Friday , 29 March 2024
Home gabi
1209 Articles138 Comments
Habari Mchanganyiko

NGO’s zamuomba Samia airudishe Tanzania kwenye mpango Serikali wazi

MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGO’s) 263 yanayotetea haki za binadamu, yamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, airejeshe tena Tanzania katika Mpango wa Ubia wa...

Kimataifa

Rais Marekani kufanya ziara barani Afrika

Rais wa Marekani, Joe Biden ameahidi kufanya ziara barani Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara ambayo itakuwa ya kwanza tangu aliposhika wadhifa wake...

Kimataifa

Kiongozi wa waasi agonga mwamba ICC

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC), iliyopo mjini The Hague, nchini Uholanzi, imetupilia mbali rufaa ya kiongozi wa zamani wa waasi...

Habari za Siasa

Bunge la Chadema lapata viongozi wapya

SUSAN Lyimo amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Wananchi wa Chama cha Chadema, huku Lumola Kahumbi, akichaguliwa kuwa Naibu Spika wake. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Mbowe asema 2023 mwaka wa kazi, atangaza operesheni maalum

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema 2023 utakuwa mwaka wa kazi ndani ya chama chake, huku akitangaza kufanya...

Habari Mchanganyiko

TCRA: Tumieni msimu wa likizo kuhakiki laini zenu

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewasihi watumiaji wa huduma za mawasiliano kutumia msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka kuhakiki laini zao...

Habari Mchanganyiko

Wananchi 13,000 Bunda wawalalamikia wateule Rais Samia

WANANCHI zaidi ya 13,000 wa vijiji vinne vya Kata ya Nyatwali Wilaya ya Bunda mkoani Mara wameulalamikia uongozi wa wilaya hiyo kwa kile...

Habari Mchanganyiko

Ajali ya baiskeli chanzo kifo cha Mwandishi TBC

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ufafanuzi kuwa sababu ya kifo cha Joachim Kapembe (45) kilichotokea katika Mlima Kilimanjaro jana tarehe...

Michezo

Seleman Mpepe wa Nachingwea abongeka na Bikosports

MKAZI wa Nanyumbu mkoani Mtwara, Selemani Mpepe, ameibuka na bonasi bonge ya kiasi cha Sh milioni 4 kutoka kwenye mchezo wa kubashiri matokeo...

Habari Mchanganyiko

Rais Mwinyi ateua viongozi nane

RAIS wa Zanzibar, amefanya uteuzi wa viongozi nane katika taasisi mbalimbali za umma, ikiwemo Tume ya Mipango visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Watoto 9,537 wafanyiwa ukatili wa kijinsia 2022, IGP Wambura atoa maagizo

INSPEKTA Jenerali wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura amesema katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Oktoba 2022, matukio ya ukatili wa...

Habari za Siasa

Rais Samia apangua, ateua makatibu wakuu

RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 14 Disemba, 2022 ameteua makatibu wakuu wa wizara ya uwekezaji, biashara na viwanda pamoja na wizara ya...

Habari Mchanganyiko

Mwandishi wa Habari TBC afariki akishuka mlima Kilimanjaro

MWANDISHI wa habari na mpiga picha wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Manyara Joachim Kapembe amefariki dunia alipokuwa akishuka kutoka katika kilele...

Michezo

GBT yachangia ukuaji bahati nasibu

BODI ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imesema kuwa imekuwa na mchango mkubwa katika kuweka kanuni na sera ili kusaidia ukuaji wa michezo...

Habari Mchanganyiko

Mabadiliko ya tabiachi yaathiri Tanzania

UTAFITI uliyofanywa na Mtandao wa Jinsia na Mabadiliko ya Tabianchi Tanzania (GCCTC), umebaini kuwa kila eneo katika nchi ya Tanzania limeathirika na mabadiliko...

Habari Mchanganyiko

Machinga mbaroni kwa wizi wa kichanga cha siku 21

JESHI la POLISI Mkoa wa Songwe linamshikilia Praxeda Msanganzila (28) Mkazi wa mtaa wa Ilolo, wilayani Mbozi kwa tuhuma za kuiba mtoto mdogo...

