Friday , 19 April 2024
Home kelvin
1174 Articles83 Comments
Michezo

Mshambuliaji wa Burundi afunga usajili Yanga

KUELEKEA kufungwa kwa dirisha dogo la usajili, klabu ya Yanga imefanikiwa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa kutoka Burundi, Fiston Abdul Razak ili kuongeza nguvu...

Michezo

FC Platinum yabariki usajili wa Chikwende Simba

KLABU ya FC Platinum inayoshiriku Ligi Kuu nchini Zimbabwe imethibitisha kuwa imefikia makuabaliano na Simba kuhusu uhamisho wa kiungo wao mshambuliani Perfect Chikwende....

Michezo

Simba yaifuata Yanga fainali Kombe la Mapinduzi

MABAO ya Meddy Kagare na Miraji Athumani yalitosha kuipeleka Simba kwenye fainali ya kombe la Mapinduzi baada ya kuiondosha Namungo FC kwenye mchezo...

Michezo

Azam FC ‘out,’ Yanga yatinga fainali Kombe la Mapinduzi

KLABU ya Yanga imefanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Mapinduzi na kuwaondosha Azam FC kwa mikwaju ya penati 5-4, baada ya kutoshana nguvu...

Michezo

Beki mpya Yanga kuikosa Congo dhidi ya Stars kesho

BEKI wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Dickson Job ataukosa mchezo wa kesho wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya DR Congo...

Michezo

Sven atoa sababu kuikacha Simba

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema, ameondoka ndani ya timu hiyo ili kumwezesha kuwa na uwiano kati yake na kazi, familia...

Michezo

Simba uso kwa uso na Al Ahly, AS Vita na El Merreikh

KLABU ya Soka ya Simba imepangwa kundi A, kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na klabu za Al Ahly kutoka nchini...

Michezo

Namungo kuwakabili Waangola Kombe la Shirikisho

KLABU ya Soka ya Namungo imepangwa kucheza na CD 1 de Agosto kutoka nchini Angola kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika kwenye...

Michezo

‘Ndoa’ ya Simba, Sven yavunjika

MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba imetangaza kuachana na kocha wake mkuu, Sven Vandenbroeck. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea). Simba imetangaza...

Kimataifa

Uchaguzi mkuu wa Marekani: Joe Biden, aidhinishwa rasmi kuwa Rais

Bunge limeBUNGE la Marekani, limemuidhinisha rasmi, Joe Biden, kuwa rais mpya wa taifa hilo kubwa kiuchumi ulimwenguni na Kamala Hariss, kuwa makamu wake...

Kimataifa

Twitter na Facebook, zamfungia Trump

MITANDAO ya Twitter na Facebook, imezifunga kwa muda akaunti za rais wa Marekani, Donald Trump, kufuatia kutuma ujumbe kwa wafuasi wake waliovamia Bunge....

MichezoTangulizi

Hawa ndio wababe 16 watakaokutana na Simba hatua ya makundi

BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum kwenye mchezo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Ligi ya...

Michezo

Beki Stars atundika daluga, kuagwa Januari 10

BEKI mwandamizi wa Azam FC, Aggrey Morris ametangaza rasmi kustaafu kuitumikia timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ akiwa na umri wa miaka...

Michezo

Ndumbaro mgeni rasmi Simba dhidi ya Platinum

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Damasi Ndumbaro, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika, kati wenyeji Simba Sport...

Michezo

CAF waridhia ombi la Simba, mechi kuchezwa saa 11            

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeridhia ombi la klabu ya Simba kuchezwa kwa mchezo wao dhidi ya FC Platinum kuchezwa majira...

Michezo

Carlinhos kuongoza jeshi la Yanga Mapinduzi Cup

NYOTA Carlos Carlinhos moja kati ya wachezaji waliopo kwenye kikosi cha wachezaji 20 watakaokwenda kuiwakilisha klabu ya Yanga katika michuano ya Kombe la...

Michezo

Ntibazonkiza hatiati kuwakosa Prisons, Kaze anena

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Saidi Ntibanzokiza huenda akaukosa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons, kutokana na kuumia kwenye mchezo uliopita...

