Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara amemtaka beki wa kushoto wa Timu hiyo Mohammed Hussein kuongeza mkataba kutokana na uwezo...
By Kelvin MwaipunguApril 25, 2021Bao la dakika ya 28 lililofungwa na Mohammed Hussein kwenye mchezo dhidi ya Gwambina lilitosha kuipeleka Simba kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguApril 24, 2021MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema kimbunga ‘JOBO’ kipo umbali wa kilomita 200 mashariki mwa kisiwa cha Mafia. Kimbunga hicho...
By Kelvin MwaipunguApril 24, 2021Winga wa klabu ya Yanga Tuisila Kisinda huwenda akaukosa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam Fc mara...
By Kelvin MwaipunguApril 24, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limeifungia klabu ya Simba kusajili katika kipindi kimoja cha dirisha hilo kufuatia kutiwa hatiani kwa...
By Kelvin MwaipunguApril 23, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, wale wanaodhani usimamizi wa rasilimali za nchi, ukwepaji kodi, rushwa vimekwenda na Hayati John Magufuli,...
By Kelvin MwaipunguApril 22, 2021RAIS WA Tanzania, Samia Suluhu Hassa, amesifu uongozi wa kutukuka wa mtangulizi wake, Hayati John Magufuli huku akimtaja Rais Mstaafu wa Zanzibar,...
By Kelvin MwaipunguApril 22, 2021USHINDI wa mabao 2-0, ulitosha kuifanya Simba kuondoka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar....
By Kelvin MwaipunguApril 21, 2021MICHUANO ya Europian Super League haitafanyika tena baada ya klabu sita kutoka nchini England kujitoa kushiriki kutokana na mashabiki na wadau wa...
By Kelvin MwaipunguApril 21, 2021MTENDAJI Mkuu wa Manchester United, Ed Woodward ataachana na timu hiyo mwisho wa mwaka 2021, kufuatia kuhusishwa kwake na kuanzishwa kwa michuano...
By Kelvin MwaipunguApril 21, 2021BAADA ya kupachika bao lake baada ya mwaka mmoja na siku 52 kupita, mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Ditram Nchimbi amesema kuwa...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021MABINGWA wa kihistoria Tanzania Bara, Yanga ya Dar es Salaam, imeendeleza vipigo kwenye ligi kuu nchini humo, kwa kuifunga 3-1, Gwambina FC...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021KLABU ya Soka ya Yanga leo imemtambulisha Mohamed Nasreddine Nabi aliyedumu kwenye kikosi cha Al Merreikh ya Sudan kwa siku 41, kuwa...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021BAADA ya kupita mwaka mmoja na siku 52, hatimaye mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Ditram Nchimbi amefanikiwa kupachika bao kwenye mchezo wa...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021KLABU ya Simba leo imeingia mkataba wa kiasi cha Sh. bilioni mbili na kampuni ya Vunja Bei Group, ambapo watakuwa watengenezaji na...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021MTIFUANO wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, inaendelea leo Jumamosi tarehe 17 Aprili 2021 na kesho Jumapili, katika viwanja mbalimbali nchini humo....
By Kelvin MwaipunguApril 17, 2021TIMU ya KMC imewabana mbavu Yanga kwa kuwalazikisha sare ya bao 1-1, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja...
By Kelvin MwaipunguApril 10, 2021BAADA ya kukubali kichapo cha bao 1-0, dhidi ya Al Ahly na kumaliza nafasi ya kwanza kwenye kundi A, klabu ya Simba...
By Kelvin MwaipunguApril 10, 2021MONICA Nyabyamari, mama mzazi wa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) wa Tanzania, Simon Sirro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi, tarehe 10...
By Kelvin MwaipunguApril 10, 2021MBUNGE wa Makete (CCM), Festo Sanga ametaka wawekezaji kwenye mpira wa miguu nchini walindwe na kutoruhusu watu kuwashambulia bila utaratibu wakati michakato...
By Kelvin MwaipunguApril 10, 2021NAHODHA wa klabu ya Yanga, Lamine Moro amewashangaa wanaodai kuwa timu hiyo imekata tamaa na ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara, baada...
By Kelvin MwaipunguApril 9, 2021MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Uganda na klabu ya Al Ittihad Alexandria, Emmanuel Okwi ameongeza mzuka kwenye kambi ya Simba iliyopo...
By Kelvin MwaipunguApril 9, 2021KLABU ya Yanga kupitia kwa Afisa Habari na Mawasiliano, Hassan Bumbuli, amesema mpaka sasa hawajapokea nakala ya hukumu ya Makamu Mwenyekiti wao,...