Habari za Siasa

Bodi NCCR Mageuzi yakwaa kisiki mahakamani

MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imeyaondoa maombi Na. 459/2022 yaliyofunguliwa na wanaodai kuwa wajumbe wapya wa Bodi ya Wadhamini ya...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya aweka pingamizi rufaa ya Jamhuri

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha kesho tarehe 14 Disemba, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi mawili yaliyowasilishwa na mawakili wa aliyekuwa...

Habari Mchanganyiko

TMDA yakabidhi vifaa vya ukaguzi Mtwara

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)  Kanda ya Kusini yakabidhi taarifa za ukaguzi wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi katika Halmashauri ya...

Habari Mchanganyiko

Yetu Microfinance Bank plc yawekwa chini ya usimamizi wa BoT

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeiweka Benki ya Yetu Microfinance chini ya uangalizi wake ili kulinda haki za wateja na wadau wengine kutokana...

Habari Mchanganyiko

Wachimbaji wadogo watakiwa kuzitumia STAMICO, GST kutatua changamoto

KAIMU Afisa Madini mkoa wa Kimadini Kahama, Eva Kahwili ametoa wito kwa wachimbaji wa madini mkoani humo kuitumia Taasisi hizo ni pamoja na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ukivaa kimini, mlegezo Rungwe faini Sh. 15,000

MKUU wa Machifu wilayani Rungwe mkoani Mbeya, Joel Mwakatumbula amewataka vijana kuacha tabia ya kuvaa suruali chini ya kiuno ‘mlegezo’ na wasichana kuacha...

Habari Mchanganyiko

NMB yaimarisha mtaji wa rasilimali watu

MRADI wa Benki ya NMB wa mafunzo kazini unaotoa nafasi za ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu umeiwezesha taasisi hiyo kuimarisha mtaji wake...

Habari Mchanganyiko

Serikali kuweka mazingira kuendeleza bunifu

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imesema itaendelea kutengeneza mazingira mazuri ya kuhakikisha kazi za kisayansi zinazobuniwa na wanasayansi chipukizi zinaendelezwa. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Washindi NMB MastaBata waendelea kuvuna mamilioni

KAMPENI ya NMB MastaBata ‘Kote Kote,’ inayoendeshwa na benki hiyo imezidi kupasua anga baada ya zawadi zenye thamani ya Sh Mil. 10.5 kutolewa...

Habari Mchanganyiko

Equinor kujenga ofisi maalumu za LNG nchini

KAMPUNI ya Mafuta na Gesi ya Equinor ya Norway imesema ili kuhakikisha kuwa mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia (LNG) nchini unatekelezwa...

Habari Mchanganyiko

GGML yawaaga wahitimu wa mafunzo tarajali

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewaaga wahitimu 26 wa mafunzo tarajali waliokuwa wakifanya mafunzo katika kampuni hiyo kwa mwaka 2021/2022. Anaripoti...

Michezo

Washindi NBC Jaza Kibubu Tusepe Qatar Wakwea ‘Pipa’ Kuishuhudia Uingireza na Ufaransa

YAMETIMIA! Hatimaye washindi wa wanne wa kampeni ya Jaza Kibubu Tusepe Qatar inayoendeshwa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wameanza safari  jana...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama Kuu: Magufuli alivunja katiba kumuondoa ofisini Prof Assad kama CAG

MAHAKAMA Kuu Tanzania leo tarehe 5 Disemba, 2022 imetoa uamuzi kuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli alivunja Katiba alipomwondoa Prof....

KimataifaTangulizi

Madaktari Uganda wapiga magoti kumuomba Museveni agombea muhula wa saba

KUNDI la madaktari nchini Uganda limezua mjadala mwishoni mwa wiki baada ya kupiga magoti mbele ya Rais wa muda mrefu wan chi hiyo,...

Habari Mchanganyiko

NBC yamwaga zawadi washindi wa ‘Vuna zaidi na NBC shambani’

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea kugawa zawadi kwa washindi mbalimbali wa kampeni yake ya ‘Vuna zaidi na NBC Shambani’ msimu wa...

Habari Mchanganyiko

NMB yaongoza tuzo za mwajiri bora, yafikisha 22

BENKI ya NMB imetangazwa kuwa Mwajiri bora wa mwaka 2022 katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE)...

