Wednesday , 8 February 2023
Home Archive 4 Columns

Archive 4 Columns

Phasellus tellus tellus, imperdiet ut imperdiet eu, iaculis a sem Donec vehicula luctus nunc in laoreet

Habari za SiasaTangulizi

JPM amfuata Rais Ramaphosa Afrika Kusini

RAIS John Magufuli anatarajiwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa zinazotarajiwa kufanyika kesho tarehe 25 Mei 2019. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wahoji alipo Rais Magufuli, Majaliwa awajibu

CHAMA cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema), kimeitaka serikali ya Tanzania kuvuja ukimya juu ya mahali alipo Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Kimataifa

Trump agonga mwamba, wahamiaji wapeta 

ZUIO la wahamiaji kuingia nchini Marekani lililotolewa na Donald Trump, rais wa nchi hiyo limefutwa, anaandika Wolfram Mwalongo. Hatua hiyo imetajwa kuwa kigingi cha kwanza...

Habari Mchanganyiko

Kanisa lanufaisha vijana 6,000 Arusha

KANISA Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, limewanufaisha kwa elimu ya malezi ya maadili mema zaidi ya vijana 6,000 itakayowawezesha kuwa na utu na...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mrajisi leseni za bunduki aanza kutoa ushahidi

  ASKARI Polisi, SSP Sebastian Madembwe (46), ambaye ni Mrajisi wa leseni za bunduki wa Jeshi la Polisi anatoa ushahidi wake katika kesi...

Habari Mchanganyiko

DC  atangaza vita na askari waliopiga raia

MKUU wa wilaya ya Ilala,  Sophia Mjema ameagiza kuchukuliwa hatua askari wanaodaiwa kuwapiga wananchi katika eneo la Gongo la mboto Jijini Dar es...

Michezo

Epl yalejea Arsenal, Liverpool, Man City vitani

BAADA ya kupoteza kwa mchezo kwa mabao 7-2 klabu ya Liverpool kesho watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Goodson Park kujiuliza dhidi ya majirani...

Michezo

Baada ya kuiadhibu Real Madrid, Tuchel awamwagia sifa wachezaji wake

  BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Real Madrid, kocha wa kikosi cha Chelsea, Thomas Tuchel ametoa pongezi kwa...

Habari Mchanganyiko

Vichwa vya treni vilivyotelekezwa TPA vyapata mwenyewe

  WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, Profesa Makame Mbarawa amemaliza utata uliodumu kwa zaidi ya miaka mitatu juu ya vichwa 11...

Habari Mchanganyiko

Washindi saba safarini Dubai NMB MastaBata ‘Kote Kote’

KAMPENI ya kuhamasisha matumizi ya Mastercard na QR Code ‘Lipa Mkononi’ iitwayo NMB MastaBata ‘Kote Kote’, imefikia ukomo jana Jumanne tarehe 7 Februari...

Habari za SiasaTangulizi

Miaka 30 ya Vyama Vingi: Changamoto na Mustakabali kusonga mbele

LEO Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika kipindi hicho, taifa letu limepitia katika kipindi...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru: Unafiki unakwamisha kufikia malengo

MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM), Dk Bashiru Ally amesema, unafiki na kukosekana uzalendo kwa baadhi ya watu ni sababu ya mambo yanayokwamisha kufikia malengo....

error: Content is protected !!