By Kelvin MwaipunguApril 9, 2021MICHEZO miwili ya Ligi Kuu imemalizika kwa michezo yote miwili kutoka bila mbabe na kila timu kuondoka na pointi moja. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguApril 8, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema, nyaraka za fedha za kughushi zimetumika katika Jeshi la Zimamoto na...
By Kelvin MwaipunguApril 8, 2021UONGOZI wa klabu ya Yanga upo mbioni kuitisha mkutano mkuu wa wanachama hivi karibuni huku moja ya ajenda ikiwa ni mabadiliko ya...
By Kelvin MwaipunguApril 8, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema kuwa kuteuliwa kwake kuwa waziri wa wizara hiyo pamoja na uteuzi wa Makamu wa...
By Kelvin MwaipunguApril 8, 2021LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo, ambapo michezo miwili itapigwa kwenye viwanja tofauti. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Kelvin MwaipunguApril 8, 2021KIKOSI cha wachezaji pamoja na viongozi wa klabu ya Simba umewasili salama jijini Cairo, Misri kwa ajili wa Ligi ya Mabingwa dhidi...
By Kelvin MwaipunguApril 7, 2021KIUNGO wa klabu ya Simba, Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki barani Afrika mara baada ya kuwashinda, Ricardo Goss wa Mamelodi...
By Kelvin MwaipunguApril 7, 2021UONGOZI wa klabu ya Yanga umesema kuwa haujaridhishwa kufungiwa kwa miaka mitano kwa Makamu Mwenyekiti wao, Fredrick Mwakalebela baada ya kukutwa na...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2021KIKOSI cha wachezaji pamoja na viongozi wa klabu ya Simba wataondoka jioni ya leo tarehe 6 Aprili, 2021, kuelekea nchini Misri kwa...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2021HATUA ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA0 inataendelea hii leo, ambapo Real Madrid itashuka dimbani kuikabili Liverpool kwenye Uwanja...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2021WACHEZAJI wawili wa kikosi cha Simba, Clatous Chama na Luis Miquisone wameingia kwenye kikosi cha kwanza cha wiki barani Afrika. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanzisha salamu mpya ambayo atakuwa akiitumia katika shughuli mbalimbali. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Samia...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2021KOCHA wa klabu ya As Vita Florent Ibenge amesema hawezi kuhofia wala kuogopa kucheza na Simba kutokana na ubora waliokuwa nao kwa sasa...
By Kelvin MwaipunguApril 2, 2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul, kutetea...
By Kelvin MwaipunguApril 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amejishangaa jinsi ambavyo amekuwa akilitaja jina la Bunge la Katiba, badala ya Bunge la Bajeti. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguApril 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekerwa na kitendo cha matumizi ya nguvu katika kukusanya kodi ikiwemo kuzifungia akaunti za wafanyabiashara na...
By Kelvin MwaipunguApril 1, 2021MSAFARA wa wachezaji 33 pamoja na viongozi wa klabu ya AS Vita kutoka Jamhuri ya Congo, utawasili jijini Dar es Salaama hii...
By Kelvin MwaipunguApril 1, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiruhusu klabu ya Simba kuingiza mashabiki kwenye mchezo wao dhidi ya AS Vita kutoka Jamhuri...
By Kelvin MwaipunguApril 1, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeahidi kufanyia mapitio kanuni za sheria ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu, ili kuondoa changamoto ya makato...
By Kelvin MwaipunguMarch 31, 2021BAADA ya Ligi Kuu Tanzania Bara kusimama kupisha michezo ya kimataifa na maombolezo, sasa itaendelea tena Aprili 8, 2021 kwa michezo miwili...
By Kelvin MwaipunguMarch 31, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanania, imesema imepekua nyumbani kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Tanzania (TPA), Desdedit...
By Kelvin MwaipunguMarch 30, 2021KLABU ya Al Merreikh inayoshiki Ligi Kuu nchini Sudan imeonekana kutaka saini ya mlinda mlango wa klabu ya Simba na Timu ya...
By Kelvin MwaipunguMarch 30, 2021MARA baada ya tetesi za Mokoko Tonombe kutakiwa na klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini uongozi wa klabu hiyo...
By Kelvin MwaipunguMarch 30, 2021SAFARI ya siku zaidi ya 90 ya mkutano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaanza kesho Jumanne saa 3:00 asubuhi,...
By Kelvin MwaipunguMarch 29, 2021HATUA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kuwaomba radhi Watanzania, imewaibua wanasiasa na wanaharakati. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Kelvin MwaipunguMarch 29, 2021KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amewaongoza wanachama na viongozi wa chama hicho kwenye arobaini ya Maalim Seif Sharif Hamad. Anaripoti Mwandishi Wetu…endelea....
By Kelvin MwaipunguMarch 27, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Muhambwe, mkoani Kigoma ambao utafanyika tarehe 2 Mei...
By Kelvin MwaipunguMarch 27, 2021