Thursday , 23 March 2023
Home junior
22 Articles3 Comments
Kimataifa

Mwanaume afunga ‘ndoa’ na rice cooker

  UKISTAAJABU ya Mussa uyataona ya Firauni. Ndivyo unavyoweza kuelezea kile alichokifanya Khoirul Anam, raia wa Indonesia aliyeamua kufunga ‘ndoa’ na ‘rice cooker.’...

MichezoTangulizi

Simba yaanza kwa sare, Bocco akosa penati

  MABINGWA watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba ya Dar es Salaam, imeanza msimu mpya wa ligi kuu 2021/22 kwa droo dhidi...

Michezo

Onyango, Kanoute ‘out’ dhdi ya Biashara Leo

  Beki wa kati wa klabu ya Simba Josh Onyango pamoja na kiungo wa mkabaji Sadio Kanoute wataukosa mchezo wa leo wa Ligi...

Michezo

Kocha wa zamani Simba, Azam atua Mtibwa

  TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro nchini Tanzania, imemtambulisha Omog Joseph Marious (49), raia wa Cameroon kuwa kocha mkuu wa timu hiyo....

MichezoTangulizi

Yanga yaipiga bao Simba

  MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam imeipiga bao Simba kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani pamoja...

Michezo

Yanga warejea kimyakimya

  KLABU ya Yanga imerejea nchini usiku wa kuamkia leo ikitokea Nigeria ilikokwenda kupepetana na River United ikiwa ni mchezo wa marudiano wa...

Michezo

Kaze afunguka kurejea Yanga

  WAKATI fununu za aliyekuwa Kocha mkuu wa Yanga, Cedric Kaze kwamba anarejea jangwani zikiendelea kushika kasi, kocha huyo amefunguka ujumbe mzito unaoashiria...

Tangulizi

Azam FC sasa kuvaana na pyramid ya Misri 

  MARA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya FC Horsed kutoka Somalia, klabu ya soka ya Azam FC, sasa...

Michezo

Simba Day: TP Mazembe kuwasilia leo

  KIKOSI cha wachezaji 23 wa timu ya TP Mazembe ya Congo kinawasili nchini Tanzania leo Jumamosi, tarehe 18 Septemba 2021. Anaripoti Hunda...

Michezo

Kocha wa Simba aomba radhi

  KOCHA msaidizi wa Simba, Thiery Hitimana ameiomba radhi klabu ya Mtibwa sugar kwa kile kilichotokea baina yake na viongozi wa timu hiyo....

Michezo

Biriani Ulaya; Messi, Ronaldo chaliii!

  PAZIA la michuano ya Klabu Bingwa Ulaya limefunguliwa rasmi tarehe 14, 15 Septemba mwaka huu na kushuhudia mastaa namba moja duniani, Lionel...

MichezoTangulizi

Gomez ‘out’ mechi za CAF

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawaruhusiwi kukaa kwenye benchi la ufundi katika mechi za mashindano...

Michezo

Simba yaahirisha kuzindua jezi

  MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2020/21, Simba ya jijini Dar es Salaam, imetangaza kuahirisha shughuli ya uzinduzi rasmi wa jezi...

MichezoTangulizi

Stars yatoshana nguvu na Congo

  SARE ya bao 1-1, ilitosha kuifanya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuondoka na pointi moja kwenye mchezo wa kusaka tiketi...

Michezo

Kilele Wiki ya Mwananchi yahitimishwa kwa majonzi

  KILELE cha Wiki ya Mwananchi cha mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam, kimehitimishwa kwa majonzi baada ya...

Michezo

Nandy, Koffie kupagawisha wanayanga Jumapili

NGULI wa muziki barani Afrika kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Koffie Olomide pamoja na msanii mashuhuri kutoka nchini Tanzania Nandy wanatarajia kutoa...

Michezo

Chelsea wamweka kikaangoni Arteta

  KIPIGO cha bao 2-0 kutoka kwa mabingwa wa Ulaya, Chelsea, kimemuweka kikaangoni Kocha Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta baada ya mashabiki kuutaka...

Michezo

Yanga yavunja kambi Morocco

KLABU ya Yanga imevunja kambi ya maandalizi ya michuano mbalimbali ya msimu ujao baada ya wachezaji wake wengi kuitwa kwenye timu zao za...

MichezoTangulizi

Poulsen aita 28 Stars, Kabwili ndani

  Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars) Kim poulsen ametangaza majina ya wachezaji 28 watakaoingia kambini kujiandaa na mashinadano ya...

Michezo

Simba yatambulisha mwingine

  KLABU ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya kiungo mshambuliaji wa klabu ya Kagera Sugar, Abdulsamad Kassim mwenye umri wa miaka 24. Anaripoti...

Michezo

NMB yazindua Marathon, mapato kutibu wagonjwa Fistula

BENKI ya NMB imezindua mbio ndefu (Marathon) ambazo zitakuwa na kauli mbiu ya ‘Mwendo wa Upendo’ zikiwa na lengo ya kuchangia matibabu kwa...

Michezo

Simba yang’oa beki KMC

Klabu ya simba imekamilisha usajili wa beki wa pembeni kutoka klabu ya KMC Israel Patrick Mwenda mwenye umri wa miaka 21. Anaripoti Mintanga...

error: Content is protected !!