Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Michezo Anza wikiendi yako kwa shangwe kwa tusua na Meridianbet Ijumaa hii
Michezo

Anza wikiendi yako kwa shangwe kwa tusua na Meridianbet Ijumaa hii

Spread the love

 

MAMBO vipi mteja wa Meridianbet? Habari njema ni kwamba ligi zinaendelea wikendi hii kuanzia leo hii na wewe una nafasi kubwa ya kuwa milionea endapo utabashiri na mabingwa wa ubashiri Tanzania kwa kusuka jamvi lako huku na kubashiri kwa usahihi. Turbo Cash pia ipo hivyo bashiri kijanja hapa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Hebu tuanzie kule ambapo kuna pesa Ufaransa ambapo LIGUE 1 kutakuwa na mchezo mmoja ambao ni kati ya mabingwa watetezi PSG dhidi ya Montpellier. Mchezo huu utapigwa katika dimba la Parc des Princes huku nafasi ya kuibuka na ushindi akipewa Enrique na vijana wake kwa ODDS ya 1.25 kwa 9.80. Nani kushinda leo hii?

BUNDESLIGA ubabe utakuwa ni kati ya Darmstadt ambaye yupo nafasi ya 14 dhidi ya Bochum ambaye yupo nafasi ya 16. Tofauti ya pointi kati yao ni mbili pekee huku mwenyeji akipoteza mchezo wake uliopita na mgeni akisare. Mechi hii ina ODDS ya 2.35 kwa 2.79. Unasubiri nini sasa? Beti hapa.

Ndugu mteja wakati unaendelea kufanya ubashiri wa mechi zako kumbuka kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo imekuja na kwanja wa maana yaani unaweza kujishindia hadi shilingi Milioni Mia MBili za Kitanzania 200,000,000 kwa dau lako la buku tuu, endapo utabashiri kwa usahihi mechi zako zote 13. Pia kwa wale wa vitochi au USSD ni rahisi tuu, piga *149*10# na ubashiri na mabingwa wa ubashiri Tanzania sasa.

Ligi kuu ya Italia, SERIE A pia  itapigwa hii leo kwa mchezo mmoja kati ya Bologna FC dhidi ya Lazio Rome. Tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee na mara ya mwisho walipokutana hakuna aliyekuwa mbabe. Mechi hii ina ODDS KUBWA pale Meridianbet ingaia na ucheze sasa.

LALIGA nayo unyama ni mwingi sana ambapo Las Palmas atakuwa mwenyeji wa Atletico Madrid ya Diego Simeone. Ushindi wa Atletico utamfanya akae kileleni kwa tofauti ya magoli huku ikiwa ni mchezo wake wa 11. Mwenyeji yupo nafasi ya 10 akiwa na pointi zake 14, na wote wametoka kushinda mechi zao zilizopita. Mechi hii imepewa ODDS ya 1.65 kwa 5.29. Ingia meridianbet ubashiri sasa.

Wakati hapa Tanzania ligi kuu ya NBC, itapigwa kwa michezo mitatu ambapo katika dimba la Uhuru KMC watakipiga dhidi ya Dodoma Jiji. Timu zote mbili zimetoka kupata ushindi michezo yao iliyopita huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni pointi 3. Nafasi kubwa ya ushindi kapewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.89 kwa 3.77 bashiri sasa.

Huku Mtibwa Sugar ambaye ndiye kibonde wa ligi atakuwa Manungu kumenyana dhidi ya JKT Tanzania ambaye yupo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi. Timu zote zimepoteza mechi zao za mwisho.  Walima Miwa wamepewa nafasi kubwa ya kuibuka wababe wakiwa na ODDS ya 2.11 kwa 3.14. Suka jamvi lako hapa sasa.

Na mechi ya mwisho kabisa itakuwa ni kati ya Kagera Sugar dhidi ya Tanzania Prisons majira ya saa 1:00 jioni. Mwenyeji yupo nafasi ya 8 na mgeni yupo nafasi ya 14 huku mara ya mwsiho kukutana, Wajelajela walishinda. Je leo mwenyeji kulipa kisasi?

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

Spread the love  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka...

Michezo

Wenzako wameshakuwa mamilionea hapa wewe unasubiri nini?

Spread the love  WIKIENDI imefika na ukiachana na mvua za Dar es...

Michezo

Manchester City vichwa chini Ligi Kuu England

Spread the love MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu yaManchester City...

Michezo

Piga mkwanja wa kutosha katika usiku wa kibabe kati ya Man United vs Chelsea

Spread the love USIKU wa leo katika dimba la Old Trafford utapigwa mchezowa...

error: Content is protected !!