimu…(endelea). Hakuna kati yetu aliyeomba azaliwe katika nchi hii...

Habari za Siasa

Ngono chap chap yapigiwa chapuo bungeni  

 SUSAN Lyimo, Mbunge wa Viti Maalum Chadema ametaka kutengenezwa mazingira ili wanaotaka kufanya ngono haraka, wawe  na amani. Anaandika Mwandishi Maalum…(endelea). Lyimo ameitaka...

Habari za SiasaTangulizi

Lema apigwa, visu vyatamba Arusha

GODBLESS Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ameshushiwa kipigo kutoka kwa walinzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Mwandishi Maalum Arusha … (endelea). Tayari...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu amvaa Jaji Mutungi, ampa neno zito

MWANASHERIA wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi aache vitisho vya...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

La Prof. Kabudi, Zanzibar na mtego wa Komba

KOMBA amepewa sifa nyingi za ujanja. Kwa wanaomjua wanampa sifa nyengine, nayo ni ya ujasiri. Anaandika Othman Masoud Othman … (endelea). Anapotafuta anachokitaka, hachelei...

Habari Mchanganyiko

Jeshi ladaiwa kutembeza kipigo uraiani

WATU waliovalia mavazi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wamevamia kijiji cha Kisemvule, wilayani Mkuranga, mkoani Pwani na kuwashambulia wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

Baada ya kutenda mema, wakasema ASULUBIWE!

NIMEINGIA Wizara ya Maliasili na Utalii kwa uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete, Mnamo Februari 10, 2014, na nimefanya kazi ya Uwaziri kwa takribani...

Habari za SiasaTangulizi

Ikulu yatuhumiwa

IKULU ya Tanzania, kupitia ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, imewaandikia wafanyakazi wa iliyokuwa kampuni ya uchapishaji ya Printpak (T) Limited kuwaeleza kwamba suala...

Makala & Uchambuzi

Uteuzi wa mawaziri, umesheheni matundu

Na Mwandishi Maalum RAIS John Pombe Magufuli, ametangaza mabadiliko katika baraza lake la mawaziri kwa kuondoa baadhi, wengine kuwahamisha na wapya kuingizwa. Miongoni...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili Kibatala afunguka sakata la Tundu Lissu

BAADA ya tukio la kijinga, la kitoto, lisilo na mantiki wala lisilojenga heshima yoyote kwa washambuliaji; la kushambuliwa kwa risasi Rais wa Chama...

error: Content is protected !!