August 17, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Anayeiuza CUF ni Maalim Seif au Lipumba?

Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF)

Spread the love

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingia kwenye mgogoro wa uongozi. Wenye nia mbaya wanasingizia eti Maalim Seif Shariff Hamad anataka kukiuza chama kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika Juma Duni Haji.

Profesa Ibrahim Lipumba, aliyevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuwa mwenyekiti kwa miaka 16, anaeleza fitna hiyo.

Profesa ni mtaalamu wa uchumi na hesabu, na ndio silaha kubwa katika kufanya uchambuzi wa masuala ya uchumi akiikosoa Serikali ya CCM.

Kwa mtu kama mimi na wale tuliosoma naye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, tunajitukanisha kukubali hoja hizi kutolewa na profesa.

Endelea kusoma uchambuzi huu katika gazeti la MwanaHALISI la leo tarehe 12 Desemba 2016 katika ukurasa wa 12.

error: Content is protected !!