Michezo

Simba yampiga ‘Stop’ Mkude

UONGOZI wa klabu ya Simba umemsimamisha kiungo wake mkabaji, Jonas Mkude kwa muda wa siku zisizojulikana kutokana na utovu wa nidhamu mpaka atakaposilizwa...

Michezo

TFF yaianika Lipuli, inadai milioni moja tu

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufanunuzi juu ya sakata la kudaiwa na klabu ya Lipuli FC kiasi cha Sh. 10,000,000...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee waanzisha vita mpya Chadema

HATUA ya Halima James Mdee na wenzake 18, kushitaki Kamati Kuu (CC) ya (Chadema, mbele ya Baraza Kuu la taifa (BKT), yaweza kuwa...

Michezo

Chelsea, Man City kushuka dimbani leo

LIGI Kuu nchini Uingereza kuendelea tena hii leo, ambapo klabu ya Manchester City itashuka dimbani kuwakabili Everton, huku Chelsea ikiwa nyumbani itapata wakati...

Michezo

Yanga mwendo mdundo

DAKIKA 78 zilitosha kuifanya Yanga kuibuka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Dodoma Jiji, uliochezwa kwenye Uwanja...

Michezo

Mwamuzi Penati ya Kagere atunukiwa Beji ya FIFA

MWAMUZI wa kati, Hery Sasii aliyechezesha mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba dhidi ya KMC na kutoa penati iliyozua utata...

Michezo

Morrison atemwa Simba

WINGA raia wa Ghana anayekipiga klabu ya Simba, Bernard Morrison ameachwa kwenye kikosi cha wachezaji 24 kilichosafiri kwenda Harare Zimbabwe kucheza mchezo wa...

Michezo

Lwandamina kwenye mtihani mgumu leo

KIKOSI cha Azam FC chini ya kocha, George Lwandamina kitashuka dimbani leo kuwakabili Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa...

Michezo

Simba yaifuata Platinum kibabe

KIKOSI cha Simba, viongozi pamoja na benchi la ufundi wamesafiri leo saa 4:30 na shirika la ndege la Air Tanzania kuelekea nchini Zimbabwe...

Michezo

Mahadhi, Makame watolewa kwa mkopo

KLABU ya Yanga imewatoa wachezaji wake Juma Mahadhi na Abdulaziz Makame kwa mkopo ufuatia kutopata nafasi kwenye kikosi hicho kwa sasa, sambamba na...

Michezo

Azam Fc hali tete, yabanwa mbavu na Namungo

BAO la dakika ya 90 +4 la Steven Sey lilitosha kuipatia Namungo sare kwenye mchezo dhidi ya Azam FC, katika mchezo wa Ligi...

Michezo

Liverpool wapewa mfupa uliowashinda Manchester United

DROO ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya (Uefa) imechezeshwa hii leo ambapo klabu ya Liverpool itawavaa vigogo wa Ujerumani RB Leipzing ambao waliwaondosha...

Michezo

Simba yaanza mchakato wa kumsaka mrithi wa Nkwabi

KLABU ya Simba kupitia kamati ya uchaguzi imetangaza rasmi mchakato wa uchaguzi mdogo wa klabu hiyo wa kujaza nafasi ya Mwenyekiti iliyoachawa wazi...

Michezo

Yanga yatoa kipigo cha ‘mbwa koko’, yajichimbia kileleni

MABINGWA wa kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam, wameendelea kujikusanyia pointi katika michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...

Michezo

Simba, Yanga kusaka alama tatu nje ya Dar

LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2020/21 inaendelea tena mwisho wa juma hili ambapo vinara wa ligi hiyo klabu ya Yanga watakuwa ugenini...

Michezo

Mkwasa, Bocco wang’aa tuzo za mwezi Ligi Kuu

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Simba, John Bocco amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa Novemba, huku kocha wa Ruvu Shooting, Charles Mkwasa akichaguliwa kuwa kocha...

Maisha

Kocha Simba: Nimeridhishwa na kila mmoja

MARA baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania, Kocha wa Simba, Sven amesema kuwa timu yake ilimiliki mpira...

