Thursday , 28 March 2024
Home kubenea
63 Articles8 Comments
Makala & Uchambuzi

Lazaro Nyalandu hakamatiki

KILICHOITWA na watawala, “Operesheni Tokomeza” iliyoishia kujiuzulu kwa waziri mmoja na kufutwa kazi mawaziri watatu wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, yaweza kuwa...

Makala & Uchambuzi

Wananchi hawali takwimu, wanakula uchumi

Na Saed Kubenea MSEMAJI wa serikali, Dk. Hassan Abass, amekana madai kuwa uchumi wa taifa unayumba, mfumuko wa bei umeongezeka na mifuko ya...

Makala & Uchambuzi

Sakata la Madiwani Arusha; Takukuru, Maadili kazi kwenu

MBUNGE wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari, sasa aweza kuwa “amefunga rasmi” mgodi wa ununuzi wa madiwani wa upinzani uliobuniwa na viongozi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Nassari aanika ushahidi wa CCM kununua madiwani

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ameanika ushahidi mwanana kuhusiana na mradi wa ununuzi wa madiwani, anaandika Saed Kubenea....

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu aibuka, awahutubia mawakili kwa simu

RAIS wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu ameibuka na kusema, “vijembe vinavyorushwa na Ummy Mwalimu,” waziri wa afya na ustawi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Jerry Muro asiye na fadhila

NIMESOMA kilichoitwa na Jerro Muro, “ushauri kwa wanasheria nchini ” juu ya msimamo wao wa kutohudhuria mahakamani leo (Jumanne) na kesho, anaandika Saed...

Habari za Siasa

Magufuli anashitakika

RAIS John Magufuli, anaweza kushitakiwa kwa makosa aliyoyatenda wakati akiwa waziri wa Ujenzi katika serikali ya Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, anaandika Saed...

Habari za SiasaTangulizi

Walioshikilia Bombadier wamlima barua JPM

KAMPUNI ya mawakili nchini Canada – Irving Mitchell Kilichman (IMK) – imemlima barua Rais John Magufuli, iliyosheheni masharti mazito ya kuachiwa ndege yake...

Habari za SiasaTangulizi

Bombardier ya Magufuli kupigwa mnada

NDEGE iliyonunuliwa na Rais John Magufuli, nchini Canada, aina ya Bombardier Q400, imekamatwa nchini humo na iko hatarini kuuzwa kwa mnada, anaandika Saed...

Habari za SiasaRipoti

Rais Magufuli: Mtoto akipata mimba asirudi shule

RAIS John Magufuli amepiga marufuku wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito wakiwa shuleni, kurejea na kuendelea na masomo baada ya kujifungua, anaandika Saed Kubenea....

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu akamatwa tena

JESHI la polisi limemkamata mwanasiasa machachari nchini na mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, anaandika Saed Kubenea. Lissu ambaye amepitishwa na Chama...

Habari MchanganyikoTangulizi

Uchaguzi TLS, Dk. Mwakyembe aanza kupukutika

WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, siyo mjumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) na hivyo...

Gazeti la MwanaHALISI
HabariTangulizi

Taarifa kuhusu mwaka mmoja wa kufungiwa MwanaHALISI

NI mwaka mmoja kamili leo (30 Julai 2013) tangu serikali ifungie gazeti la MwanaHALISI. Kifungo kinaendelea chini ya amri ya kuzuia uhapishaji “kwa...

error: Content is protected !!