WASANII zaidi ya 50 kutoka Afrika Mashariki wanatarajiwa kupanda jukwaa moja kwenye tamasha la ‘Afro East Carnival’ litakalofanyika Uwanja wa Tabata Shule,...
By Matilda PeterFebruary 11, 2022MSANII wa Bongo fleva na muigizaji katika tamthilia ya jua kali, Lulu Abasi maarufu kama Lulu Diva amepata msiba wa kuondokewa na...
By Matilda PeterDecember 20, 2021MTANGAZAJI ambaye pia ni mwigizaji wa Bongo Movies, Burton Mwamba ‘Mwijaku’ ameingia kwenye anga za mastaa wenziwe ambao wamejipachika majina maarufu ya ‘chawa’...
By Matilda PeterDecember 11, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wafanya biashara wadogo wadogo ‘machinga’ kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kwa kuwa kazi ya kuwaondoa barabarani...
By Matilda PeterDecember 4, 2021MWAKILISHI Tanzania (Miss Tanzania) katika mashindano ya urembo duniani – Miss World, Juliana Rugumisa ameshindwa kwenda kushiriki katika mashindano hayo mwaka huu...
By Matilda PeterDecember 2, 2021MWANAMITINDO wa Tanzania, Hamisa Mobetto kwa mara ya kwanza amekutana na mwanamuziki wa Kimataifa kutoka Marekani, Rick Ross huko Dubai. Anaripoti Matilda...
By Matilda PeterNovember 26, 2021NI kufuru! Ndicho alichokifanya Staa wa Bongofleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz katika harusi ya mpambaji maarufu wa wasanii wa kike, Aris...
By Matilda PeterNovember 21, 2021UKWELI ni kwamba penzi ni kama pembe la ng’ombe, kulificha huwezi! ndivyo mahaba ya Mwanamama Zarina Hassan kwa mkali wa Bongofleva, Naseeb...
By Matilda PeterNovember 14, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania na wadau wote wa soka nchini kutokata tamaa kutokana na matokeo ya Timu ya Taifa (Taifa...
By Matilda PeterNovember 13, 2021KIOO wa Bongofleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond platnumz amechaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA, akiwa ni msanii pekee kutokea Afrika mashariki...
By Matilda PeterOctober 21, 2021RAIS wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amesema, tofauti na ambavyo alieleza huko nyuma, ameamua kujiuzulu siasa na hivyo, hatajitosa katika kinyang’anyiro cha urais katika...
By Matilda PeterOctober 3, 2021MWANAMITINDO na mzazi mwenza wa Staa wa Bongofleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Faima Msenga ‘Fahyma au Fahyvanny’ ameweka wazi kuwa hana matatizo na...
By Matilda PeterSeptember 30, 2021WAANDAAJI wa tuzo za Afrimma (Afrian Music Magazine Awards) wametoa orodha mpya ya wasanii watakaowania tuzo hizo kwa mwaka 2021 huku Tanzania...
By Matilda PeterSeptember 23, 2021MSANII wa Bongofleva, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize au Kondeboy amewaomba radhi mashabiki wake baada ya kubadili ratiba ya ‘tour’ (ziara) yake...
By Matilda PeterSeptember 22, 2021MSANII wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platinum ametumia jukwaa la burudani kuwasisitiza wananchi wa Taifa hilo, kujiandaa kuandikishwa katika sensa ya watu...
By Matilda PeterSeptember 14, 2021ALI Kiba, msanii wa muziki nchini Tanzania, ametumia takribani dakika tatu kutumbuiza mbele ya mamia ya wananchi wakiongozwa na Rais wa Taifa...
By Matilda PeterSeptember 14, 2021SHINDANO la Bongo Star Search (BSS) msimu wa 12 umezinduliwa huku jaji maarufu Salama Jabir akirejea ulingoni. Anaripoti Matilda Buguye (endelea). Salama...
By Matilda PeterSeptember 9, 2021MSANII wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania, Zuhura Othman maarufu Zuchu ameonesha jumba la kifahari analoishi kwa sasa. Anaripoti Matilda Buguye,...
By Matilda PeterSeptember 7, 2021MSANII wa muziki wa bongo fleva Nandela Charles Mfinanga maarufu Nandy leo Jumamosi tarehe 4 Septemba 2021 anahitimisha kilele cha tamasha lake ‘Nandy...
By Matilda PeterSeptember 4, 2021KAMATI ya maandalizi ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) imesema jumla ya waandishi 59 wameteuliwa kuwania tuzo hizo...
By Matilda PeterSeptember 1, 2021KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbas amesema serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sanaa...
By Matilda PeterAugust 25, 2021MSANII wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania, Gift Stanford maarufu Giggy Money ameahidi mashabiki zake kwamba hatofanya makosa tena kamak kama...
By Matilda PeterAugust 19, 2021MWANAMITINDO na msanii wa muziki wa bongo fleva Hamisa Mobetto, nyota yake imeendelea ku’ngaa baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni ya...
By Matilda PeterAugust 16, 2021KAMATI ya Miss Tanzania imebainisha makosa sita yaliyosababisha Miss Tanzania 2020, Rose Manfere kuvuliwa uwakilishi wa nchi katika mashindano ya urembo duniani....
By Matilda PeterJuly 17, 2021MSANII wa muziki nchini Tanzania, Ali Kiba amesaini mkataba wa kinywaji cha “Power Horse” kuwa balozi wa kinywaji hicho. Anaripoti Matlida Peter,...
By Matilda PeterJuly 16, 2021HATUA ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuagiza wanamuziki waanze kulipwa mirabaha kutokana na nyimbo zao kupigwa kwenye redio, imemkosha msanii wa muziki...
By Matilda PeterJune 28, 2021KAMPENI ya kuhakikisha msanii wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ anaondolewa kwenye mbio za kuwania tuzo za Black Entertainment...
By Matilda PeterJune 8, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, tarehe 22 Mei 2021, amezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC),...
By Matilda PeterMay 22, 2021KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amewaonya wanachama wa chama hicho, walioanza kupanga safu za...
By Matilda PeterMay 22, 2021WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameshauri aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, aenziwe kwa kutimiza ndoto yake ya uanzishwaji somo...
By Matilda PeterMay 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la nchi hiyo, Job Ndugai. Anaripoti Matilda Peter, Dodoma …...
By Matilda PeterApril 20, 2021