Michezo

JPM: Simba, Yanga zimetuchelewesha

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema wakati umefika kwa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) kuundwa bila ya kuwa na wahcezaji wanaotoka katika...

Michezo

Dk. Msolla amrudisha Madega Yanga

MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Dk. Mshindo Msolla ameteua wanachama nane wa klabu hiyo akiwemo Wakili Iman Madega kuunda Kamati ya Mabadiliko ya...

Michezo

RB Leipzig yashika hatma ya Manchester UEFA

RB Leipzing inashiliki Ligi Kuu ya Ujerumani imeshikilia hatma ya klabu ya Manchester United kufuzu kwenye hatua ya 16 bora ya michuano ya...

Michezo

Mourinho, Lampard,Solskjaer vitani tuzo ya kocha bora

MAKOCHA vigogo katika Ligi Kuu England, Jose Mourinho, Frank Lampard na Ole Gunna Solskjaer ni miongoni mwa makocha wanne walio kwenye kinyang’anyiro cha...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari awasulubu Mdee, Spika Ndugai

PROFESA Abdallah Safari, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, Halima Mdee, aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la...

Habari za Siasa

Sabaya aagiza mabaraza ya ardhi kuvunjwa

MKUU wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ameagiza kuvunjwa kwa mabaraza ya ardhi kata za Kia na Mnadani wilayani...

Michezo

TFF yamjia juu Manara

SIKU moja tu kufuatia kauli ya Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara ya kutotaka mashabiki wa timu pinzani kuingia Uwanjani kwenye mchezo...

Michezo

Aliyekuwa kocha wa Yanga atua Azam

GEORGE Lwandamina, aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga nchini Tanzania kati ya mwaka 2016 hadi 2018, amewasili nchini humo kujiunga na Azam...

Michezo

Simba yasajili mbadala wa Fraga

KLABU ya Simba imefanikiwa kumsaini kiungo makabaji wa kimataifa kutoka nchini Uganda, Taddeo Lwanga ambaye amekuja kuziba pengo la Gerson Fraga ambaye amepata...

Michezo

‘Tik Tak’ kuimaliza Plateau mbele ya Simba

‘TIKI Taka mpaka kwa Mkapa,’ ndio kauli mbiu wanayoingia nayo klabu ya Simba kwenye mchezo wa marudiano wa klabu bingwa barani Afrika hatua...

Michezo

TFF yaja na Bonanza la Waandishi

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeandaa bonanza kwa ajili ya vyombo vya Habari litakalofanyika tarehe 6 Desemba 2020 kwenye viwanja vya...

Michezo

Fainali CAF, Al Ahly, Zamalek kumenyana leo

LEO tarehe 27 Novemba, 2020 ndio siku inayopigwa fainali ya klabu bingwa Afrika inayozikutanisha miamba ya soka nchini Misri, klabu ya Al Ahly...

Michezo

Dube kupelekwa Afrika Kusini kwa matibabu

MSHAMBULIAJI wa Azam FC na timu ya Taifa ya Zimbabwe, Price Dube ataondoka nchini Jumapili ya tarehe 29 Novemba, 2020, kuelekea Afrika Kusini...

Michezo

Bingwa wa bao la mkono afariki Dunia

DIEGO Maradona mchezaji wa zamani na kocha wa Timu ya Taif ya Argentina amefariki Dunia siku chache baada ya kufanyiwa upasuaji wa kichwa...

Michezo

Yanga yaipiga Azam FC, yaongoza Ligi

BAADA ya kufanikiwa kuondoka na pointi tatu dhidi ya Azam FC kwa bao 1-0, Yanga sasa inapanda mpaka nafasi ya kwanza, baada ya...

Michezo

Liverpool waongoza kinyang’anyiro Tuzo za FIFA

KLABU ya Liverpool inayoshriki Ligi Kuu England imetoa wachezaji wanne kati ya 11 waliopo kwenye kinyang’anyiro cha tuzo ya mchezaji bora wa Dunia...

error: Content is protected !!