Monday , 30 January 2023
Home Gazeti Habari za Siasa Askofu Gwajima: Ipo siku tutapata Rais wa ajabu
Habari za SiasaTangulizi

Askofu Gwajima: Ipo siku tutapata Rais wa ajabu

Josephat Gwajima, Mbunge wa Jimbo la Kawe (CCM)
Spread the love

 

MBUNGE wa Kawe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Askofu Joseph Gwajima ameshauri kuanzishwa kwa Dira ya Taifa ili kuwezesha kiongozi yoyote anayeingia madarakani asitumie mawazo yake peke yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Gwajima ambaye ni Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, amesema hayo leo Jumatatu tarehe 11 Aprili 2022, bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Fungu la Bunge kwa mwaka 2022/23.

Askofu Gwajima amesema, bila kuwa na dira ya Taifa, “ipo siku, kama tutaruhusu anayeingia madarakani aongozwe na kichwa chake, ipo siku tutapata Rais wa ajabu.”

Fuatilia mchango wote wa Askofu Gwajima kupitia MwanaHALISI TV

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chongolo asikitishwa na mradi wa Mil 900 kutoanza kutoa manufaa

Spread the loveKATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Haya hapa matokeo ya mtihani kidato cha nne 2022

Spread the loveBARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumapili limetangaza matokeo...

Habari za Siasa

NCCR-mageuzi yawaangukia Polisi kupotea kwa kada wake

Spread the loveJESHI la Polisi nchini limeombwa kufanya uchunguzi wa kina utakaosaidia...

HabariTangulizi

Bakwata wamkangaa Sheikh wa Dar es Salaam

Spread the love  BARAZA la Ulamaa, limefutilia mbali uamuzi wa “kuvunja ndoa,”...

error: Content is protected !!