UONGOZI wa klabu ya Soka ya Biashara United kutoka mkoani Mara, umesema kikosi chao kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kombe...
By Wiston JosiaOctober 14, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza, Tony Blair. Anaripoti Wiston Josia, TUDARCo...
By Wiston JosiaSeptember 29, 2021KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Satrs’ Kim Poulsen amewaitaka kambini wachezaji 25 wawiwemo Jonas Mkude na John Bocco....
By Wiston JosiaSeptember 27, 2021ALIYEKUWA golikipa namba moja wa mabingwa wa kihistoria Yanga ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, Metacha Mnata amesajiliwa na maafande wa...
By Wiston JosiaSeptember 27, 2021LIGI kuu ya Hispania maarufu kama ‘La liga Santander’ jana tarehe 22 Septemba imeendelea kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali huku mshambuliaji wa...
By Wiston JosiaSeptember 23, 2021KLABU ya soka ya Simba imeingia mkataba na kampuni ya Emirates Aluminium leo 21 septemba 2021 katika makao makuu ya Emirates Aluminium...
By Wiston JosiaSeptember 21, 2021JOTO la miamba ya soka nchini Tanzania maarufu Kariakoo Derby limeanza kushika kasi kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza viingilio ambavyo...
By Wiston JosiaSeptember 21, 2021KLABU ya soka ya Yanga leo imeingia makubaliano maalumu ya kutangaza vivutio vya utalii kwa viwani Zanzibar na Mlima wa Kilimanjoro kupitia...
By Wiston JosiaSeptember 17, 2021ALIYEKUWA Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania, kati ya mwaka 1991-2006, Profesa Matthew Luhanga (73), amefariki...
By Wiston JosiaSeptember 17, 2021TIMU ya Real Madrid imeitandika Celta Virgo mabao 5-2, jana tarehe 12 Septemba, 2021 kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu liliopo jijini Madrid Hispania....
By Wiston JosiaSeptember 13, 2021KLABU ya soka ya Coastal Union imemtambulisha Kocha wake mpya, Melis Medo kwa mkataba wa miaka miwili, leo tarehe 30 Agosti, 2021...
By Wiston JosiaAugust 30, 2021YES ni siku kubwa. Kilele cha Wiki ya Wananchi. Hakuna ubishi hii ndiyo Yanga Afrika. Mabingwa wa Kihistoria nchini Tanzania. Anaripoti Wiston Josia,...
By Wiston JosiaAugust 29, 2021TIMU ya Taifa ya wanawake nchini ‘Twiga Stars’ imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kukubali kudhamini...
By Wiston JosiaAugust 26, 2021STAA wa Arsenal aliyekuwa na ukame wa magoli, Pierre-Emerick Aubameyang jana tarehe 25 Agosti, 2021 amezinduka na kuifungia timu yake magoli matatu...
By Wiston JosiaAugust 26, 2021KLABU ya Azam imeanza mazoezi yake ya maandalizi ya msimu ujao 2021/22 katika kambi iliopo mji wa Ndola nchini Zambia. Anaripoti Wiston...
By Wiston JosiaAugust 24, 2021KLABU ya Soka ya Yanga itaweka wazi benchi lake la ufundi kwenye kilele cha siku ya Mwananchi, mara baada ya kuwepo kwa...
By Wiston JosiaAugust 20, 2021KLABU ya soka ya Simba imefanikiwa kunyaka saini ya kiungo mshambuliaji Jimmyson Mwanuke (18) kutoka klabu ya Gwambina FC yenye maskani yake...
By Wiston JosiaAugust 18, 2021