Friday , 19 April 2024
Home kelvin
1174 Articles83 Comments
Michezo

Klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara zamlilia Mkapa

BAADHI ya klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara zimetuma salamau za rambirambi kufuatia kifo cha Aliyekuwa Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa...

Habari za Siasa

‘Serikali imuenzi Mkapa kwa utawala bora’

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa wito kwa serikali kumuenzi Hayati Benjamin Mkapa katika dhana yake ya utawala bora. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar...

Habari Mchanganyiko

Corona yawaibua shirika la usawa wa kijinsia

SHIRIKA la Usawa wa Kijinsia leo limeendesha semina ya siku mbili kwa waathirika wote wa maswala ya jinsia katika sehemu zao za kazi...

Habari za Siasa

Gwajima: Tutaishinda Chadema kabla ya sadaka ya kwanza

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni mtu pekee atakayeweza kurudisha jimbo la Kawe kwenye himaya ya Chama...

Habari za Siasa

Dk. Mashinji: Nichagueni mimi, Kawe Tuna jambo letu

ALIYEKUWA katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema), Dk. Vincent Mashinji amewaomba wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

Michezo

Samatta dimbani leo dhidi ya Arsenal

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta leo atashuka tena dimbani kwenye Ligi Kuu nchini England ambapo klabu yake ya...

Habari za Siasa

Mtulia: Yawezekana sijaiva kimkakati CCM lakini sijashindwa

MAULID Mtulia, mbunge anayemaliza muda wake wa Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amekubali matokeo na kukiri yeye bado...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Mtulia chali Kinondoni, Tarimba apeta

MAULID Mtulia, Mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam, ameshindwa kutetea nafasi yake katika kura za maoni za Chama...

Habari za Siasa

Ubunge CCM: Dk. Mashinji ajitosa Kawe, Nassari arudi Arumeru Mashariki

KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vicent Mashinji amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi...

Michezo

Ubingwa ‘La Liga’ Madrid yatawazwa rasmi

KLABU ya Real Madrid ya Hispania jana ilitangwazwa mabingwa wapya wa Ligi kuu nchini humo (La Liga), baada ya kuibuka na ushindi wa...

Habari za Siasa

Barua ya Membe yasomwa ukumbini

BARUA iliyoandikwa na BERNARD Kamillius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tanzania kwenda kwa Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif...

Habari za Siasa

Ubunge CCM: ‘Wateule wa Rais’ wachongewa, CDF na Samia watoa neno

ALBERT Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC) amewachongea wateule wa Rais John Pombe Magufuli waliokimbilia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika kinyang’anyiro...

Michezo

UEFA yaitoa Man City kifungoni

SHIRIKISHO la mpira wa miguu barani ulaya (UEFA) imeifungulia klabu ya Manchester city kutoka kwenye kifungo cha kutoshiriki michuano ya klabu bingwa barani...

Habari za SiasaTangulizi

Wahariri Tanzania wataka uwazi wa CCM uhamie NEC, Mahakama na Bunge

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limetoa pongezi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuruhusu kurushwa moja kwa moja (live) kwenye vyombo vya habari,...

Habari za Siasa

Susan Lymo: Napigania Jimbo la Kinondoni 2020

SUSAN Lymo, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ni miongoni mwa wanasiasa wanaonyatia Jimbo la Kinondoni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Sheikh Ponda ataja sifa za wagombea uchaguzi mkuu

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, ametaja sifa za wagombea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Kelvin...

Habari za SiasaTangulizi

Mgombea urais Z’bar anatoka bara? Dk. Bashiru afafanua

HOJA kwamba, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar, anachaguliwa Tanzania Bara imepingwa na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa chama...

Michezo

Morrison ‘akwea pipa’ kuifuata Kagera

WINGA wa klabu ya Yanga, Bernard Morrison amesafiri kwenda kuungana na kikosi cha Yanga kinachoelekea mkoani Kagera, kuvaana na wenyeji wao Kagera Sugar...

Michezo

Solskjaer ampigia chapuo Greenwood England

Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amempigia debe kinda wake, Mason Greewood katika kikosi cha timu ya Taifa ya England, kutokana na...

Kimataifa

Mauaji ya watu 166 Ethiopia

JESHI la Polisi nchini Ethiopia, limethibitisha mauaji ya watu 166, raia wa taifa hilo kwenye maandamano ya kulaani mauaji ya mwanamuziki Haacaaluu Hundeessa. Inaripoti...

Michezo

Simba bado mbili, Yanga yaishusha Azam FC

MICHEZO nane imechezwa leo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, ambapo klabu ya Yanga imefanikiwa kuishusha Azam FC kwenye msimamo baada ya kuibuka na...

Michezo

Yanga mguu sawa kuikabili Kagera

USHINDI wa mabao 3-2 dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kikosi cha Yanga kimejiimalisha kuikabili Kagera Sugar, katika...

Michezo

Simba washindwe wao tu, mashabiki waruhusiwa kusherekea ubingwa

SERIKALI kupitia Baraza la Michezo Tanzania (BMT), imeruhusu mashabiki kuingia uwanjani katika mchezo kati ya Tanzania Prisons na Simba utakaochezwa kwenye Uwanja wa...

Michezo

Biashara kuipa ubingwa Simba kama Chelsea dhidi ya Liverpool?

HUWENDA ubingwa wa Simba ukaamuliwa na Biashara United, kama ilivyokuwa kwa Liverpool kuamuliwa ubingwa na Chelsea baada ya kumfunga Manchester City kwa mabao...

Michezo

Klopp amwaga chozi, ubingwa wa Liverpool

KOCHA wa timu Liverpool Jurgen Klopp ameonesha hisia kali za furaha mara baada ya timu yake kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu nchini England,...

