
Siku iliyosubiriwa sasa imewadia, leo ni siku ya burudani barani Ulaya. Meridianbet imeweka odds kabambe na machaguo ya kipekee kwa mechi nne kali zinazotikisa viwanja vya EPL. Huu si wakati wa kusubiri, ni muda wa kubashiri kwa ushindi kupitia Meridianbet, wakali wa ubashiri Duniani.
Nottingham Forest kumkaribisha Chelsea pale City Ground. The Blues wanatua uwanjani wakiwa na morali ya juu, lakini Forest wanapigana kwa jino na ukucha mbele ya mashabiki wao. Mechi hii ni ya msisimko wa hali ya juu, na Meridianbet imeweka odds moto kwa kila upande. Chagua mapema, bashiri kwa ushindi.
Brighton wana vita ya kurejesha heshima dhidi ya Newcastle. Brighton wanatafuta kurejesha makali yao nyumbani baada ya ushindi mmoja tu msimu huu. Newcastle hawataki kupoteza nafasi ya kujiimarisha. Odds za Meridianbet kwa mchezo huu ni kubwa na zenye thamani, usikubali zikupite.
Meridianbet pia inakuletea michezo ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Burnley wanapambana kuondoka kwenye nafasi mbaya kwenye msimamo wa ligi kwa kukabiliana na Leeds United. Leeds nao wanasaka pointi muhimu sana ili kujiweka kwenye nafasi salama. Meridianbet imekuwekea machaguo bora zaidi ya kubashiri mechi hii. Bashiri sasa, ushindi uko karibu.
Mechi ya miamba wenye njaa Bournemouth na Palace ambao wanatofautiana kwa alama mbili tu, na leo ni vita ya kuonesha nani ni bora mbele ya mwenzake. Meridianbet haijabaki nyuma, imeongeza furaha kwa odds kubwa na machaguo ya kipekee. Usikose kubashiri mechi hii ya kutoana jasho na ushindani.
Historia inasubiri kuandikwa Etihad. Everton hajawahi kushinda dhidi ya City tangu 2021. Je, leo wataandika historia mpya? Meridianbet imeweka odds za kuvutia kwa pambano hili la kibabe sana. Amua mapema, bashiri kwa ushindi
Fursa ya kukaa kileleni kwa Arteta ipo mikononi kwa Fulham. The Gunners wanataka alama tatu za leo ili kuendelea kuwa juu ya msimamo wa ligi na kipimo chao kwa siku ya leo ni Fulham ambao pia wameonyesha nia ya kujiinua. Kwa watumiaji wa Meridianbet, huu ni mchezo wa fursa ya utajiri. Odds ni kubwa na machaguo ni mengi, weka beti yako sasa.
ZINAZOFANANA
Meridianbet inakupa mechi moto na Odds za Kifalme
Meridianbet yaunga mkono michezo, yadhamini “Chanika Veteran Bonanza 2025”
Fainali za moto na pesa kubwa kutoka Meridianbet