Habari Mchanganyiko

Kicheko! Mishahara sekta binafsi ikipaa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako kupitia tangazo la Serikali namba 697 la...

Habari Mchanganyiko

DC Dodoma ahimiza viongozi wa dini kupinga ukatili wa kijinsia

MKUU wa Wilaya wa Dodoma, Jabiri Shekimweli ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini kuhubiri upendo, amani na utulivu pamoja na kupinga ukatili...

Habari za Siasa

Hali ya kisiasa Tanzania yampeleka Mbowe Marekani

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe, anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku sita nchini Marekani, ambapo atafanya...

Habari Mchanganyiko

Uingizaji holela vifaranga, chakula vyatesa wauza kuku

UINGIZAJI holela vifaranga kutoka nje ya nchi na kupanda kwa bei ya chakula zimetajwa kukwamisha wazalishaji na wafugaji wa kuku wazawa, hivyo kusitisha...

Habari Mchanganyiko

Waliobomelewa nyumba Morogoro wamuangukia Samia, wamtaja Magufuli

WAKAZI wa Mtaa wa CCT mkoani Morogoro wameangua vilio baada ya serikali wilayani Mvomero kutumia jeshi la polisi, magereza pamoja na jeshi la...

Habari Mchanganyiko

Benki ya Exim yang’ara tuzo za mwajiri bora

BENKI ya Exim Tanzania imeendelea kutamba kwenye tuzo za mwajiri bora mwaka 2022 (EYA 2022) baada ya kuibuka kinara kwenye kipengele cha Mwajiri...

Habari Mchanganyiko

TARURA yazitaka Serikali za Mitaa kutenga bajeti ya barabara

MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seif ameziomba Mamlaka za Serikali za Mitaa mkoani Tabora  kuendelea...

Habari Mchanganyiko

Mshindi wa Promosheni ya NMB MastaBata KoteKote akabidhiwa Pikipiki Mwanza

MSIMU wa nne wa promosheni ya NMB MastaBata kwa ajili ya kuchagiza matumizi ya kadi za malipo za kidijitali umezidi kunoga baada ya...

Michezo

NBC yakabidhi zawadi kwa kocha, mchezaji bora mwezi Oktoba

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana ilikabidhi...

Habari Mchanganyiko

Dk. Tax awaasa vijana kuiga falsafa za uongozi wa Nyerere

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amewaasa vijana kutumia vyema Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation kujifunza,...

Habari za Siasa

Spika Tulia: UVCCM msikae kimya

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, ameutaka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), usikae kimya katika kuwaeleza wananchi maendeleo...

Habari za Siasa

BAVICHA kuongoza vijana wa vyama vya demokrasia Afrika

BARAZA la Vijana la Chama cha Chadema (BAVICHA), litaongoza Umoja wa Vijana wa Afrika kutoka vyama vya kidemokrasia (YDUA), katika kipindi cha mwaka...

Habari Mchanganyiko

Heche awaamsha wananchi ukali gharama za maisha, deni la Taifa

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amewataka wananchi wajikite katika kuibadilisha nchi akidai mabadiliko na maendeleo...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia awatunuku kamisheni maafisa JWTZ 724

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatunuku kamisheni maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 724 waliohitimu mafunzo mbalimbali ndani na...

Habari Mchanganyiko

Waziri acharuka mzabuni ‘aliyelizwa’ Liwale, DC amuita mzabuni ofisini

SAKATA la watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Liwale kutaka kumdhulumu mzabuni aliyepewa kazi ya kutoa vifaa vya ujenzi kukarabati hospitali ya wilaya...

Habari Mchanganyiko

ACT-Wazalendo yataka mchakato marekebisho sheria za habari ushushwe kwa wananchi

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeshauri wananchi wapewe fursa ya kushiriki katika mchakato wa marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari, ili watoe mapendekezo yao...

Habari Mchanganyiko

Mwandishi wa Raia Mwema ashinda tuzo COSTECH

MWANDISHI Mwandamizi wa Gazeti la Raia Mwema, Selemani Msuya amekomba tuzo za mwandishi bora wa mwaka 2022 zilizotolewa na Tume ya Taifa ya...

error: Content is protected !!