Michezo

Simba kutangazia ubingwa Mbeya

TIMU ya Simba inahitaji pointi mbili kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululizo baada ya jana kuibuka na...

Michezo

Bodi ya Ligi yampiga Rungu Lamine Moro

BEKI wa Yanga, Mghana Lamine Moro amfungiwa michezo mitatu na kulipa faini ya Sh. 500,000, kwa kosa la kumrukia mgongoni mchezaji wa JKT...

Michezo

Mkude, Morrison nje mechi mbili

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude na nyota wa Yanga, Bernard Morrison wamefungiwa kucheza michezo miwili pamoja na faini ya Sh. 500,000 kwa makosa...

Michezo

EPL hakuna kulala, michezo mitano kupigwa leo

LIGI Kuu England inaendelea tena leo kwa kupigwa michezo mitano ambapo Manchester United itashuka dimbani kuikabili Sheffield United kwenye dimba la Old Traford....

MichezoTangulizi

Yanga yamjia juu Morisson, wampiga faini

UONGOZI wa klabu ya Yanga umempiga faini ya Sh. 1.5 Milioni nyota wake raia wa Ghana, Benard Morrison kwa kufanya mahojiano na mwandishi...

Michezo

Yanga kujiuliza kwa Namungo kesho

KIKOSI cha Yanga kesho inatarajia kuikabili Namungo FC, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kutoka sare kwenye mchezo uliomalizika dhidi...

Habari za Siasa

Uchaguzi 2020: Kamati Kuu ACT-Wazalendo yaweka msimamo 

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetangaza kwamba, kitalinda ushindi wake kwa gharama zozote katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es...

Michezo

Man Utd, Tottenham vitani leo

LIGI Kuu nchini England inaendelea tena leo tarehe 19 Juni, 2020 kwa mchezo kati ya Tottenham dhidi ya Manchester United ukiwa muendelezo wa...

Michezo

Yanga yamshushia rungu Lamine Moro

KLABU ya Yanga imewaomba radhi kiungo wa JKT Tanzania, Mwinyi Kazimoto na tiju yake, huku ikimwadhibu beki wake, Lamine Moro raia wa Ghana,...

Michezo

Yanga yashikwa shati na JKT, Lamine Moro kuikosa Azam FC

TIMU ya Yanga imelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa mzunguko wa pili Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika...

Michezo

Bayern washeherekea ubingwa bila mashabiki

BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Werder Bremen kwenye Ligi Kuu nchini Ujerumani, Bundesliga, na Bayern Munich na kutangaza...

Michezo

Man City, Arsenal dimbani Kesho, EPL kurejea

BAADA ya kusimama kwa takriban miezi mitatu, hatimaye Ligi Kuu nchini England kurejea kesho kwa michezo miwili ambapo klabu ya Manchester City itaikalibisha...

Michezo

TFF yaruhusu mechi za kirafiki

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeruhusu kuendelea kwa michezo ya kirafiki kwa klabu kwenye ngazi husika kwa kibali maalumu, ili kuhakikisha...

Michezo

Ni vita ya fedha GSM Vs Mo

‘VITA’ ya fedha inakwenda kutikisha msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara (2020/21). Ni baada ya vilabu vikubwa viwili nchini – Klabu Simba...

Michezo

Simba, Yanga, Azam Matatani

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’, limepiga marufuku michezo yote ya kirafiki kwa klabu zote nchini mpaka pale itakapotoa kibali maalumu kutokana...

Michezo

Simba yaonyesha umwamba kuelekea Ligi Kuu

KLABU ya Simba leo imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Transit Camp kwenye mchezo wa kujipima nguvu kuelekea kuendelea na michezo...

Michezo

Yanga yajiimarisha kurejea Ligi Kuu Bara

KIKOSI cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi yake kwenye viwanja vya chuo cha Sheria, Jijini Dar es Salaam katika hatua ya kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu...

Habari za SiasaTangulizi

Ubunge, udiwani CCM kaa la moto, Takukuru, Polisi wapewa rungu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimetoa utaratibu mpya utakaotumika kuwapata wagombea udiwani, ubunge na uwakilishi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Kelvin...

Michezo

Ratiba Ligi Kuu Bara hadharani

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo leo ametangaza ratiba ya michezo iliyosalia ya Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi daraja la...

Habari za Siasa

JPM: Sikuwa na uhakika kama nitafanikiwa kuhamia Dodoma

RAIS wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amesema, kwa sasa Serikali yote ipo Dodoma ambapo ni mjii mkuu wa nchi kutokana na ofisi...

Michezo

Serikali yatoa muongozo michezo Ligi Kuu

KUFUATIA kauli ya serikali kuruhusu shughuli za michezo kuendelea nchini iliyotolewa na Rais Magufuli, jijini Dodoma, 21 mei, 2020, Wizara ya Afya kushirikiana...

Michezo

Robo Fainali FA Cup: Simba vs Azam FC, Yanga vs Kagera

BIGWA wa Mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba itaikalibisha Azam FC kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la Shirikisho la Azam,...

Michezo

Ligi Kuu Bara kurejea Juni 13, 2020

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo ametangaza tarehe ya kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara, ambayo ni Juni 13,...

Michezo

Dortmund, Bayern vitan leo Bundesliga

LIGI Kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’ kuendelea tena leo ambapo Borrusia Dortmund itawakaribisha klabu ya FC Bayern Munichen kwenye dimba la Signal Iduna Park...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yawageukia wanaohoji matumizi ya fedha

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wabunge wenye ushahidi juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, kuuweka hadharani. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...

error: Content is protected !!