Monday , 30 January 2023
Home Archive main grid

Archive main grid

Phasellus tellus tellus, imperdiet ut imperdiet eu, iaculis a sem Donec vehicula luctus nunc in laoreet

Habari za SiasaTangulizi

Kibatala apinga ushahidi wa kamera Mahakamani kesi ya Mbowe

WAKILI upande wa utetezi Peter Kibatala amepinga kupokelewa kwa kielelezo cha kamera na tape mbili za kurekodia video (Min-Dv) zilizotolewa kwenye ushahidi...

Habari za SiasaTangulizi

Haihitajiki ‘damu mpya’ kuijenga Z’bar

WAZANZIBARI wanaoamini katika utawala mwema unaojali haki, ushirikishwaji na utu, wameshiriki kwa mara nyengine tukio la kukumbuka mauaji ya wananchi wenzao yaliyotokea miaka...

Michezo

Hamisa Mabetto, Rick Ross wajiachia Dubai

  MWANAMITINDO wa Tanzania, Hamisa Mobetto kwa mara ya kwanza amekutana na mwanamuziki wa Kimataifa kutoka Marekani, Rick Ross huko Dubai. Anaripoti Matilda...

Habari Mchanganyiko

Askofu Mtokambali: Tuombee uchaguzi mkuu, TAG kuhamia Dodoma

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali amewataka waumini wa kanisa hilo na Watanzania wote wajitoe kuombea...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yalia rafu Z’bar

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimelaumu vitendo vya wagombea wao kuwekewa pingamizi ama kuondolewa na wasimamizi wa uchaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kimeeleza, iwapo...

HabariMichezo

Simba, Yanga zalimwa faini shilingi Mil. 4

  KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (Kamati ya Saa 72), imezipiga faini klabu za Simba na...

Habari Mchanganyiko

Kiwanda cha iphone China chatoa ahadi ya kudhibiti Uviko 19

  KIWANDA cha Iphone cha Zhengzhou, China kimetoa ahadi ya kuhakikisha usalama kwa wafanyakazi walioamua kuondoka na wale watakaobaki. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari Mchanganyiko

Uchaguzi Muhambwe, Buhigwe: CCM, ACT-Wazalendo hapatoshi

  IKIWA imesalia siku moja kwa chaguzi ndogo katika Jimbo la Buhigwe na Muhambwe, mkoani Kigoma kufanyika, Chama cha ACT-Wazalendo na Chama Cha...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli atangaza siku tatu za maombi

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli, ametangaza siku tatu za maombi kuanzia leo Ijumaa hadi Jumapili tarehe 21 Februari 2021, ili Mungu atokomeze...

error: Content is protected !!