Archive 3 Columns
Phasellus tellus tellus, imperdiet ut imperdiet eu, iaculis a sem Donec vehicula luctus nunc in laoreet
Hatma ya Zitto Kabwe kesho
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, kesho Ijumaa, tarehe 29 Mei, inatarajia kusoma hukumu ya kesi inayomkabili Mbunge wa Kigoma...
By Faki SosiMay 28, 2020JPM asaini sheria nne mpya
RAIS John Magufuli amesaini sheria nne zilizopitishwa katika mkutano wa 16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....
By Regina MkondeOctober 1, 2019Kinana: Naomba Rais Magufuli anisamehe
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amejitokeza hadharani na kumuomba msamaha Rais John Magufuli, kutokana na mazungumzo yaliyofanyika kwa...
By Mwandishi WetuJune 4, 2020Gesi asilia kuchochea ukuaji wa uchumi mikoa ya kusini
IMEELEZWA kuwa utekelezaji wa Mradi wa Kuchakata Gesi Asilia kuwa Kimiminika (LNG), katika mikoa ya Kusini mwa Tanzania utachochea ukuaji wa uchumi, maendeleo...
By Gabriel MushiJuly 13, 2022Jaribio la mapinduzi Sudani latibuliwa
MAMLAKA ya usalama nchini Sudan imeripoti kuwa jaribio la mapinduzi lililofanywa leo asubuhi tarehe 21 Septemba 2021 na kundi la wanajeshi walioasi...
By Patricia KighonoSeptember 21, 2021Dk. Mpango azitaka mamlaka maliasili utalii kukomesha urasimu vibali
MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango ameziagiza mamlaka zinazoshuhulikia masuala maliasili na utalii kuondoa urasimu katika utoa wa vibali katika sekta hiyo. Anaripoti...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022Sakata la CAG bungeni; Mnyika, Chenge, Mhagama hapatoshi
HATUA ya karatasi yenye orodha ya shughuli za Bunge (order paper) kutoonesha kuwepo kwa taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali...
By Danson KaijageApril 8, 2019Serikali yazidi kuikaba koo MwanaHALISI
SERIKALI imeendelea ‘kulibana mbavu’ gazeti la kila wiki la habari za kiuchunguzi – MwanaHALISI kwa kuliagiza kuchapisha taarifa ya kumuomba radhi Rais John...
By Charles WilliamFebruary 1, 2017Jaji Mkuu awaonya mawakili wanaoshambulia mitandaoni
JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amewaonya mawakili wanaotumia mitandao ya kijamii, kushambulia utendaji wa mahakama na uamuzi unaotolewa na majaji....
By Regina MkondeDecember 10, 2021